Search results

  1. K

    Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

    Kana hujui historia ya mi busara kukaa kimya na sio kuandika UTOPOLO
  2. K

    Je, asili ya majini ni ipi?

    soma vizuri hayo uliyoandika ndipo utakapoona uijui elimu ya waislamu juu ya majini usitake kueleza kitu ambacho huna elimu nacho, waachie wenyewe waislamu wajieleze na nawe jielezee kwa upande wako ili sote tupate faida kwa swali hili zuri.
  3. K

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nilikuwa nasikia tu kwa wengine leo nimehakikisha kuwa hawa Voda kweli ni wezi. mimi ni mteja ninayetumia mtandao wa voda namba 0762749205,jana usiku saa nne nilinunua solio la sh.1000 kupitia m-pesa na kupata sms "BR04DY593 Imethibitishwa umenunua Tsh1,000 ya muda wa maongezi saa 10:02 PM...
  4. K

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nilikuwa nasikia tu kwa wengine leo nimehakikisha kuwa hawa Voda kweli ni wezi. mimi ni mteja ninayetumia mtandao wa voda namba 0762749205,jana usiku saa nne nilinunua solio la sh.1000 kupitia m-pesa na kupata sms "BR04DY593 Imethibitishwa umenunua Tsh1,000 ya muda wa maongezi saa 10:02 PM...
  5. K

    Uvunjifu wa amani zanzibar ni matokeo yaudhaifu wa ccm.

    usikurupuke kuandika mada kabla ya ya kuelewa ni nini chanzo cha vurugu zanzibar, tatizo la zanzibar sio dini kwani wao asilimia 99 ni waislamu!, tatizo wao hawautaki muungano ambao wao wanauona hauna faida kwao
  6. K

    Hali mbaya ya hewa Zanzibar

    Toa sababu ya kuwachukia, nahisi una ajenda ya siri!
  7. K

    Mbunge Komba ashtakiwe

    Hebu funguka tupe data zaidi. eleza chanzo na ushahidi wa tuhuma zako kuwa Mh. naye ni FATAKI!!!
  8. K

    Omar al-Bashir atangaza ushindi!

    someni historia ya nchi hizo mbili kabla hamjaanza kulalama. busara zaidi inahitajika hapa Heglig (also spelled Heglieg) is a disputed small town in South Kordofan state in Sudan, claimed by South Sudan as a part of Warrap. The area was contested during the Sudanese Civil War. In mid-April...
  9. K

    Hizi simu zinawakera kama zinavyonikera mimi?

    kwa kweli wanasumbua la muhimu tusiishie kulalama naomba wanasheria watujuze jinsi tunavyaweza kuwaburuza mahakamani hawa mapimbi
  10. K

    Priest hired hitmen to kill them

    Ni kuachana na dini zilizoundwa binaadamu
  11. K

    Jamani nifanye nini "KIKWETE HASIKII!"

    naomba ufafanue hapo kwenye rangi nyekundu. wapi,lini,na kwa jinsi gani ulimfikishia kikwete tuhuma hizo na akakupuuza? na ikiwezekana naomba utujuzu tuhuma hizo kwa kirefu ili na tujuuwe uwozo wa CCM kupitia Chiligati
  12. K

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    kama wakiuwa raia hawataleta amani bali maafa,hatakama una ajenda yako ya siri isikupelee kuwaonyesha wenzako ufinyu wa akili kichani mwako!!
  13. K

    Ukweli umepatikana: Sasa DC Igunga anastahili kupigwa mawe kwa kuasi dini - Sheikh Ponda!

    hoja hiyo ya mwandishi wa mwanahalisi imeshajibiwa katika radio imani na pia katika gazeti la kiislamu la al-nuul ya kwamba mama huyo bado muislamu na mumewe ni muislamu na hajawahi kuwa mkristo, kubenea alipotosha ukweli kwa kutaka kuwasaidia CHADEMA
  14. K

    Iran Nuclear Power Plant 'Working'

    ushindwe na ulegee!!
  15. K

    Polisi wetu na serikali hawana busara

    "YEYOTE ANAYETAKA STORI HII TUWASILIANE ILI ANIPE MSAADA WA SHERIA VIELELEZO MBALIMBALI NINAVYO NA WANATAKA KUNIONEA ILI KUFICHA AIBU ZA WAKUBWA WA POLISI; INASEMEKANA WALIKUWA WANAKULA NAO," wao wamemwaga uagali wewe mwaga mboga ! kama una uhakika wanakuonea wamwage hapa jamvini kwa majina...
  16. K

    Hoja ya Madaraka Nyerere kuhusu barabara ya Serengeti

    "Hoja kuwa barabara ya lami inaweza kufuta misafara ya msimu ya wanyama kuhama kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine nina wasiwasi nayo. Kwamba nyumbu na pundamilia wanaovuka mbuga zenye wanyama hatari kama simba, na chui, na wanaovuka mto Grumeti uliyojaa mamba watashindwa kuvuka barabara...
  17. K

    Kutumia gas Kwenye gari

    nenda dar es salaam instute of education (DIT) pale kuna wataalamu wanafanya shughuli hiyo ya kuwezesha magari ya petroli kutumia gas watakuelewesha vizuri na kwa kitaalamu zaidi
  18. K

    Kisa cha Waziri Ngeleja na Mlinzi kwenye ATM

    ni vyema umjionyesha wazi kuwa we ni kibaraka wa ngeleja!
  19. K

    Ndoa za mashoga zazidi kuitesa KKKT

    na ulaaniwe pamoja nao!!
Back
Top Bottom