Search results

  1. O

    Kumbe viwanda vya Cement vya Twiga na Nyati vimefilisika hatuambiwi ukweli!

    Mtoa mada umekurupuka big time sijaona fact umeweka jamvini kuthibitisha andiko lako. Rejea rekodi za DSE uzielewe kisha ndo upost
  2. O

    Wakati ripoti ya fedha ikionyesha faida kushuka toka Sh 600bn mpaka 200bn, Zitto ahoji upatikanaji wa gawio la Sh 300bn

    Gawio halilipwi kutoka kwenye faida ya mwaka bali distributable reserves. Mheshimiwa amechapia kidogo nafikiri ingekuwa na mashiko kama angeweka wazi statement ya change in equity ikoje.
  3. O

    Viongozi TPDC watiwa mbaroni kwa kuinyima PAC mikataba ya gesi tangu 2012

    Nadhani hizi kamati za bunge zisipoangalia zitakosa mwelekeo na kufanya kazi kwa hisia na bila kufuata weledi. Hesabu za tpdc bila shaka zimeputiwa na wakaguzi na nadhani watakuwa wamepitia hiyo mikataba. Pia kwanini wanatafuta mchawi post event? Mbona hawakuibana serikali kupitia wizara husika...
  4. O

    Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

    kuna usemi kuwa afya haijengwi kwa matofali...na hii ndio nawasoma baadhi ya watu kuwa wanamtazamo kuwa pale zanzibar itakapokuwa chini ya misingi ya dini baadhi mambo yatakuwa mtelemko. ni vyema kama mchangiaji mmoja alivyoainisha kuwa dini hizi ni mapokeo tu hakuna hata mmoja anaweza nieleza...
  5. O

    Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Je mradi wa ujenzi wa mji wa kigamboni umefikia wapi ukizingatia kuwa mwaka unakaribia kupita tangu kikao cha bajeti kilichopita! Mradi huu ni dhana nzuri tu lakini naona ukimya mwingi umetawala bila wananchi kujua mustakabali wetu. Je naweza kuendelea na ujenzi wa nyumba katika hili eneo...
  6. O

    Love, sex and the male brain!!

    Editor's note: Dr. Louann Brizendine is a member of the American Board of Psychiatry and Neurology and the National Board of Medical Examiners, and a clinical professor of psychiatry at the University of California, San Francisco. She is founder and director of the Women's Mood and Hormone...
  7. O

    Health Challenges Facing the Poor - a quote from JK

    President Jakaya Kikwete has said that the challenges facing most developing countries in the health sector are numerous diseases and the frequency with which their people fall sick. Kikwete made the remarks over the weekend when delivering a lecture on challenges in rendering health services in...
  8. O

    Elections 2010 Msimchagulie Zitto Jimbo; hamna hadhi hiyo!

    zitto inabidi kuchukua hatua za tahadhari kabla kufanya uamuzi wa jimbo gani agombee ubunge. sidhani kuwa kuna maendeleo ambayo zitto kama mbunge anaweza kuyaleta katika jimbo! sijui, labda kuna mtu ana statistics za jimbo ambalo analiwakilisha zitto ambazo zinatoa picha - kabla na baada! naona...
  9. O

    Lukuvi kuhamisha wahudumu wabovu maofisini ni suluhisho??

    Ndo tatizo kubwa ambalo tumerithi toka kwa viongozi wetu, kuwa mfanyakazi wa umma anapoharibu basi hupewa uhamisho! Huku ni kukosa umakini kabisa na kutaendelea kuharibu na kuangamiza uweza wa taasisi mbalimbali katika kutekeleza majukumu ipasavyo. ukiangalia historia mashirika mengi yamezikwa...
  10. O

    Watawala wa saudi na wasafiri waliokwama ulaya

    sioni tatizo lolote katika hili. mbona nchi nyingine kama uingereza zimefanya hivyo? imechukua watu pamoja na askari waliotoka afhganistan kwa meli kutokea spain! kila nchi ina mtazamo wake na je unaonaje hili la mashirika ya ndege kudai fidia kutoka kwa serikali zilifunga anga zake? USA...
  11. O

    World Cup Without Ronaldinho Unimaginable!

    kwa mtazamo wangu dunga anatumia falsafa ya teamwork kuliko kipaji cha mchezaji mmoja mmoja. ikumbukwe kuwa alipopewa timu watu walipiga kelele sana kutokana na kutokuwa na rekodi ya ukocha na hata timu aliyochagua haikuwa na mvuto ukizingatia kuwa wengi wa wachezaji walikuwa wakicheza mpira...
  12. O

    Je hii inawezakana kwetu? - wanadumisha mila!

    Kabila la lozi ni miongoni mwa makabila duniani yanayodumisha tamaduni zao na sherehe ya "kuomboka" imekuwa ni kivutio kikubwa na imevutia siyo tu watalii wa ndani na nje nchi pia na makampuni katika nyanja ya udhamini. Watu mashuhuri walihudhuria katika hafla hii akiwa Rupia Banda (alitinga...
  13. O

    Zitto Atufagilia CCM kwa utekelezaji wa ilani

    Big up nndondo! I like this comment on process/output and impact indicators...lakini kumbuka kuwa sio kila process inachangia moja kwa moja impact indicators kuna zile ambazo zinatoa chachu katika kufikia malengo. Je ni lipi lengo la taifa katika kutoa elimu na kufuta ujinga? Je UDOM inachangia...
  14. O

    'Mini- budget' likely

    kuna wakati serikali ilisema iko tayari to "bail out" makampuni yaliyoathirika na mtikisiko wa uchumi. je yalikuwa maneno ya kujipendekeza au kujigamba kwa mataifa mengine kuwa bongo tuko juu. kama serikali haikutumia hayo mafungu si vyema basi wakahamishia fungu hilo kwenye maafa?
  15. O

    Teh Teh; Kumbe ni Mambo ya 2010!!

    kwa kweli nimeshangazwa na jinsi mheshimiwa alivyolewa madaraka mapema hivi! katika article kwenye gazeti la mwananchi anasema... unajua mimi ni nani?....sintomsamehe hadi awajibishwe! Funzo: natamani ifike siku ambapo wananchi nao watakapo wauliza viongozi...mnajua sisi ni nani? hatuwasamehi...
  16. O

    CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

    Makamba J inabidi achukue tahadhari na njia anazotumia kutaka kujinadi kwa wananchi wa jimbo la bumbuli. ni utamaduni mbofu na mazoea yaliyojaa uozo ambao tumeuendekeza kuwa utakapo kugombea ubunge shurti utoe takrima. Ushauri wa bure tu kwa makamba J ni kuwa aweke mikakati endelevu ambayo...
  17. O

    Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

    Nimeshindwa kuona uhusiano wa ubinafsishaji wa TBC na memorandum of association iliyowekwa hapo juu. TBC kama taasisi inaweza kuanzisha kampuni tanzu inayojitegemea tu na kwa nia tu ya kuongeza ufanisi katika shughuli zake na kuondokana na bajeti tegemezi kutoka serikali kuu. Na hivyo si dhambi...
  18. O

    Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

    Kuna uwezekano ukawa na shares nyingi lakini ukawa huna sauti. hii inategemea mkataba umetengenezwaje (mwenye shares nyingi anakuwa na maamuzi katika bodi lakini sio guarantee that kila mwenye share nyingi anakuwa na sauti na maamuzi katika bodi).
  19. O

    Vipeperushi Vyasambazwa Pemba.

    Nina shaka na upeo wa aliyeaandika hiki kijiwaraka. Sijui tanganyika imekolonisha vipi zenji? Kwanza kwa kiasi kikubwa wazenji wanafaidika zaidi na tanganyika kuliko wanavyopiga kelele. Kisha mwandishi ni mbaguzi ...umma wa wazalendo na waislamu...so kama wewe ni mkristu au mbahai basi huna...
  20. O

    Wabeba mabox vs wala vumbi: Chuki ya nini??

    Unajua maisha hayana formula na mwisho wa siku ni jinsi gani mtu anaweza kumudu mahitaji yake ya kila siku, kuweka akiba, na ku'invest' (rejea somo la uchumi). Hii haijalishi unafanya kazi gani au unaishi wapi. Kwa wale waliosoma kitabu cha "think like a millionaire" kuna usemi kuwa "...you can...
Back
Top Bottom