Search results

  1. salosalo

    Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kamwangalie papuchi akiwa kwenye hizo siku stimu zitaenda zake #Umalaya haukubaliki
  2. salosalo

    Daycare School Teacher urgently needed at High Hopes Academy, Arusha

    Noted Sir, kwa sasa unaweza ukasaidia kuwasambazia tangazo hili popote unapohisi wanaweza kunufaika nalo
  3. salosalo

    Daycare School Teacher urgently needed at High Hopes Academy, Arusha

    "Daycare School Teacher urgently needed at High Hopes Academy, Arusha" Deadline 25 Feb. 2023 I am encouraging and insisting everyone with the needed qualification to apply, the post is open to everyone. Be confident that it might be you who is needed.
  4. salosalo

    Nimekuja mbele yenu nina shida ya kazi yoyote ya halali

    Hii ni pointi ya muhimu kuzingatiwa, Mwajiri hutaka ubora ulionao na ujuzi, uzoefu au ubunifu utakaoweza kutoa kwa Mwajiri ili kazi unayomfanyia aone tija yake. Pia sio kitu kizuri kutafuta kazi kwa kusema yoyote, anza kwa kutaja aina ya kazi unazozimudu kisha malizia kwa kusema hata kazi...
  5. salosalo

    Daycare School Teacher urgently needed at High Hopes Academy, Arusha

    ONE OF THE NEWLY ESTABLISHED DAYCARE SCHOOL LOCATED WITHIN ARUSHA CITY MUNICIPALITY (MOSHONO) IS LOOKING FOR A DAYCARE TEACHER WHO WILL ALSO BE PERFORMING ADMINISTRATIVE ACTIVITIES WHERE NECCESSARY JOB TITLE: FEMALE TEACHER AND ADMINISTRATIVE ASSISTANT. DUTIES AND RESPONSIBILITIES: To engage...
  6. salosalo

    Kutoza watu pesa kuingia viwanja vya Sabasaba na Nanenane haijakaa sawa

    Badili mtazamo, kitu kuwepo tangu kitambo hakiwezi kuwa kigezo cha kuthibitisha uhalali wake. Mabadiliko hayana budi kuja ikiwa ni ya muhimu. -Wanaorusha matangazo ya 77 kwenye tv na redio wanalipia sh ngapi? - wafanyabiashara wanaongesha biashara zao na ubunifu wao wanalipaje? Wangeweza hata...
  7. salosalo

    Kisa QNET, Walimu 8 wafukuzwa kazi Geita

    ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mi nilihakikisha nayajua yote kwanza, nilienda session mbili na ya tatu ilikuwa ni ya kwenda kulipa pesa nayo nilienda mikono mitupu, wakanisihi wanikopeshe ila niweke commitment ya ntakavyo ilejesha. Kuhusu kutafuta wengine wa kujiunga chini yangu nisijali...
  8. salosalo

    Kukumbuka ndoto

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  9. salosalo

    Bashiru tunza ahadi yako ya kutokubali uteuzi mwingine wowote

    Sijaweza kuifungua attachment uliyotuwekea
  10. salosalo

    Sababu za Makonda kuzuiwa kukanyaga Marekani, wapambe msipotoshe

    Kwani USA ni mtawala wa hii Nchi? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. salosalo

    Yanayoendelea Mei Mosi Naona aibu kujiita mwalimu

    Tatizo la waalimu hapa ni kule kukalili mliko kalilishwa kwamba nyie ni kada ya kuonewa kuliko zingine wakati si kweli. 1. Ukiacha watumishi wa mashirika ya Umma na Wakala za Serikali. Walimu mna mishahara sawa na watumishi wengine wote wa Umma kutegemeana na ngazi za elimu zenu. 2. Tofauti na...
  12. salosalo

    Yanayoendelea Mei Mosi Naona aibu kujiita mwalimu

    Wewe mbona uliishi mwenye furaha mbele za wazazi wako pamoja kushindwa kukununulia viatu vizuri..mnashindwa kula ukitakacho kila siku...unatembezwa kwa mguu badala ya gari binafsi kama wengine..shule yenyewe ulisoma katika mazingira magumu tufauti na wengine lkn mbaya zaidi watoto wako nao wana...
  13. salosalo

    Maswali na Majibu: Namna ya Kupakua (Download) Movies bure

    Nahisi unazungumzia movie iitwayo "American Ninjas"
  14. salosalo

    Jinsi Msaada ; Namna ya kuretreve / kurestore deleted sms

    Du! Kumbe hata ukidelete wenyewe wanajinsi ya kuzirudisha
  15. salosalo

    For JamiiForums Mobile users

    Hivi hii elimu inafanya kazi hata kwenye whatsapp au ni maalumu kwa ajili ya hapa jamvini?
  16. salosalo

    Ipi ya kununua kati ya IST na Altezza?

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mbavu zangu leo
Back
Top Bottom