Search results

  1. J

    Bwana Lowassa na watanzania tu wepesi wa kusahau

    Comes a day, mbichi zitakuwa mbivu
  2. J

    Ndiyo, Lowassa ni fisadi na hilo halina ubishi lakini ndani ya CCM yupi ni afadhali Urais 2015!

    Choongeeni saaana!!! Lowasa ni jembe la ukweli kwa nchi yenye wavivu na wazembe kama hii!
  3. J

    Tatizo si Kikwete na uelewa wake bali chuo kikuu alichosoma!

    Huyo si alifeli akakosa sifa za kuingilia UDSM, Pole dogo!!
  4. J

    Chama cha walimu hatukitaki

    Mtoa hoja anatumiwa na CCM au Serikali, kwani serikali hivi sasa iko kwenye kampeni kubwa kuhakikisha CWT haipati sapoti kutoka kwa wadauili hoja za msingi ziishie kutupiliwa mbaali! walimu amkeni msitumiwe kutenganishwa wenyewe kwa wenyewe.Take care!
  5. J

    Najiuliza hili swali sipati jibu kamili

    Msiooa poleni sana, mabinti wengi siku hizi wanaangalia mpunga! upendo wa kweli upo kwa wachache saana kama 10% tu.
  6. J

    Anataka awe nyumba ndogo yangu; nifanyeje?

    Ugegede nje, Usigegede Mke wako akiamua kugegedwa anagegedwa tu!!! Prof Gamba usije ukajidanganya!
  7. J

    Kila kitu anachofanya wife naona anakosea!

    Kaa nae mjaribu kuongea hizo tofauti tofauti zenu! mueleze yanayokukera ili na yeye atambue kisha akueleze yaliyo jiri, mnaweza kupata suluhisho!
  8. J

    Simuoni nimtakae

    You are too selective madam!! Sio lazima upate mwenye sifa zote!
  9. J

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Tuendelee kujuzana kamanda!
  10. J

    Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

    Wa TZ tuache kuvutia upande wetu kwenye masuala ya imani, tuwe wakweli penye ukweli, siyo kwa kuwa watu unaofikiri ni wa imani yako basi wawe kila kitu wawe juu, mnatupeleka pabaya! moto huwa unaanza na moshi, take care!
  11. J

    CHADEMA na polisi katika mtifuano mkali

    Tunasubiri maandamano makamanda!!! No retreat No surrender!
  12. J

    Matokeo ya form four tusishangae!

    WAKATI MIMI NAMALIZA DARASA LA SABA, Wanafunzi wachache sana walikuwa wakifaulu na wachache zaidi (shule nyingi si zaidi ya watano) walichaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari!! watu walikuwa hawashangai, leo hi darasa la saba si kikwazo tena wote wana pita, hakuna mchujo wowote hadi form...
  13. J

    Elimu ya Nape Nnauye

    Nape alipata Dv III form four na Div. II form six!!!
  14. J

    Kaa Chonjo: Kazi:Tanzania International University ni Utapeli tupu!!!!!!

    Nilikuwa nimejiandaa ku-apply! asante wadau kwa kutu-alert! ama kweli Dunia hadaa...!!!
  15. J

    CHADEMA: Tutafanya Maandamano Makubwa ya Mapokezi ya Wabunge wetu

    Kila la kheri Makamandaa! kanda maalumu ya CDM (Mbeya) Lini!????
Back
Top Bottom