Search results

  1. N

    Namshukuru Mungu kutimiza miaka 26 ya ndoa

    Happy 26th Anniversary to me and my lovely wife Theodora. I pronounce goodness and mercies shall follow us all the days of our lives and the Lord shall be our provider, we shall not want. We are blessed beyond measure.Once again, happy 26th Anniversary to us.
  2. N

    Proector inauzwa

    Kwa yeyote mwenye kuhitai proector tuwasiliane.
  3. N

    Msaada wa kupata mkopo

    Habari. Ninaomba mtu anayeweza kuniconnect namna ya kupata Tshs.6,000,000 mkopo.Kifupi jamaa yangu ana shida na hiyo pesa na ameniomba aniuzie hiyo gari. Mimi nimelipenda hilo gari na natafuta namna ya kulinunua na kulipa kwa mapatano. Ningefurahi kupata ushauri. Uwezo wangu wa kulipa kwa mwezi...
  4. N

    Msaada wa Website ili kujua watoto waliochaguliwa kujiunga na sekondari

    Naomba mwenye kujua website itakayoniwezesha kuona orodha ya waliochaguliwa kujiunga na sekondari mwaka huu 2013 anisaidie.
  5. N

    Hodi wana jamii forums

    Habarini. Leo nimeamua kujiunga na hii familia nimeonelea vyema nipige hodi niingiapo jamvini,
Back
Top Bottom