The criminal law regime is silent with regards to right of *unconvicted prisoner* or *rumandee* to attend the Burial Ceremony of his parent or any other relative. Both *the Prisons(Management) Regulations, 1968* and *the Prisons Act, Cap. 58* are silent on the matter. Also, the Criminal...
Kuh.mifuko ya plastic juhudi za serikali /matunda yanaanza kuonekana.
Bado hivi vifungaishio vya biashara za wanaojulikana na wasiojulikana vifanyiwe kazi katika jamii kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja,familia, mashuleni,sehemu za mikusanyuko mbalimbali ...nk
Watu "wafundishwe'' wapi pa kutupa!!!
Mazingira ni balaa!!
Moshi kila mahali- Kwenye Zahanati na Shule ya Secondary na kwa majirani.
Maganda yanatupwa chini kinyume na taratibu.
NEMC na Halmashauri ya KIBAHA okoeni jahazi haraka
Kongole!!
Kivuko cha watembea miguu(flaiova) kinafanya kazi...
Seng'enge imeshawekwa,kwa hiyo hakuna mtu wa kukatiza. Alama za pundamilia hazipo...
Kamera ya Police pale darajani ya nini ? Tukifika hapo inakuwa single lane!
Sent using Jamii Forums mobile app
Somo la Historia; tujikumbushe.
Katika ngazi ya "UKURUGENZI WA MIJI/WILAYA" tu.....kwenda chini:
Ni akina nani/ watu gani walisaidia sana "kuua" demokrasia iliyoanza kushamiri mwaka wa 2015?
Watawala wamewaondoa watu kwenye makazi ya wakulima Kisima, Changarawe/Mlyongima, kwa Magere/Butiama, kwa Rama, Pori kwa Pori # 2, Milima 3 nk kwa hila na kuumba tatizo la wakimbizi wa ndani(IDP's) kimya kimya.
Watu wamevunjiwa makazi yao, wameswagwa na kurundikwa Pori kwa pori #1 kwa nguvu...
..Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na HAKI yake; na hayo yote mtazidishiwa.
.
.
...Na kazi ya HAKI itakuwa AMANI; na mazao ya HAKI yatakuwa ni UTULIVU na MATUMAINI daima...
Ooo, kumbe 'amani na utulivu' ni matokeo...
...Basi, kabla ya mambo yote,nataka DUA, na SALA, na MAOMBEZI, na shukrani...
Tulikuwa kwenye mchakato wa Sheria mama-Katiba-; mabilioni yakatumika. Ikafika mahala- ika/mekwama.
Utawala mpya ukaanza. (Ma)waziri na Mkulu
_siyo kipaumbele
_sikuzungumzia wakati natafuta Kura
_tutaanza tena pale tulipoishia....nk nk.
Hili nalo litatatuliwa tu, tupende tusipende!
Sheria zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.