Sasa Ukiona shoga Muslim ndo unamaanisha nn..
Mbona yule James Delicious ni mkristo??
Hoja hapa cyo Mtu hoja papa kasema wakatolik mbarik ndoa za Jinsia moja huko kanisan kwenu..
Angesema kiongoz wa waislam walau ndo ingekua hoja
Mwalim wangu Sheikh Mohammed Said Kila Sku nakuombea kwa Allah Akupe umri mref wenye Siha Tele ili uendelee kutupa Elim yenye Manufaa,,
Umetufaa wengi,tumetutoa Kizan wengi sana Na Inshallah Mola atakulipa Kheri ktk haya ya Kuutetea Dini yake kwa Kalamu yako adhim,,
Npo hapa nasubiria...
Nakuomba utuandikie kitabu cha Mzee mwinyi kwann baada ya nyerere kuwasumbua wazee wetu walomueka hapo je yeye alipokuwa rais kwann hakuwakumbuka wanavyostahili??
Shukran sana mwalim wangu hapa JF Maalum,Sheikh Mohammad Said..
Unatupa Elim kubwa sana mola akubarik sana,akulipe Kila la Kheri Kwa Kuamua Kusema ukweli Kwa njia ya maandish...
Ila nlikuwa naomba utupe history Kwann Hawa Mashujaa wetu walitolewa maksud ktk historia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.