Search results

  1. N

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Nasubiria kwa hamu huo wakati kwani watakuwa wamemshika kipofu mkono. Ile ni hela yangu wao wameshaniibia PAYE inatosha.
  2. N

    Revealed: Tanzanian Thieves have Sh315bn in Swiss Banks!

    Nadhani hao wajamaa(swiss) ni maconman wamesikia kuna gesi na mafuta wakishasema hivyo jamaa wataogopa kuumbuka watasaini mikataba ya chiefu mangungo wa msovero faster
  3. N

    Kipanya leo: Uchaguzi Kati ya DHAIFU na DIKTETA, watu wanachagua DIKTETA

    Dada kula mboga za majani mbona nawaona wanawake wengi Withdraw hilo tusi
  4. N

    Kibonde amtetea Ngeleja

    Acheni unyanyapaa hata kama anatumia ARV si yeye cha msingi jadilini ni jinsi gani mta mvua gamba mvalishe gwanda msonge mbele. Msije mkaingia kwenye kauli dhaifu wanaopata ukimwi ni viherehere vyao
  5. N

    Pendekezo: CHADEMA ifanye siku ya maombolezo ya Bob Makani Jangwani

    Wewe ndio bure kabisa mimi nazungumzia kumuaga kamanda hujui bila CHADEMA madhubuti nchi ingeyumba na ikumbukwe BOB ndio miongoni mwa waasisi wa chama kibaya kipi. Sidhani kuwa mtu akifariki chama husika kinapata political gain kwa kufanya maombolezo yake. Mungu ampe pumzisho la amani mzee wetu...
  6. N

    Pendekezo: CHADEMA ifanye siku ya maombolezo ya Bob Makani Jangwani

    Kwa msiba huu tunaomba mkutano CDM square katika maombolezo ya mpiganaji Bob Makani kwani makamanda huwa hawaombolezi bali wanasonga mbele katika safari ya ukombozi ningeshauri Bob aagiwe hapo Jangwani aka CHADEMA Square wengi tupate fursa ya kumuaga. Pia tupate muda wa kujuza kazi na imani ya...
  7. N

    Mbunge wa CCM HAKUPOKEA RUSHWA...

    Katika maswala kisheria Badwel hana hatia mpaka mahakama itakavyo amua vinginevyo, lakini ukweli unabaki pale pale jamaa amevuta mkwanja ndio maana amekamatwa alikutwa na kidhibiti.........hapo ni moja jumlisha moja...... Swali ni je?? ni kweli ilikuwa ni rushwa au jamaa alikuwa amemkopesha kwa...
Back
Top Bottom