Search results

  1. NgomaNzito

    Dili la Mafenesi Dar

    Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
  2. NgomaNzito

    Lowasa Kigamboni kesho atapiga mbizi

    Mgombe Uraisi Edward Lowassa kesho atakuwa viwanja vya Tungi Kigamboni kuanzia saa 3 tutawajuza yatakayo endelea Tutawajuza yatakayokuwa yakiendelea Karibuni sana
  3. NgomaNzito

    Bima (Insurance) Kutozwa VAT 18% kuanzia tarehe 1/7/2015 imekaaje hii

    Taarifa kutoka kwenye makampuni ya Bima nchini ikisema kuanzia leo tarehe 1/7 tozo la asilimia 18% VAT litatozwa kwenye malipo yeyote ya bima(premium) Hii inataleta shida na mkaganyiko kwa jamii ukichukulia imebebeshwa mzigo wa kodi mbalimbali na ongezeko la bei ya mafuta. Serikali haina...
  4. NgomaNzito

    Basi la Hajees laanguka mpakani mwa mkoa wa Tanga na Pwani

    Basi la Hajees limeanguka mpakani mwa mkoa wa Tanga na Pwani likitokea Tanga kuelekea Dar. =========== Watu wanne wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa baada ya basi la Hajees kupinduka katika Kijiji cha Mnazi, Kata ya Mandela wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani.
  5. NgomaNzito

    Magufuli Aisababishia hasara Serikali, Wananchi wa Kigamboni wateseka

    Magufuli kaamua kukatiza safari ya Panton dogo likiwa njiani kupelekwa mombasa kwa ajili ya matengenezo makubwa baada ya mkandarasi aliyeshinda tenda ya kulitengeneza. Hivi sasa limetelekezwa bandari ya zanzibar haya ni matumizi mabaya ya fedha za serikali huku wananchi wanateseka kukosa usafiri...
  6. NgomaNzito

    Washabiki wa Simba wanatusumbua hapa Lumumba

    Kuna kundi dogo la mashabiki wa simba wanatusumbua wanapiga makelele wakisubiri gari kwenda bunju hahaa
  7. NgomaNzito

    CRDB yatangaza kupungua kwa faida gawio nalo kupungua

    Benk kubwa hapa nchini CRDB imetangaza kutoa gawio la sh 9 kwa hisa baada kupigwa mahesabu na kuonyesha kupungua kwa faida mwaka uliopita wamepata bil.19.6 tu kutoa kodi. My take Hii ni dalili za kuporomoka kwa benk kama watu walidai huko nyuma kuwa mahesabu ya benk yanapikwa
  8. NgomaNzito

    Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

    Hapa Mwanza leo magari ya serikali yamejaa kila sekunde unapishana na maV8 STK inaelekea sherehe za chama zimegeuka kuwa ya serikali gharama inaonekana kubwa sana kwani madc,wakurugenzi,maRC wote wapo wanatanua per diem na madereva wao, wakati madaktari na wagonjwa hoi hii ndio ccm inapotupeleka....
  9. NgomaNzito

    Machozi ya damu kweli......

    Pictured: The schoolgirl who 'cries' blood and bleeds through her pores By Graham Smith Last updated at 1:00 PM on 11th January 2010 Comments (4) Add to My Stories A schoolgirl who spontaneously bleeds from her pores has left doctors baffled. Indian Twinkle Dwivedi, 14, has an undiagnosed...
  10. NgomaNzito

    Guys nimepata mtoto wa ....

    Jamani Mola kanijalia mtoto wa kiume anafanana na baba yake na babu yake sijui kama tabia zitafanana na baba yake na babu yake, pia nimempa jina la babu yake sijui atakuwa na tabia za babu yake kilaji na totos kwa sana Asanteni wale wote mtakaonipa pongezi
  11. NgomaNzito

    Ninakwazika sijui la kufanya nisaidieni jamani

    Mi naomba ushauri Ninakwazika sana na sijui la kufanya, nina mdogo wangu msichana anaishi mkoani na huwa ananitembelea mara kwa mara, pia nina Boss wangu ambaye imetokea akamuona mdogo wangu bila hata kujua wamekuwa na uhusiano ye akisafiri au mdogo wangu akija Dar wanawasiliana na uhusiano huo...
  12. NgomaNzito

    Tiger woods hana demu wa kibongo pia alikuwa hatumii condom

    Bora mama huyu aanze mbele , mtu kula uroda kwa a porn star tena bila condom , kuna umuhimu gani wa kuishi naye? kawaida mtu akiwa hatumii condom hatotumia tuu na kama alicheat ata cheat tuu ,sawa kabisa kwa mama kuachana na huyu jamaa kwa usalama wake na watoto wake. Pia ukicheki jamaa hakuwa...
  13. NgomaNzito

    Yamenikuta... Sielewi nifanyeje

    Nina boyfriend ambae sasa tumeanza mwaka wa pili kwenye mahusiano yetu na katika haya mahusiano kutokana na huyo jamaa kuwa ni mkorofi, mtemi na anayeamua mambo yake mimi kumsikiliza tu sitakiwi kupinga na hata nikipinga halitafanyiwa kazi, katika kuanza mahusiano yetu nikatambulishwa kwa mama...
  14. NgomaNzito

    Usafi kipindi cha hedhi yepi mnayokutana nayo

    Kipindi cha hedhi wakina mama wengi hutumia njia mbalimbali kujisafi wengine hutumia pedi wengine vipande vya kanga na wengine maji tu yatosha. Lakini baada ya kutumia vifaa hivyo namna ya kuvitunza kwa ajili ya kwenda kuvitupa mara nyingi utakuta pedi zimezagaa kila mahali. Mie jambo hili...
  15. NgomaNzito

    Umeshapata Chanjo

    Umeipata hii kali ya huko Mbeya Wazee huko wanajichukulia visichana vidogo vya primary na vimepewa jina ati wanadai kupata chanjo ni kuvimega visichana vidogo.
  16. NgomaNzito

    Je kuja kwa Naomi Campbel kutaitangaza bongo??

    Hivi karibuni supermodo Naomi Campbel alitua bongo na kufanya Catwalk ya relief kwa mara ya kwanza ndani ya bara la afrika tena hapa bongo dar je hali hiyo itaitangaza bongo?? hapa kuna news from daily mail la uk Naomi Campbell attacks 'fashion world discrimination' against black models By...
  17. NgomaNzito

    Nimegoma....

    Jamani yamenikuta.. Nimegundua wife anamegwa na jamaa kama wawili hivi na amekuwa akiwacontact mara kwa mara kwa muda sasa, baada ya kufanya uspie na kugundua hayo nimemgomea kula tundi na kupunguza maongezi nae siku moja aliniuliza nikamweleza nimejua ana jamaa hao na nikamtajia majina na...
  18. NgomaNzito

    Secret to a happy marriage is...

    Kuna article hii kutoka dailymail la Uk kuwa ukioa Mwanamke uliyepishana naye miaka zaidi ya 5 na kuendelea ndoa yenu itadumu. Je ni kweli kwa jamii yetu ??? Tuijadili Why it pays to have a younger, smarter wife By Fiona Macrae Last updated at 11:02 PM on 25th October 2009 Forget...
  19. NgomaNzito

    Is it True Cheating is expensive for Men

    Haya yamenikuta kweli Bibie home hataki kuduu na mimi nina hamu ikabidi nicheki binti mmoja tupo nae jirani akakubali sasa tukaenda nae sehemu sehemu nikaanza kupiga cost Taxi: 15,000 two way Room: 25,000 Drinks & sosi:35,000 Mshiko kwa bint:30,000 Voucher:10,000 Total cost: 115,000 Kweli MBA...
  20. NgomaNzito

    Dr Slaa kuachia ngazi CHADEMA?

    Mwananchi iliripoti Jumamosi iliyopita kuwa wazee wa Chadema walikuwa wamepanga kukutana na Zitto ili wamuombe aondoe jina lake kwenye nafasi ya uenyekiti na kwamba, angepewa cheo cha katibu mkuu wa chama baada ya anayeshikilia nafasi hiyo, Dk Willibrod Slaa kuripotiwa kuwa anataka kujiweka...
Back
Top Bottom