Search results

  1. NgomaNzito

    Siku Rais Magufuli alipokuwa MC wa Dr. Dau

    Hapa kuna jambo linajengwa si bure msiyempenda kaja haha
  2. NgomaNzito

    Yanga SC vs Esperanca

    Dogo Mateo nimependa anavyocheza kwa kujiamini
  3. NgomaNzito

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Yule dogo mwenye dred aliyefunga goli la pili anacheza kwa kutulia
  4. NgomaNzito

    KESI YA KITILYA: Mahakama Kuu yatupilia mbali rufaa ya DPP

    Hapo umenena mkuu wa Havard wako mtaani
  5. NgomaNzito

    Mwenye CV ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam aiweke hapa

    Ana shahada ya uchumi Chuo cha mwalimu Nyerere (Mwananchi 23/03/2016)
  6. NgomaNzito

    Mwenye CV ya Meya wa Jiji la Dar es Salaam aiweke hapa

    Diwani wangu piga kazi achana na maneno cv ana shahada ya ukweli
  7. NgomaNzito

    Dili la Mafenesi Dar

    Mafenesi yamekuwa dili Dar kila hatua mbili kuna kitoroli wanachambua na kuweka kwenye vikombe vya plastic yaelekea biashara nzuri. Ila kama vile usafi tatizo wenye u juzi watujuze
  8. NgomaNzito

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    si kweli wote tumepiga kura ila Mungu ndie anayejua Wakina Makamba walichokifanya
  9. NgomaNzito

    Mikutano ya Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, Dar es Salaam - Septemba 20, 2015

    Maandalizi yanaendelea vizuri tunawasubiri viongozi na mwenyewe Lowassa
  10. NgomaNzito

    Lowasa Kigamboni kesho atapiga mbizi

    Mgombe Uraisi Edward Lowassa kesho atakuwa viwanja vya Tungi Kigamboni kuanzia saa 3 tutawajuza yatakayo endelea Tutawajuza yatakayokuwa yakiendelea Karibuni sana
  11. NgomaNzito

    Dkt Magufuli kugwaya kwenda Kigamboni?

    Kivuko kinatumiwa na magari.maguta na baiskeli yanayosafirishwa vyakula na mbogamboga hizo zote zilipanda bei maradufu nauli si hoja sana ukulinganisha na bei ya vitu tunataka mabadiliko
  12. NgomaNzito

    Zanzibar kuna nini mpaka Dr. Shein apate watu wachache kwenye mikutano yake?

    Kasema ataunda serikali ya umoja wa kitaifa tena
  13. NgomaNzito

    Jimbo la Ilala, UKAWA wamelipoteza kwa uzembe wao

    Kweli hata mie nimeona huyo muccadam kabandika picha kibao na wasiwasi kuna jambo. Hata kigamboni jamaa wa CUF naye yumo wakati jimbo liligawiwa Chadema na mgombea ni yule dada Ningeshauri viongozi wa Ukawa wakutane kuwashauri waliongilia majimbo waachie waliopewa kwani lazima watagawana kura...
  14. NgomaNzito

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Mazungumzo yote ufisadi ni Richmond tu ???? Escrow hamna Dr Mihogo anatudanganya
  15. NgomaNzito

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Kupunguza kodi kwa wanyonge
Back
Top Bottom