Search results

  1. L

    Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Je mpaka hadi sasa haijajulikana ni nini au mpaka iundwe tume?
  2. L

    Natafuta mchumba.!b-)

    Teh teh ....
  3. L

    Taarifa juu ya tiba ya Babu

    Mimi nionavyo,sitaki kuhukumu haraka ninacho jua Mungu anawezakumtumia mtu yoyote kwa wakati wowote kwa jambo lolote,bila kujali chochote,kama aliweza kutumia hata punda asiye mwanadamu,hata babu anawezakutumiwa na Mungu kuleta uponyaji,kama ni nguvu za giza waombaji na wasimame kwenye nafasi...
  4. L

    Sasa nimeamini asali isiyochakachuliwa ni tiba murua kwa wanaume!

    Sawa lakini kwa mtu mwenye tatizo la kisukari huyu itakuwaje
  5. L

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Aendelee na shule huku akiwashirikisha watumishi wa Mungu,maana nimewahi kushuhudia mtu akiponywa alikuwa na mkono mmoja mfupi baada ya maombi mkono ukalefuka na ikawa sawa yote,kwa wanadamu hili haliwezekani kabisa lakini kwa Mungu kwake yote yanawezekana..
  6. L

    Joto la Mwili

    Du? naona kama sinema je ya kweli hayo?
  7. L

    Ben Hinn kuachana na mkewe

    Ben ni mtumishi wa Mungu hawezi kuachana na mkewe na wamekuwa watumishi wa mda mrefu wote wawili kwa jaribu kama hilo haliwezi kuwashinda ni magazeti tu na kupakana matope basi
  8. L

    Balali alishakufa hatukuambiwa?

    Sitakaa kuamini kama ballal kweli alikufa,najua ni mambo ya movie tu hayo ili kuziba macho watu basi,lakini iko siku yataasha,nakuu Hayati baba wa Taifa usemi wake usemao "You can fool some people sometime but not all the people all the time" siku moja watasema yote
  9. L

    Mishahara ya wabunge, mawaziri na majaji juu!

    Waeshimiwa mishahara juu,Mbagala waathirika na mabomu elfu 30 sawa na mifuko miwili ya sementi na mchanga je,tutarenoveiti vipi hiyo nyumba yenye kreki ama kweli kuna kazi kubwa ya kuyafikia maisha bora kwa kila mtanzania,hivi silikali yetu inatufundisha nini.
  10. L

    Mandela's 91st Birthday

    Du mambo hayo
  11. L

    Atumia Dola 10,000 Kufanya Upasuaji wa Kujigeuza Shetani

    Je amewahi kumwona shetani? maana kitabu ninacho fahamu mimi Biblia takatifu,ina muelezea vizuri shetani alivyo kabla kuasi(hajawa shetani) ameanza kuitwa shetani baada ya kuasi.shetani ni kiumbe cha mwenyezi Mungu na alikuwa karibu sana na Mungu mwenyewe na alipewa mamlaka kubwa kabisa aliopewa...
  12. L

    Saluni za kunyoa nywele sehemu nyeti

    My God,hii ndio bongo land sasa,kwa mwendo huu!
  13. L

    Madhara ya kondomu

    Habari ndio hiyo,dawa ni kuwa waaminifu katika ndoa,na ambao bado na waendelee kusubiri mpaka wakati utakapofika..
  14. L

    Rostam na Manji watoe maelezo vinginevyo watiwe pingu!

    Kweli Mungu anajibu maombi,Hapana hii jana kali,kweli Mengi ni mtanzania halisi na anauchungu na watanzania na ni kweli tumechoka sasa tunahitaji mabadiliko,haiwezekani lazima watiwe pingu hawa mapapa nchi hii sio maskini ni tajiri sana,ni pale tu haya mapapa yatakuwa yametiwa pingu hayana...
  15. L

    Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    Inawezekana ikawa kweli,maana mimi nakumbuka ilikuwa 1994,nilikuwa nasumbuliwa na jino halafu nilikuwa ugenini nikuwa hapo Livingstone Zambia,sikuwa nafedha ya kutosha kung"oa jino nikashauliwa na mtu, lakini mimi hakuwa kunywa,niliambiwa asubuhi mapema kabla ya kula chochote nichukue glasi moja...
  16. L

    Je, unaijua sheria ya ndoa?

    Nadhani hii sijui kama ulimaanisha hivyo ilivyo,maana ninachojua kuna aina 3 za ndoa 1.Ndoa ya iliyofungwa kidini.2.Ndoa ilifungwa kiserikali.3.Ndoa iliyofungwa kimila. ndoa zote hizi zinakubalika na zinatambulika na kila moja inasheria zake na zinatofautiana sasa tutoe hoja kwenye aina ipi ya ndoa.
  17. L

    Ukipigiwa simu pokea vinginevyo!!

    Ya leo kali,you just put in a silent mode
  18. L

    Hizi ndizo nyumba zinazochangia kuenea kwa UKIMWI

    My God,kama mambo ndio hivyo,jiji letu linakwenda pabaya,na haya madangulo mengi ya hayo yapo ktk makazi ya watu wamepata wapi vibali,je kunausalama kweli,wenzetu Pemba walipinga mambo ujenzi wa jinsi hiyo.Haya wacha Mungu tumwombe Mungu mambo hayo yasiendelee isije ikawa kama Sodoma.
  19. L

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Mimi naunga mkono kwamba na tuwaache wazenji wajioongoze wenyewe bwana,mimi mpaka leo na elimu na elimu ya ndogo nilyonayo na umri nilionao bado sijaona sisi bara tunaong"ang"ania muungano je unatusaidia nini hasa,zaidi ya kuwa unatulemea tu na wao wanafaidika sana au hawa majisamaki wakubwa...
Back
Top Bottom