Serikali yenyewe imeitelekeza bandari ya Dar huyo DG ataweza nini? Mkataba wa TICS ni kandamizi na TICS hawaperform na hawajawahi kuperform. Bandari haina miundombinu itakuwaje efficient? Yaani hata hivi vidaraja hicho cha Tazara na hicho kingine kinachojengwa cha Uhasibu vyote vimeigonore route...
Mkuu una options 2 tu kwako. Kumpenda boss wako na kumkubali au kuachana na hiyo kazi ili usiwe naye karibu. Vinginevyo kuna gharama kubwa sana hasa za kiafya utazilipa huko mbeleni utake usitake. Huwezi kukichukia kitu unachoishi nacho halafu ubaki salama. I'm sure ww kama wengineo unatumia...
Hivi kwani tuko kwenye vita wa sasa. You are not being fair Kwa Nyerere kwa kulinganisa nyakati za vita na nyakati zisizo na vita. Kuna kipindi cha Nyerere serikali ilikuwa inatoa hand outs kwa raia wake kiwango ambacho hakijawahi kutolewa na awamu zingine zote zilizofuata.
Mkuu unasahau kuwa mkurugenzi wa mawasiliano ni ripota tu? She is not analytical and never she will be. Lazima kama nchi kuna mahali tulikosea sana maana si kwa fimbo hizi.
Kila tunakoenda tunaendelea kupigwa kinoma. Wakenya nao wanatupiga sana sana. Citizen jana limesema Kenya ndiyo wamenufaika zaidi na ufunguaji nchi wetu holela kuliko sisi tulivyonufaika.
Mkuu kama hapa kwetu mlaji (final consumer) anailipa serikal mpk compensation ya loss on evaporation ya hayo mafuta yakiwa njiani huko kwenye maji bado unatarajia bei zetu ziwe chini ya hao majirani? Siku ikitokea tukapata serikali inayowajali watanzania ndiyo itakuwa sahihi kufanya huo...
Mkuu kuna mahali sisi sote kama nchi huenda tulimkosea Mungu ndiyo maana ya haya yote. Kwa hiyo zile tozo kandamizi nazo ikitokea zinaondolewa itaonekana kuna nia ovu ndiyo maaana zinaondolewa au???. Hii si akili ya kawaida hata kdg. Kama mtu anaweza kuafford bundle la internet anawazaje kuwa na...
Ukimuona anapoongea utasema kiongozi si ndiyo huyu kumbe Mungu wangu ni bogasi la kutupwa. Halafu kuna mtu tunaambiwa anaupiga mwingi wakati wizi umetamalaki kila kona hivi vigezo vyetu vya kuwapima viongozi viko anti clockwise mbona kama sielewi??!!!!
Hivi viongozi wetu ni nani aliyewaambia kwamba watanzania wote ni wajinga? Umekuwa ukifura siku zote baada ya hapo hkn cha maana kinachofanyika. Mwaka jana ulifura sana Temeke khs usifadi wa ujenzi wa barabara ya kijichi mpk kigamboni. Baada ya kufura ni nini kiliendelea? Ni heri mkae kimya na...
Hkn anayechafuliwa kama hukufuata taratibu ni wewe usiyefuata taratibu ndiyo umejichafua. Mfano Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dodoma wamechimba kisima cha 300m wakakitelekeza ni nani amewachafua hapo kama si wao wenyewe kujichafua?
Au MSD staff mmoja analipwa 72m kama posho ya safari ya...
Besides, nani kasema changamoto yetu kwenye utalii ni kutokujulikana kwa vivutio vyetu? Studies kibao zimefanyika khs hili hata sisi ambao utalii si fani yetu tunafahamu changamoto za utalii wetu ni ukosefu wa hotel nzr za kueleweka, gharama kubwa za hizo hotel chache zilizopo na mengineyo...
I feel you mkuu. Kama ilivyo kwa mtoa post, mimi pia umri wangu ni 40+. SIna hakika kama tuko sawa. Mfano mmoja tu, sikumbuki mwaka ambao mkuu wa nchi alikuwa nje ya nchi kwenye visit ya kawaida ambayo si dharura kama matibabu kwenye siku muhimu kama ya leo tunapoukumbuka muungano wetu. Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.