Search results

  1. K

    I hate Siku ya Wapendanao

    Ni siku nzuri pia kwa kurepea mahusiano yaliyoanza kuzua vizaazaa au wenzetu wanaita drama.Unaweza kutuma au chocolate au kipande tunda kama vile apple au embe dodo. unaweza kutuma kadi kuondoa ukimya au unaweza kumpigia simu na kumtakia siku njema ya wapendanao. Ni siku nzuri ya biashara kw...
  2. K

    Maoni kuhusu Biashara E-Africa

    Biashara nzuri ni ile unayoipenda wewe na kuweza kuifanya wewe mwenyewe. Je unataka ushauri wa kufanya biashara wewe mwenyewe au kuwekeza kwenye biashara nzuri. Kama unataka kuwekeza Tanzania kuna sekta za beer na sigara. Watu wanakunywa sana pombe na kuvuta sigara na kuhatarisha afya zao. hivyo...
  3. K

    East African Federation (EAF) public Views

    Matabaka kati ya matajiri na maskini yapo kila mahali duniani. Yakizidi kutokana na uzembe wa serekali hapo ni issue. Lakini kama matajiri wanazidi kuwa matajiri kwa jitihada zao na kwa kufuata sheria kuna ubaya gani wa kuwa tajiri. Kikubwa ni kuwaeleimisha wananchi waelewe faida za utajiri na...
  4. K

    Mhe Waziri hujafunga zipu!

    Bongo joto kali sana air condition ya nguvu. Itakuwa fashion sasa mtu na press conference anafungua zipu. Mnasahau kuuliza maswali yenu yote mnawaza zipu ya mtu zenu mnaangalia mkimaliza nyeto?
Back
Top Bottom