Search results

  1. F

    PICHA: Sajuki shavu dodo, sasa Mungu mkubwa

    Sifa zote njema ni za mwenyezimungu mola mlezi wa viumbe vyote, yeye tu ndio tunamuabudu na yeye tu tunamuomba msaada na alitakalo ni kun fayakun. inawezekana kwani asichokiuwa mungu binadamu hawezi kukiua kabisa. inshallah twakutakia kila la kheri uzidi kupata nafuu na urudi kwenye kazi zako...
  2. F

    Sajuki anaendelea vema mda wowote atarejea nyumbani

    Namtakia kila la kheri sajuki, mwenyezimungu ampe siha njema arudi na kuendelea na kazi zake amin.
  3. F

    Sajuki anaendelea vema mda wowote atarejea nyumbani

    namuembea sana sajuki, mola amuenue na kumrudisha kwenye hali yake ya kawaida, inshallah sajuki utapita kwenye mtihani wako bora uwe na imani tu. usivunjike moyo kwani mwenyezimngu amekukumbuka. kuwa na subra na mola atakuondolea matatizo yako. amin
Back
Top Bottom