Search results

  1. Jakowili

    Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    Nimejikutwa natokwa na machozi tu,hii nchi yetu jamani,kila mtu aiombee kwa imani yake,siku moja tutafika tu ila tukiwa tumetepeta sana.
  2. Jakowili

    Wazungumzaji wa lingala na kiswahili cha kikongo tupeane phrases za Lingala

    Mutuka munene ekangi nzela Gari kubwa limeziba njia(barabara)
  3. Jakowili

    Naomba ushauri: Nichukue ipi kati ya Redmi Xiaomi na Samsung?

    Naomba unielekeze wapi wanauza hizo Xiaomi redmi note 10 kwa 400k nahitaji hiyo simu serious
  4. Jakowili

    Wapi wanatoa kozi ya udereva wa malori kama scania, volvo n.k?

    Unajua gari ni kama mke nyumbani unakaa nae kila siku akinuna unajua leo nimemvuruga kwa namna moja au nyingine na tatizo kwenye gari uwa mara nyingi uanza taratibu mpaka kufikia kuaribika kabisaa, dereva mtaalam lazima ajue chombo chake anachokitumia, kwa sababu ufanyaji wake wa kazi inakuwa...
  5. Jakowili

    Wapi wanatoa kozi ya udereva wa malori kama scania, volvo n.k?

    Huo ni mfumo mbaya sana,mimi nilianza kuendesha bila ya kwenda huko veta na wala sikuwahi kuwa tandiboy sijui,nilikuwa najua kuendesha gari ndogo manual nikapata fuso tipper ya tani 4,nikaendesha tu,japo kuna tofauti kubwa kuendesha gari ya mzigo na gari lisilo na mzigo, baada ya hapo nikapata...
  6. Jakowili

    Wapi wanatoa kozi ya udereva wa malori kama scania, volvo n.k?

    Chuo kipo morogoro kihonda pale atajifunza darasani kisha ataingia barabarani akitoka hapo ameshakuwa dreva,ila itamlazimu apate mtu mwenye kusafiri nae apart uzoefu zaidi
  7. Jakowili

    Nafasi za kazi Simba Logistics Limited

    Vigezo vingiii uliza malipo ya safari sasa ndio utajuta ndio maana wanaishia kupata madereva ambao sio mahiri
  8. Jakowili

    Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Tandem ni lorry lenye double diff na lazima iwe na leaf spring,zipo lorry zenye diff moja ila ina axle nyingine yenye kutumia airbags hiyo axle ya nyuma inaweza kunyanyuliwa ikawa inatumika moja yenye diff Hiyo inaitwa tag axle
  9. Jakowili

    Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Dar Lubumbashi ikizidi sana ni siku 10 iwapo hakuna Mambo yatakayo kukwamisha jinsi uwezo safarini,kinachofanya watu kukaa sana Congo ni matajiri kutokupenda kulirudishia gari bila mzigo,ndio unajikuta nimeshashusha mzigo,unasubiria wa kurudi nao Tanzania
  10. Jakowili

    Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Zipi trucks aina mbalimbali kama Volvo,scania,Mercedes-Benz,Dad c.f.,Dad Xf,Man diesel na mengine ila kwetu Tanzania Scania ndio truck inayoongoza hasa ukizingatia upatikanaji wa vipuri na matunda makenika wengi wanafikiria sana,ila kama unaanza usikimbilie trucks za G Au R series Euro 5,yavuta...
  11. Jakowili

    Trucks and truckers special thread. Uzi maalum kwa wadau wa magari ya mizigo na wasafirishaji

    Tatizo wamiliki wa malorry wengi anaipenda sana cheap driver,wamesahau kuwa udereva ni taaluma kama zingine wanafikiria kuendesha gari ni kwenda mbele na kulenga madaraja,dereva ni zaidi ya hapo,kwenye malipo ya dereva nani anajua dereva analipwaje kwa safari ya kutoka Dar kwenda Congo au Dar...
  12. Jakowili

    Udongo mfinyanzi kutoka Rwanda

    Tujivunie vya kwetu jamani wa Tz wanawake wapo wakali sana,
  13. Jakowili

    Howo Vs Scania

    Hizi tractor utofautiana uwezo kutokana horsepower,hapo bongo scania kubwa kabisa hp 470-480 na ni chache sana wakati uku bondeni kuna vitu kama Freightliner Argossy ya kawaida unakuta ina hp 540 inaparamia milima tena ikiwa na mzigo heavy kwenye lowbed trailer,kwahiyo nataka kusema nguvu ya...
  14. Jakowili

    Howo Vs Scania

    Reduction itamgharimu kwenye mafuta kwakuwa hiyo diff ni ya low spead
  15. Jakowili

    Howo Vs Scania

    Acha kumchuuza mwenzio,113 ni gari ya kizamani na aina uwezo mkubwa kama Howo,kwa kuanzia kazi bora uchukue howo mpya kaka,kwanza kabisa howo wakati wa service unatumia kiasi kidogo cha engine oil tofauti na scania, howo utatumia 20ltrs za oil, wakati scania 40ltrs, howo kwako wewe tajiri...
  16. Jakowili

    Mjadala: Je, ni kwanini gari hupoteza nguvu? Je, unawezaje kutatua tatizo hili?

    Hiyo gari inatumia mfumo wa coil au distributer? kwa uelewa wangu mdogo ili gari ipige res vizuri lazima plug ziwe madhubuti,kama inatumia distributer waya zinazokwenda kwenye plug zikiwa na mchubiko tu inapoteza moto na kusababisha miss. Hivyo uwezi kuexcelerate ipasavyo, na kama inatumia...
Back
Top Bottom