Search results

  1. F

    Asanteni kunikaribisha huku naomba ushirikiano

    Kwasasa umeokokaka na kwenda kwenye Chama cha Mizigo kweli Siasa za Bongo huzijui au Umemfata Mwigulu?
  2. F

    MJADALA HURU:- Said Issa Mohamed

    Raya Khamisi
  3. F

    Hujuma Dhidi ya Zitto Kabwe hii hapa,Mungu anazidi kuwaumbua wanafiki

    Usiwe kama mwalukosi wewe mwaupete
  4. F

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Maswala ya ndoa au kuwa na kimada hili jambo mumuachie mkewe Mbowe, kwa upande wangu hata Mbowe mumchafue vipi katu hawezi kufanana na Mizigo ya Chama Cha Mizigo au pia halitowafanya Wanachadema wampende Zitto au Watanzania waipende CCM
  5. F

    CHADEMA: Ufafanuzi juu ya Taarifa ya Ndugu Ali Omari Chitanda

    hoja zote zimejibiwa,mmeandika wenyewe halafu hamjui mlichokiandika,tafuteni chama mkatoe mawazo yenu hayo ya ajabu]
  6. F

    Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu...

    Nilikuwa navutiwa sana na Makala za Maggid lakini kwasasa huwa napoma kijujuu ili nione upuuzi gani ameandika navyofahamu mm mtu ambaye background yake ni Iringa hasa lazima atakuwa mwanamapinduzi hata akiwa ndani ya CCM ila kama ni wakuja lazima awe kama Maggid
  7. F

    SUGU; HONGERA sana WAZIRI WA VIWANDA KIGODA

    Joseph Haule? Mbunge wa Iringa mjini?
  8. F

    Maneno aliyosema Lema Olasiti Arusha

    Safi maana wengine tayari walianza kupotosha
  9. F

    Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

    Songoro kwani maprof wanatakiwa wawe na limitation of source of reference? Prof hakosei? Je prof. Hawezi kufika mahala akawa mchumia tumbo? Mm namshauri akipenda achukue ushauri asipopenda akiona Lema hafai kwa reference aache but only the matter of time
  10. F

    Prof. Baregu aivuruga CHADEMA

    Prof. Baregu tafuta hotuba ya Mh. G Lema aliyosema namnukuu 'ukiona CCM wameanza kukusifu inabidi ushtuke huenda kuna mahala umekuwa Boya' So mzee Baregu nakuamini sana naomba uendelee kutunza imani yangu kwako
  11. F

    Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

    Uimara wa Chadema unasababishwa na uwepo wa Dr Slaa. Maranyingi mti wenye matunda ndio unaotupiwa mawe
  12. F

    DR.ASHA-ROSE MIGIRO Amekubali kuwa mpishi wa siasa chafu za CCM?

    Dr Migiro kumbe hana tofauti na Anna Abdalah magamba kazini
Back
Top Bottom