Search results

  1. Walace_William

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    jasho la mpishi ni kiungo cha mlaji
  2. Walace_William

    Nimemnunulia Vitz hataki anataka Klugger

    We unaonaje kwani...anamapenzi Hapo bado roho yako tu kuiomba..
  3. Walace_William

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Kama mama yake kakuambia umuonyeshe pa kumpeleka na anajua tabia ya mwanae, wewe sogea na huyo mama mpaka gerezani mwambie kama wewe hujaona pa kumpeleka vipi humu gerezani patamfaa kwa tabia yake, huyo mama akipanic na wewe kuwa mkali umwambie ajue sasa pa kumpeleka... Au huyo mama kakushika...
  4. Walace_William

    Amebadilika sana, nikimuuliza anasema yupo bize

    Dada yangu, kwa huyo jamaa haupo mguu ndani mwengine nje, we umezama kabisa la sivyo usingekuja huku kuomba ushauri. We kiamshe mapema tena akikutafuta na wewe unamkatia simu, akituma msg unaipotezea, tena block namba yake kabisa, mbona vitu vyengine simple tu na vipo wazi. HAKUPENDI hilo...
  5. Walace_William

    Binti wa miaka19 anahatarisha uchumba wangu, mchumba namuona mzee

    Umepiga lugha yako yoooote, ila kifupi kuna mambo umeonyesha dhahiri. 1-Haufikirii kwa ubongo wako bali watumia hicho kichwa cha katikati ya miguu kuwaza. 2-Unatamaa ya visichana, ninawasiwasi hata ukiingia kwenye ndoa utatamani dogo dogo 3-Haupo tayari kwa uchumba ila upo kingono zaidi...
  6. Walace_William

    Tulianza kama kumkomoa mume wake, eti sasa hivi ana mimba yangu

    Kabla hamjaanza uzinzi wenu mbona hukuomba ushauri.. Now ndio unakuja kusumbua watu eti ushauri... Ulimuonyesha maujuzi kitandani akapagawa.. Monyash sasa na ujuzi wa kulea... Nyambaff
  7. Walace_William

    Ingekuwaje kama binadamu wote tungefanana.....

    Tukiangalia China hawafanani ila balaa tupu...kuwatofautisha ngumu....hasa wote tuwe kama wewe...duh....sharobaro asingekuwa na kazi
  8. Walace_William

    Mhaya tapeli na mchaga

    Kuna watu wamekaa ukabila kabila tu mwanzo mwisho,haya sasa moral ya story yako ni nini?? Na huyo anaedai wahaya wanaazima magari na yeye mbwiiiilu....umesimuliwa na wewe uka edit uonekane unastory.... Ndugu kama komedi toeni zenye akili sio mnajinaaaadi na kuleta ukabila...maisha yenyewe...
  9. Walace_William

    Wahaya wote inawahusu!!!

    MH!! Wapendwa kaka zangu na dada zangu...Mimi kama Mtanzania na Muhaya,nimehuzunishwa na matusi,kashfa na kejeli za hii thread kuhusiana na Uhaya...ni kweli tuna mapungufu yetu ila ni kila mwanadamu ana yake,ukabila upo kila sehemu,ni vile kila mtu anamtupia mwenzake kesi badala ya kukubali na...
  10. Walace_William

    Misemo ya Mpoki jamani!

    wapendwa....hata Mpoki kasema.. "Ukiona panya kakatisha sebuleni ujue anataka kujulikana." huyo mwenzetu anayedai yupo Ulaya alikuwa anataka ajulikane,tushamjua,na maoni yake tushayasikia,sasa namuomba apeleke malalamishi yake kwenye website ya Ze Orijino Komedi ili yashughulikiwe na sio...
  11. Walace_William

    Nani Msaliti?

    mh...kazi ipo
  12. Walace_William

    Ukitaka kujua kama umekuwa ADMITTED na TCU do this

    naomba tusiwe tunajifanya twajua kumbe hakuna lolote....mwenye kuelewa aendelee,wa kutania anyamaze na kujifunza kutoka kwa wanaoelewa...wa kuleta matani basi aingie google kuna lots of jokes there....kiroho safi tu
Back
Top Bottom