Search results

  1. C

    Nchi inapokuwa na Waziri Mkuu mlalamikaji na mshangaaji bila kuchukua hatua zenye matokeo, shida iko wapi?

    Ninaona waziri mkuu akianika madudu ya serikali kama raia asie na mamlaka. Anakuwa mtu wa kusoma uovu kwa kushangaa na kulalalmika, nikisha hakuna kinachoendelea juu ya maovu hayo. Tatizo ni kwamba hana uwezo?, si kazi yake?, hana nia thabiti zaidi ya propanganda za kisiasa? AU genge la uharibu...
  2. C

    Je, ni Umoja Party, ama tusubiri kingine?

    Ccm imechokwa na kila mtu asiyekuwa fisadi, mnufaika wa ufisadi na asiyekuwa mwana ccm. Watanzania wamekuwa wakisubiri Chama cha Ukombozi kutoka madhira ya ccm. Je ni Umoja Part, ama Kingine? 1). Katika Umoja Party, ni muasisi pekee ndie mmiliki wa chama ama ni chama cha watu na kila mtu...
  3. C

    Waliompiga mawe Askofu Gwajima kuhusu sintofahamu ya chanjo, njooni hapa. Mtalipa fidia gani kwa waathirika wa chanjo?

    Chanjo yaanza kubadilisha utu wa binadamu. Ni kipindi cha ukweli na uwazi. Msiwafanye Watanzania mazezeta ama kwa makusudi, ama kwa kutokujua kwenu, ama kwa vyoyote vile. Kama mnavyotoa takwimu za wachanjwaji, mnaweza kutoa takwimu za kweli za wahanga wanaoganda damu na madhara mengine...
  4. C

    Katiba na Siasa za Tanzania - Tuwekane sawa

    Kiwango kilichofikiwa kinafikirisha. 1. Kufanya siasa kwenye ubora wa elimu ilikuwa mkakati wa muda mrefu uliobuniwa na utawala wa awamu ya pili ili kuwa na taifa la watu wasiojielewa kusudi waburuzwe, AU ilitokea coincidently tu kulingana na uelewa wa kiongozi wa nchi juu ya maana na umuhim wa...
  5. C

    Serikali inapokopa ili kulipa madeni, ni maendeleo?

    Nimetekewa kidogo, na nimetindikiwa na amani kwa sehemu, lakini nimepata msukumo wa kulileta hili suala hapa kwa uchambuzi zaidi. Nitaweka mada yangu katika maswali ili katika kuyajibu, tupate muafaka wa kitaalam juu ya azimio la kukopa ili kulipa mikopo. Kama wewe si mtaalam, au hujui, au huna...
  6. C

    Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  7. C

    Watanzania tunathamini umuhimu wa Serikali na tuko imara kuilinda: Rais tunaomba utuongezee nguvu

    Watanzania tulio wengi, hatuna uraia pacha, na tunajua hapa ndipo nyumbani kwetu, japo tunaweza kwenda matembezini lakini mwisho wa siku hapa ndipo kwetu. Kwa mantiki hiyo, kiu yetu ni kuhakikisha nyumbani kwetu panadumu kuwa mahala safi na salama kwa ustawi wetu na vizazi vyetu vijavyo...
  8. C

    Kama ni kweli kwamba Serikali sasa imedhibitiwa na mitandao ya waharifu, Wanyonge waishije?

    Nimefuatilia masuala kadhaa, yanakipeleka kuwaza mustakabari wa Wananchi wanyonge na vizazi vyao uko namna gani. 1. Kisa cha Mfanyakazi wa Wizara ya Afya aliyekamatwa na polisi kule mpwapwa akanyang'anywa fedha zake, akateswa, akatishiwa, akaandikiwa karatasi na kulazimika kuisaini bila...
  9. C

    Chama Kipya cha siasa - Umoja Party - Ni mwisho wa ccm, Ccm B au Upinzani?

    Je, Ni huyu ama Watanzania wamngojee mwingine?
  10. C

    Tuwasaidie CCM, wapo katika vita ya ndani (CCM kwa CCM) na vita ya nje (CCM na Watanzania)

    Ni dhahibi kwamba Ccm chama cha siasa kikongwe kuliko vyote vilivyopo Tanzania, sasa kiko katika vita ya ndani (ccm kwa ccm) na vita ya nje (Ccm na Watanzania). Kwa ndani wana ccm wanashambuliana mercilessly wakipigania itikadi kinzani. Wako wachache wenye nguvu wanaotetea ufisadi na kuupamba...
  11. C

    Uzi wa kupeana mbinu za kuondoa vitambi na kutengeneza mwili - Karibuni tupeane maarifa

    Wanajamvi, natumaini ni siku nyingine njema kwa kila mtu ambayo Mungu ameifanya. Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya kuondoa vitambi, kutengeneza mwonekano bora wa mwili na kuimarisha afya. Naomba yeyote mwenye weledi katika haya achangie hapa ili kuwasaidia watu wanaohanganika na matatizo haya...
  12. C

    Sikiliza clip hii ili ujue a.k.a ya nyoka aliyemdanganya Adamu kule eden

    Imenishangaza kidogo kuona clip hii ambayo inazungumzia kiumbe aliyemlazimisha adamu kumwasi Mungu. Ina maana huyu joka, ndiye anayeendelea kudanganya watu wauane, wachinje wenzao na kuendeleza vurugu duniani hadi sasa? Naomba uwafikishie hii clip watu wote wanaomwabudu nyoka ili yamkini...
  13. C

    Mkopo wa dharura unahitajika. Dhamana ni nyumba iliyopo Dar es Salaam

    Ndugu zangu, nimefikiwa na watu wanahitaji shilingi milioni tano (5,000,000) kwa shughuli za kibiashara. Wanasema wako tayari kulilpa mkopo huo kwa riba ya miezi miwili. Nilipowahoji, ili kuwasaidia, wakasema 1) Wanamazao yao ya biashara wanatakiwa kuyaweka sawa na kuyafikisha sokoni kabla...
  14. C

    Hii iliandikwa jamaa akiwa kwenye kifafa cha Shaytwan, alipokuwa karogwa, au wakati kapoteza fahamu, au ni nini jamani? Hebu tuwasaidie ndugu zetu

    Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!. NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za...
  15. C

    Hutakiwi kujua habari hizi kama unajielewa kazi iendelee

    Watoto 200, weusi wenzangu kutoka Nigeria, Walichanjwa chanjo za majaribio kwa hila, wakaahidiwa kulipwa iwapo watadhurika. 11 wakafa, wengine wakapata madhara ya kupooza na mitidio ya ubongo, kisha wakatapeliwa hata hayo malipo. Bado Africa hatujifunzi tu, tunalazimisha watu wafanyiwe...
  16. C

    Mafunzo nyuma ya mrejesho wa kinachoendelea mahakamani kesi ya CCM dhidi ya wananchi

    Uzi huu, ni maalumu kwa kuandika mafunzo unayoyapata kutokana na kesi namba 16/2020 inayoendeshwa katika mahakama kuu kitengo cha ufisadi na uhujumu uchumi. Ninaomba tukutane hapa kufanya majumuisho ya mafunzo yakini. Kwa upande wangu:- 1. Ninaona kana kwamba polisi wanafanya kazi nzuri wakiwa...
  17. C

    #COVID19 Marekani: Maelfu walaumu chanjo ya COVID-19 kwa kupoteza uwezo wa kusikia baada ya kuchanjwa

    Waziri wa Afya, alilihakikishia Taifa kwamba Chanjo za Covid-19 ni salama, baada ya kufanya scientific research. Leo dunia imeanza kupata majibu ya maswali ambayo wafanyabiashara walizuia watu wasishirikishane. Wengine hapa walitukanwa matusi, wakaitwa kwenye vikao hadi wakahisi maisha yao...
  18. C

    Maneno ya Osama baada ya Al-Qaeda kulipua balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya

    Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo...
  19. C

    Serikali, Bunge na Mahakama ninaamini mtapata somo fulani hapa...

    Bila kuwa na mifungamano ya itidaki ama kambi yoyote, na kwa misingi ya utaifa, naomba kuwasilisha ujumbe huu kwa taifa moja la Africa Mashariki, ili ijapokuwa halijasemwa ni taifa gani, lakini naweza kuwa angalizo la kuzingatia kwa viongozi wetu katima mifumo ya ushauri na maamuzi...
Back
Top Bottom