Search results

  1. K

    Naomba ushauri,Housegirl kanilengesha mpaka Nimetembea naye

    Tengeneza fitna kwa mama amfukuze lianzishe kama anakumendea hivi mpaka mama aone hawafai Sent from JamiiForums
  2. K

    Kwa anayehitaji kununua almas ( diamond) kiwango kikubwa larger qty

    Habari , nimeshindwa kukuelewa jinsi ulivyochangia mada hapa jamvini na unaniita tapeli. unaweza nieleza ni wapi nilikutapeli? au kosa langu ni nini hasa? mbona wenzako wamepita kimya ? naomba tuheshimiane tumia vizuri hiyo akiri yako. mimi ni nina leseni 2 za madini moja ya kujimba nyingine ya...
  3. K

    Kwa anayehitaji kununua almas ( diamond) kiwango kikubwa larger qty

    Wapigaji on the net duh njaa zitawaua nasikia wazungu wameshtuka hawapigiki ndo mnaamua kupiga walalahoi wenzenu kama mngekuwa. Mnataka soko la nje mngeandika tangazo lenu kiingereza mate audience kubwa zaidi lakini kwakuwa mnalenga wanaoongea kiswahili ndomana mmeandika kiswahili huku itakuwa...
  4. K

    Kwa anayehitaji kununua almas ( diamond) kiwango kikubwa larger qty

    Duh matapeli kweli mmechoka sasahivi mpaka mmeamua kuiga local maana wazungu wameshawashtukia .we kweli uwe na diamond halafu uangaike kuiuza wakati unafuata taratibu zote za nchi we kweli ni mwenye mawazo finyu ukidhani unaweza kuibia watu humu.lakini kila la kheri maana wanazaliwa kila siku...
  5. K

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Jamaa inabidi atuambie posho huwa anakataa kwakuwa ana income gani ya kussoport Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  6. K

    Vigogo wagawana viwanja vya Gezaulole

    Hivi kwani wao hawana haki ya kuomba na kupewa viwanja?
Back
Top Bottom