Search results

  1. U

    Dhamira ipi aliyonayo mzee nkoswe? Tamani kumfahamu

    "Kasenti" SEMA PEOPLES!!!!!!! POWER!!!!!!! Najua huwezi kusema kwa sababu umejaa magamba! wenye magwanda tu ndo wanaweza kusema Peoples!!!! Power!!!! Mwito wa CHADEMA sasa hivi ni kila mtu alipo, aanze kufungua Matawi HATUSUBIRI TARATIBU hizo taratibu zitafuatwa baadaye!!! Au nikupe...
  2. U

    Dhamira ipi aliyonayo mzee nkoswe? Tamani kumfahamu

    KASENTI, Kasenti! KaSenti! Mbona Umekosa Mantiki katika thread yako? Unaonekana una jambo kichwani lakini bado haujafahamu namna ya kuliwakilisha katika Chombo kikubwa cha Umma kama hiki. SIKU NYINGINE FIKIRIA kabla HAUJAAMUA KUANDIKA. Na endapo una matatizo yako binafsi yamalize kwanza ndo Uje...
Back
Top Bottom