Kabla ya kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha, alikuwa ni Mwalimu wa Hesabu UDSM, ni mtendaji na mfatiliaji.
Kwa uongozi wake, alifanikisha Shule ya Sekondari ya kata inayoitwa MWANDET iliyopo Arusha kuingia katika Top Ten ya Shule zilizofanya vizuri matokeo ya kidato cha...
aliemleta Stevie B pale Clouds FM (CMG), ni Ruge Mutahaba, kipindi hicho jamaa yupo East Africa Redio, kipindi cha The Cruz.
Ruge aliwahi ulizwa ni Dj gani anaemkubali ambae hayupo Cloud, akamtaje Stevie B, from there Steve akaja Clouds, kipindi hicho kufanya kazi Clouds ni ujiko mjini
Ndie Dj...
Waganda wanaagiza Nguo kutoka China, mzigo unapitia katika Bandari yetu ya Dsm, unapelekwa Uganda, then sisi Watanzania tunasafiri kwenda Kampala kununua Nguo zilizopitishwa katika bandari yetu. Kwanini sisi hatuagizi nguo kutoka China.
HATUJACHANGAMKA
Nimeguswa
Nimewaza Juzi alivyoenda South Africa alisafiri na JK na walikaa siti moja, nadhani JK alimpa makavu live na sasa kaona isiwe shida arudishe mpira nyuma aanze upya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.