Search results

  1. M

    Mwizi na Dogo

    Mwizi mmoja alienda kuiba kitaa kimoja hivi,akabaatika kuingia kwenye nyumba moja pale kitaani.Alipoingia ndani akafanikiwa kuchukua baadhi ya vitu.Alipo maliza kuiba si akataka asepe,dogo akamkamata mguu akamwambia usipo iba na begi langu la shule napiga kelele.
  2. M

    Nani anaweza kushindana na huyu?

    Akikutia ngumi huyu, anaweza akakuua.
  3. M

    Nani anaweza kushindana na huyu?

    Akikutia ngumi huyo,anaweza akakuua.
  4. M

    Don't Mess with this tribe

    Haoni hatari kukutoa roho
  5. M

    Hebu angalia wanyamwezi tunavyo Re-mix maneno/majina ya kiingereza/kiswahili.

    Matching guys-machinga(watu wanajua kulazimisha)
  6. M

    Doctor anakagua nini????

    Ni kweli,wakikuona we ni boflo huendi kokote
  7. M

    Kwa anayejua wapi nitapata Kazi ya utangazaji under 18

    Jamani kwa anayejua nitapata wapi kazi ya utangazaji under 18 nisaidieni.I lOVE THIS JOB ITS MY HOBBY
Back
Top Bottom