Search results

  1. A

    Sifa za Mashangazi Original

    1. Awe na umri kuanzia 40+ na awe na kwake (private), 2. Awe mfanyabiashara mwenye bar, Mama lishe, saloon au boutique. 3. Awe na ndinga (Harrier au hata Alphard si mbaya), akuachie uwe dereva wa hiyo gari kupiga nayo misele baada ya kumshusha kazini kwake. 4. Awe na minyama (tumbo, wezere na...
  2. A

    Utitiri wa Mamlaka za Udhibiti (Regulatory authorities)

    Wenzetu wanawaza kuendeleza ubunifu (innovation) kila sekta. Hapa Tanganyika tunawaza kudhibiti na kubunya kila uchwao, zifuatazo Ni mamlaka za Udhibiti; 1. EWURA, 2. LATRA, 3. TCRA, 4. TCU, 5. NACTVET, 6. NEMC, 7. OSHA, 8. TBS, 9. TMDA, 10. TARURA/TANROADS, 11. TIRA/NIC, 12. Bodi ya Korosho...
  3. A

    Tuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar Milele na Milele!

    Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee. NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60 ya kumfurusha Sultani.
  4. A

    Uhaba wa Dola (USD) ni fursa iliyojificha

    Uhaba wa Dola nchini utaibua mabilionea wapya kupitia "black market" bado Kuna kijana analalamika ukosefu wa ajira?
  5. A

    Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

    Katika Kupunguza msongamano wa magari mijini na kuongeza mapato ya TARURA napendekeza yafuatayo; 1. Ada za maegesho zingeboreshwa mpaka kufikia TSH 5,000 Kwa kila gari kwa muda wa saa 1. 2. Maslahi ya Madiwani na wahudumu/ wakusanyaji ushuru (mishahara na vitendea kazi navyo viboreshwe).
  6. A

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
  7. A

    LUKU inakula umeme sio poa

    Toka tarehe 22/12 umeme unaenda kwenye luku sio poa. Wastani wa units 28 Kwa siku Kwa nyumba ya kutumia balbu 5 na friji, TV
  8. A

    Dar Lux kapotezwa?

    Niliwahi kufanya interview na mmiliki wa hizi chuma. Full confidence/misifa Kama yote. Nn kimetokea? Uchawi? Alilewa sifa? Customer care? Nchi nyingine hawa wafanyabiashara husaidiwa maana hutengeneza ajira Ila hapa, mpaka utoke damu masikion ndo TRA wakuachie
  9. A

    Kuna mfanyakazi 'immigration', TANESCO au TRA Maskini?

    Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
  10. A

    Simba la Masimba Dangote ndani ya Unguja

    Simba la Masimba Dangote anakiwasha Unguja Leo. Dunia yote inasubiria tukio Kuu uwanjani. NB: karibuni sana Unguja.
  11. A

    Uchaguzi Mkuu RSA-ANC Ngoma nzito

    Kama mnavyojua ANC ni Chama rafiki wa Chama Chetu. Sasa ni zamu yetu kuwafundisha mautundu ya kushinda Kwa kishindo katika uchaguzi wao wa 2024. Kwa sasa hao ANC wamekabwa koo na DA (Western Cape yote), KwaZulu Natal na Gauteng. Yaan bila pesa kumwagwa huko itabaki Stori.
  12. A

    Majimaji FC Special Threat

    Wanalizombe Jambo hili ni letu. Tumuombe Mhe. Dr Jokate atusaidie kufufua timu yetu ya nyumbani
  13. A

    Milioni 300 zinakaribia pensheni ya Ubunge

    Ukatae 300m TZS halafu usubiri pensheni 400m TZS baada ya miaka mitano? Halafu hizo 300m zinafananaje?
  14. A

    Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

    Wakuu, usiku wa kuamkia Leo, nimeibiwa Ng'ombe 10 kwenye shamba langu hapa Kisiju. Wameacha ndama 2. Waswahili wameona naenda kupiga hela Krismasi wakaona waniwahi. Asee epuka kukaa na waswahili km.kibuyu
  15. A

    Dr Mathayo David Mathayo "Mwananwa Kaya" mitano tena!

    Msomi (PhD) na Kiongozi mashuhuri dunian na Mbunge wa Same (M) karibu tena jimboni uhudumie wananchi kipindi cha 2025-2030. NB: safari hii TOA misaada ya pikipiki 3000 (Kwa mchanganuo ufuatao 1500 ukanda wa miliman, 1500 tambarare) kwa vijana badala ya ambulance. Hap bodaboda ndio uzunguke nao...
  16. A

    Hospitali za Umma ni kama lango la kifo

    1. Ukifika hospital za Umma ni kama upo langoni kuelekea kifo. 2. Huduma mbovu, pengine mpaka utoe Chochote nimefika Mwananyamala mabango ya kukataza rushwa na makamera kila kona utadhani maonyesho Ila huduma hupati bila kutoa pesa ya chai au ujiandae kushinda hapo hospitalin toka asubuhi mpaka...
  17. A

    Immigration JNIA (Dar) Epukeni aibu hii

    1. Arrival lounge inajaa kupitiliza, 2. automated border control systems(gates) hazifanyi kazi, 3. Madirisha ya kugonga passport Machache kulinganisha na idadi ya watu wanaoshuka kwenye ndege. 4. Air Conditioner hazifanyi kazi. 6. Vyoo navyo mtihani.
  18. A

    Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
  19. A

    Profesa Mkumbo mitano tena

    Ubungo tunahitaji mtu Msomi kama wewe Professor. Dira ya Taifa Lazima uizindue ukiwa Waziri Mkuu 2030, Kassim Makam. Inshallah
  20. A

    Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

    Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu. #Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Back
Top Bottom