Search results

  1. C

    Msaada Tafadhali

    naomba kuelekezwa jinsi ya kuperform hard reset,or kurestore factories kwa cmu yangu,model yake ni HTC TOUCH CRUISE T 4242 09,POCKET PC,os ni windows 6.1 proffesional, pia kama inawezekekana kuchange os yake au kuchange language since its completely spanish anyone pleaze
  2. C

    Korodani Tatu

    Jamani wanajamii,mimi nina umri wa miaka 17,nina korodani mbili kama kawaida,lakini upand mmoja kuna kitu kama korodani ya tatu,afu kinafanana na korodani nyingine,sasa naombeni ushauri wenu hki ninini? Je kinaweza kuwa na madhara katika mfumo wa uzazi?
  3. C

    Ushauri na msaada wa mawazo

    Wadau mi nahtaji kujua kuna utofauti gani kati ya faculty za civil engineering na civil and irrigation engineering?
  4. C

    Hey

    What's bubblatin' y'all?
Back
Top Bottom