Search results

  1. Pilitoni

    Waziri Ummy Mwalimu suala la Uhamisho kwa Watumishi wa umma litatue

    Binafsi nikupongeze kwa kuteuliwa kuwa Waziri katika OR- TAMISEMI, wizara hii ni kubwa na ina changamoto nyingi. Wizara hii utaiweza tu pale utakaposhirikiana vyema na wenzako na pia kuwa tayari kupokea na kufanyia kazi changamoto mbalimbali zinazoibuliwa na siye wananchi tulioko mashinani...
  2. Pilitoni

    Rais nakuomba umteue Joseph Kasheku Msukuma awe Waziri

    Baada ya kuchoka na blaa blaa nyingi za hawa watu wanaojiita wasomi (wenye degrees, masters,PhD na maprofessa) naleta ombi kwako Mh Rais JPM umfikirie bwana Joseph Kasheku Msukuma kwenye nafasi ya uwaziri licha ya Elimu yake ya darasa la saba. Kama mtu aliyekwenda darasani kabisa anashindwa...
  3. Pilitoni

    Club Villarpark ya Mwanza imefungwa, nini chanzo?

    Kwa wale waliowahi kuishi Mwanza hii club ilikuwa ikibamba sana kipindi cha nyuma. Juzi nilikuwa Mwanza kama kawaida nikataka kwenda kurelax kufika tu nikakuta pako kimyaaa kuuliza nikaambiwa pamefungwa kitambo sana, nini tatizo?
  4. Pilitoni

    Rais Magufuli sikiliza kilio cha Watumishi wa Umma

    Nakumbuka kipindi cha kampeni Rais wangu Magufuli uliahidi kuboresha maslahi ya wafanyakazi ikiwemo mishahara yao. Katika miaka mitano ya utawala wako tumeshuhudia punguzo kidogo tu la PAYE kwa watumishi ambalo limekuwa na effect kidogo tu kwenye take-home.Gharama za maisha zimepanda mishahara...
  5. Pilitoni

    Uchaguzi 2020 Wakuu wa Mikoa majembe na vimeo kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu wa mikoa ya Tanzania Bara huteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa sasa ni jemedari shupavu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na kwa upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar huteua na kuwaapisha wakuu wa mikoa ya huko.Tanzania Bara ina mikoa 26 na Zanzibar ina...
  6. Pilitoni

    Dada yangu kapwani na wenzako mlidhani mtani JK bado yuko madarakani

    kapwani wewe ni ndugu yangu, mlikataliwa kutokwenda nje mkajitia uendawazimu mkafikiri mtani jk yuko madarakani bado! nalimukaribisha dulime inyanya, shenzi kabisa
  7. Pilitoni

    TANESCO Musoma imulikwe, nadhani kuna virusi ndani

    moja kati ya taasisi inayoweza kuwa na virusi vya kutosha kutoka taifa hadi chini ni tanesco. Mf. leo katika mji wa musoma umeme ulikuwepo masaa yote, cha kushangaza wanakata sasa hv muda ambao taarifa ya habari inakaribia na huwa wanafanya hivi mara kwa mara. Hivi virusi vimulikwe na...
  8. Pilitoni

    mkutano wa mgombea mwenza ukawa ni aibu mtwara

    nimeangalia taarifa ya habari itv,kwa kweli mkutano wa mgombea mwenza wa ukawa ni aibu tupu! watu hata 200 hawafiki,kila mtu na mambo yake tu.mambo magumu jamani
  9. Pilitoni

    lowassa mzee wa mvua ya thailand kagombee urais tff labda

    huyu mzee ni dhahiri sasa ni tamaa ya fisi! katumia mabilioni ya shilingi katika kuusaka urais wa jmt,lowasa,ikulu kuna utamu gani? tueleze watanzania? kwa hili tu inatosha kukuhukumu kuwa HUFAI mara sabini si kuwa rais tu bali hata kuwa mgombea urais ingawa ni haki yako kikatiba.Hatuna muda na...
  10. Pilitoni

    CHADEMA tutakuja kwenye mikutano yenu Kanda ya Ziwa, ila kura kwa Magufuli

    CHADEMA ni chama cha kilaghai na kimejengwa katika misingi ya kibaguzi hasa kikabila.Wanaojiunga na hiki chama ni ama hawajielewi au ni watu maslahi ambao wao ni chochote kiingie kinywani na si kwa lengo la kuwatumikia wananchi. Niseme tu kuwa mimi nimesoma Chuo Kikuu cha Mwenge kilichoko...
  11. Pilitoni

    Ushauri: Wenje na Kiwia tafuteni majimbo mengine mapema

    Ukweli ni mchungu siku zote na baada ya bandiko hili mijitu itaanza kutokwa povu ovyo. Kwa hali ya kisiasa ilivyo hapa Jijini Mwanza ni dhahiri kuwa ili Wenje na Kiwia wawe na matumaini ya kuendelea kula hela maana kazi ya kuwawakilisha wanamwanza ilishawashinda muda mrefu,watafute majimbo...
  12. Pilitoni

    Kuwapa UKAWA ni sawa na kumleta rais Theodore Nguema atawale Tanzania

    hakuna watu walafi na waroho wa madaraka kama viongozi wanaoongoza vyama vinavyoongoza ukawa.Ukiwaangalia akina mbowe,lipumba,makaidi,slaa na mbatia unaona kuwa viongozi hawa wote wana sifa ya umimi na wanavifanya hivi vyama kama saccos zao tu kama ambavyo rais theodore nguema wa guinnea ya...
  13. Pilitoni

    binti mwembamba mwenye mwanya ni poa sana

    natafuta binti wa namna hiyo tufurahie maisha anipm tuongee zaidi
  14. Pilitoni

    Hataki unyumba na mimi kisa nina govi

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, naishi Dodoma. Mwaka mmoja sasa nimekuwa na uhusiano wa kimapenzi na Msichana hapa Dodoma hakuwa na tatizo na kutotahiriwa. kwangu lakini ni wiki moja sasa amegoma kabisa kunipa,amedai nikatahiriwe kwanza ndio nije kula mzigo. Mimi siwezi sababu mila za...
  15. Pilitoni

    Natafuta mwanamke mwenye makalio makubwa original tuoane

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 naishi jijini mwanza na ni mwajiriwa serikalini.Natafuta mwanamke mwenye matako makubwa awe mpenzi wangu na baadaye tuoane.Awe mweusi na mwenye umri 25-35.Aliye tayari ani PM.
  16. Pilitoni

    Wasukuma/wanyamwezi inabidi tusimame imara kusimamia maendeleo ya nyumbani

    Eneo la usukumani/unyamwezini kwa muda mrefu limetumika sana kunufaisha mafisi fulani ndani ya nchi hii.Haya mafisi na manyang'au wakubwa wanatokea chama tawala na vyama vya upinzani pia.Ni muda mwafaka sasa wa sisi wazawa kutambua nani atatufikisha Kanani na siyo kuendekeza siasa za kipumbavu...
  17. Pilitoni

    Shree hindu mandal primary school iko wapi?

    Wadau. Napenda kujulishwa mahali ilipo shree hindu mandal primary school dar es salaam
  18. Pilitoni

    CCM itatoka madarakani endapo hivi vyama pinzani vitakuwa na sura za kitaifa

    Imekuwa kawaida vyama pinzani kulalamika kuwa vinahujumiwa na chama tawala ie CCM katika harakati zao za kushika dola.Tena hivi vyama vimekuwa vinara wa ubishi pale ambapo ushauri unaotolewa unaopingana na malengo yao maovu, hivi vyama ukichunguza zaidi ni kwamba dhambi ya ukabila na udini iko...
  19. Pilitoni

    Nahitaji namba ya simu ya mh Kikwete

    Tafadhali ndugu Naomba mwenye namba ya mheshimiwa Rais Kikwete anipatie, nitashukuru sana
Back
Top Bottom