Search results

  1. J

    Nimeitwa kwenye Interview TICTS

    kaka nafasi gani na majina yametoka wapi au umepigiwa simu?
  2. J

    Nafasi pccb link hapa

    si wangeniita tu japo kwa hiyo aptitude test nipate ka-experience... dah :angry:
  3. J

    Wapi PSPF; LAPF?

    niwape wakati mi mwenyewe natafuta mtu anipe hela hiyo !!
  4. J

    Wapi PSPF; LAPF?

    hata mimi walinipigia wakataka niwatumie laki nne ili niitwe kwenye usaili kwa mara ya pili na kwa madai yao ni kua nimefanya vizuri sana kwenye aptitude test ila watu ni wengi sana sasa inabidi niwape hiyo amount ili niwe special case.. mweeeeh!
  5. J

    Diamond mwingi wa fadhila

    dah.. kama ni kweli nimempenda diamond kwa hilo!
Back
Top Bottom