Search results

  1. B

    Masikini my ex, kweli malipo ni hapahapa duniani

    Achana nae huyo,kababaika na range rover la kuazima.
  2. B

    Mbwana Samatta azidi kung'aa!! aibeba Tp Mazembe hatua ya makundi

    samata safi sana....wewe ni mpiganaji i hope siki moja tutakuona anga za epl hasa pale arsenal ambao wanatabu ya kupata mtupiaji kama ww.
  3. B

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    yaan watafanya kila hila ila wakae na wakijua hiki si kizazi cha ccm....hiki ni kizazi cha mageuzi....
  4. B

    Maandamano ya wanahabari Sept 11, 2012

    ninaamini kabisa hata angeenda kiongozi wa nchi yetu watu wangezomea tu
  5. B

    Kuvuja siri & kauli ya Msajili vyathibitisha ukweli wa mtonyaji serikalini kuhusu vifo mikutanoni

    kwa hakika siku zote tunatakiwa tuamini kuwa hakuna mwanzo usiokuwa na mwisho....kila mbinu chafu itakayopangwa kwa nia mbaya ya kukivunja ama kukipa sifa mbaya chadema..mungu wetu aliye hai atazivumbua njama hizo na ndio maana mpaka sasa kila mbinu wanayoipanga inagundulika.......chadema ni...
  6. B

    M4C yavuna 1200 Simanjiro

    kazi nzuri sana , habari na picha za ushaidi kama hivi..wataisoma namba hawa magamba a.k.a wazee wa msitu wa mwipande
  7. B

    Ajira! Ajira!! Ajira!!!

    dah...wana jf yaan kuna vitu vingine vya ajabu sana...nimepiga simu kwa namba alizoacha jamaa..nilichoambiwa ninatakiwa nitoe elf 60 kwa ajili ya training then ndio unapewa jukumu la kufanya kazi na mawakala wao..hapo naona unanunua kazi kwa elf 60.....kwa mtaji huo mi siwezi
  8. B

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    mungu wetu aliye kila kona atamponya dr. kama alivyomnusuru katika kifo, hii ni laana hakika, serikali ya mabavu inataka kuharibu amani katika nchi yetu..mungu isaidie tanzania..mungu mponye dr. ulimboka...amen
  9. B

    Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    Serikali inapaswa kutatua jambo hili haraka iwezekanavyo, masikini ndio tunaumia, wao wanaenda kutibiwa nje...mungu saidia taifa letu maana tunapoenda huko mbele ni lazima watu watachoka , tutaishi kama syria
  10. B

    Kumteka na kumtesa Ulimboka ingekuwa Tunisia au Libya ingekuwaje?

    hiyo sio njia ya kutafuta suluhu bali kuongeza hasira za madaktari , lazima serikali ikae na itafute njia mbadala kuliko kufanya kitu kama alichofanyiwa dokta.....
  11. B

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    ni kichefu chefu kuongelea maada hii jamani, yaan cuf as cuf kimeshapotea hiki chama, labda waende huko kwao visiwan zanzibar, ss hatutaki chama cha kifala **** , chama hakina hata msimamo, yaani kiufupi ni kinyaaa kuongelea cuf, toka walipochukua huamuzi wa kujiunga na ccm, nimewatoa thamani...
  12. B

    nafasi za kazi: tembelea www.ajira.go.tz

    habari za mchana wadau...kazi hizo
  13. B

    Gazeti la Sauti Huru: CHADEMA Asili mbioni kusajiliwa!

    kamwe hatutoweza kuchanganywa kwa diaini hiyo..tafuteni njia nyingine , nia na dhamira ya chademA IKO PALE PALE..KUCHUKUA DOLA TU IFIKAPO MWAKA 2015
  14. B

    Chadema daima mbele , nyuma mwiko

    Anselm, kauli mbiu ya chadema ni kama ipo vile vile, huo ni msistizo tu tunatakiwa tusnge mbele zaidi , zaidi ya hapa, mvuto wa chadema hakika nadhan hata wewe unaujua, uwe mwepesi wa kuelewa na si kuongea tu na kuweka picha zako zisizo na maana, we kijana mzima unavaa shuka hilo la kijani...
  15. B

    Chadema daima mbele , nyuma mwiko

    @RUHAZWE, chamsingi kaka watu kama hao tunaachana nao tu, sisi tuaangalia mustakabali mzima unavyoenda wa chama chetu aka mkombozi wa taifa la tanzania, mimi nasema tuungane kwa nguu zote ili tutimize lengo..
  16. B

    Chadema daima mbele , nyuma mwiko

    Chama cha chadema ni chama kinachokubalika sana mbele ya watanzania, nitashangaa kama kutakuwa na kijana wa leo ambaye atakuwa anakishabikia chama fulan hivi kinachotawala sasa hivi hapa tanzania. Ninachoweza kusema, tukiombee kwa mungu kizidi kusimama na kiwe imara mpaka hapo kitakapochukua...
Back
Top Bottom