Hapa suala lililo kubwa ni kujua uonevu gani wa haki za binadamu amefanya Mh. Makonda. Bila hilo kuwekwa wazi na Marekani, mijadala yetu itakuwa ya bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bunge sio Ccm na spika wa bunge sio mwenyekiti wala katibu wa kuweka kumbukumbu za chama. Swali la vikao vya chama linapaswa kuulizwa kwa mtunza kumbukumbu za chama.
Kutuangusha!! Waafrika ndio wanaotuangusha zaidi maana wanaopewa dhamana ya utawala hawafuatilii majukumu yao. Na wengi wao wanaiga na kutaka kuishi maisha ya kifahari kuliko ht wazungu.
Ni kweli nayaheshimu mawazo ya watu wanaoandika kwenye mitandau, lkn wakati mwingine nashangazwa na wanasiasa hasa wa vyama vya upinzani wanapoongelea suala la DEMOKRASIA. Wanaifafanua kama vilekila mtu anapaswa kufanya anavyotaka ktk jina la demokrasia. Ktk utawala wa sheria (rule of law) kila...
Mmm! Unataka kukimbilia vyombo vya uchunguzi kutoka nchi za nje, kwani vyombo vya ndani ya nchi vimeishashindwa? Waziri mku wa Sweden (Olof Palme) aliuawa 1986 hadi leo hawajampata muuaji na vyombo hivyo unavyovitaja vimetumika.
Kunyimwa au kupewa hutokea wakati kuna maombi. Hapa msemaji kataja kusajiliwa upya wala sio kuomba. Kwahiyo suala la kunyimwa au kupewa halipo hapa. Watakaokidhi vigezo watasajiriwa bila ya tatizo.
Toka 2007 sheria ilipotungwa iliwekwa sandukuni mpaka sasa. Kwanini? Cku zote polisi wa traffik wanatoza faini ya 30000:- hawakuzijia hizo faini za Sumatra na Tanroad?
Tofautisha kati ya wananchi na "wananchi wote". Nilivyoelewa hakusemei wewe, lkn wakishakuwa watu wawili wanaounga mkono, tayari ni wananchi. Huyo unayemlenga hajasema wananchi wote bali kasema wananchi.
Katika kasi ya serikali ya awamu ya tanu mambo mengi yaliyokuwa yamepita yameweza kuibushwa na kuelezwa ikiwemo mikataba ya madini, Escrow, ufisadi,rushwa nk. Kwenye suala hili la EPA mimi nimebaki najiuliza hadi leo pale ilipotangazwa kwamba watakaozirudisha zile fedha (kwa wakati uliotajwa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.