Search results

  1. T

    Mbowe huna sifa za kuwa mwenyekiti wa chama

    Mbowe shukuru mungu kuwa chadema ni mali ya mzee wako mtei, mbowe hana sifa ya kuwa mwenyekiti wa chadema. Hii nafasi umepata tu kwa kuwa unaishi na mtoto wa mzee mtei, kwa uwezo wako mdogo na utendaje mbovu kwenye baadhi ya vyama usingepata hata nafasi ya kuwa mkuu naibu katibu mkuu au naibu...
  2. T

    Kwa walio tayari kufanya kilimo cha mahindi, alizeti, mbazi na ufuta

    WAKUU MIMI NINATAFUTA WATU WA 8 TUWEZI KUSHIRIKIANA KWENYE KUSINDIKA MAZAO NA KILIMO CHA MAHINDI, MAHARGE, ALIZETI, MBAZI NA UFUTA . WATU HAO (8) TUTACHANGA MTAJI WA KUNUNUWA TRECTA JIPYA AINA SWARAJ 744, TUTAKODI WOTE MASHAMBA YA KULIMA HAYO MAZAO. GHARAMA ZA KUNUNUWA TRECTA 28MILIONI...
  3. T

    Nahitaji cementi ya nje

    WAKUU NAOMBA KAMA KUNA MDAU YOYOTE WA JF MWENYE INFOR. ZA CEMENT YA NJE ie IRAN OR PAKISTAN ANIPATIE MAHITAJI YANGU NI MIFUKO 640 KWA WEEKI NAOMBA KUFAHAMU PRICE KWA MFUKO MOJA WA KG 50.
  4. T

    Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja chenye hati naomba kujuwa utaratibu wa kufuata

    Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja maeneo ya pugu naomba kujuwa taratibu za kufuata nisijee kutapeliwa hatua ya kwanza hadi nilipe pesa nakaribisha ushauri wenu wakuu
  5. T

    Nahitaji kiwanja chenye hati

    Nahitaji kiwanja chenye hati eneo lolote dsm kwa haraka ila ni lazima tukafanye search wizarani kwa register ilikujuwa kama ni halali no.0765616178 or 0787139327 nakihitaji kwa haraka sana
  6. T

    Genge la matapeli limerudi tena

    Jana saa nane mchana nilipigiwa simu na mtu ambaye amejitambulisha kuwa ni omary yupo ikwiriri kwenye mradi wa kilimo kwanza nakuniambia kuwa ananifahamu kwakunitajia majina yangu vizuri na kuniambia kuwa wana matrecta yao sita yameharibika na spea zinapatikana suma jkt kwa kuzitoa...
  7. T

    Usafirshaji wa mizigo mwanza, kahama, igunga

    Ninasafirisha mizigo kwenda mwanza , kahama , igunga, singida, shinyanga .kwakutumia maroli yangu nina scania 124 semi trela tani 32 open body , scania 94 kipisi kisicho na body , fuso karibuni sana kwa wote wenye mizigo. Namba yangu ya simu ni 0765 616178 , 0712976729 , 0787139327 natoa...
  8. T

    Nafasi za kazi tanzania womens bank

    Twb plc wametoa nafasi nyingi za kazi kwa ajili ya branch mpya inayofunguliwa kariakoo.
  9. T

    Mtu mwenye mtaji wa kiasi cha milioni 30 hawezi kujiari mwenyewe??

    Kuna rafiki yangu yeye ni muajiriwa wa benki anataka kuwacha kazi afanye biashara ana pesa cash kama millioni 30 anaweza kufanya biashara gani ameniomba ushauri na mimi nimeamuwa kuleta jf wadau tumpe msaada wa mawazo ajikomboe mwenyewe
  10. T

    Gep wamesha anza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    Kuna watu kazi wamepigiwa simu na gep kupewa taarifa ya kuitwa kwenye interview
  11. T

    Interview ya gepf udsm hali ni mbaya sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Nimepita mitaa ya udsm karibu na yombo 5& 6 watu ni wengi wanaosubiri kufanya interview ni zaid ya watu 1000 post zenyewe sidhani kama zinazidi 5 au 6! Kwa hali ile kweli kazi ipo kwa wasio na ajira/
  12. T

    Nyumba inauzwa ipo mbezi ya kimara

    Nyumba ya ukubwa wa room 3 sebule dining na choo cha ndani chumba kimoja ni master, ipo umbali wa km 4 toka mbezi mwisho upande kulia kama unatoka kimara bei milioni 28,000,000/= 0787 139327 or ni pm for more information
  13. T

    Nauza nyumba mbezi mwisho

    Ina room 3 moja ni master, jiko sebule , dining na vyoo vya ndani. Gari inafika hadi mlangoni bei yake ni tshs 25,000,000/= nyumba imekamilika mtu anahamia tu kwa maelezo zaidi 0712976729
  14. T

    Mwenye kuuza scania 113 au 124 seme trela anitafute

    NAHITAJI SCANIA 113, 114 OR 124 SEMI TRELA ZILIZOTUMIKA TANZANIA KAMA UNAYO NI SMS KWA NO. 0712976729 OR EMAIL jamahashi2002@yahoo.com
  15. T

    Hati ya kiapo mh. J nassari

    UBUNGE ARUMERU MASHARIKI
  16. T

    Re: Baada ya Maalim Seif na Wabunge kushindwa vijibweni, mvutano mwingine waibuka CUF

    wacha wafu wazikane wenyewe kama huamini muulize KOCHO mjinga mkubwa wa kosovo
  17. T

    Kwanini kila anayeuza nyumba anawafikiria kuwauzia watu wenye kipato kikubwa

    Mtu akisema anauza nyumba ujuwe bei yake itakuwa ni kati ya millioni 40 hadi mia na kuendeleya mbona sioni nyumba ambazo watu wenye kipato kidogo wanazomudu kununuwa mfano bei ya millioni 7 hadi 15 millioni?????????????????????????
  18. T

    Nauza mashudu ya alizeti

    Nina mashudu ya alizeti tani 20 nauza yapo mkoani, ukihitaji nakuleteya popote ulipo, kwa mwenye kuhitaji ani sms 0712976729
  19. T

    Nahitaji scania semi trailer

    Nahitaji scania semi trailer eliyo ya bei nafuu nae elio bomba sana kichwa na trailer yake kama unayo ni PM or ni sms 0712976729
  20. T

    Nahitaji cabin ya isuzu foward 195 eliyo nzuri

    Kama kuna mtu yoyote ambae anajuwa naweza kupata wapi cabini ya isuzu foward iliyo nzuri nahitaji naomba tuwasiliane no. 0712976729
Back
Top Bottom