Search results

  1. Elviejo

    Series (Special thread)

    Average, ika kama ulifurahia series ya "the boys" then mkali.
  2. Elviejo

    Series (Special thread)

    Kuna mbadala wa NetNaija mnae tumia mnipe link wazee?
  3. Elviejo

    Naomba kutajiwa beach za Kigamboni

    Tupeane update wakuu. Machimbo mapya na yaliyoboreshwa.
  4. Elviejo

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    Wakakufanya nini baada ya kukata moto?
  5. Elviejo

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Karibu dukani kwetu mabibo mwisho. Pia tunaeza kukufanyia delivery kwa Dar es salaam. PM ipo wazi ndugu
  6. Elviejo

    Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Mkuu tatizo limeishia wapi? Ushapona. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Elviejo

    King'amuzi hiki kinachelewa kuwaka dah

    Nunua decoder toleo jipya havi scan mda mrefu.
  8. Elviejo

    Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Wakuu mnaendeleaje hapo musoma na soko la dagaa. Tupeni updates.
  9. Elviejo

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Inauzwa au kukodishwa? Weka picha zake kama inawezekana.
  10. Elviejo

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nitashukuru sana boss. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Elviejo

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Wakuuu natafuta kiwanda cha mifuko ile ya kuhifadhia nafaka kwa hapa dar es Salaam. Zile mifuko ya poly bags. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Elviejo

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Mkuu bado wahitaji? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Elviejo

    Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Tupeni link basi wazee tuangalie
  14. Elviejo

    Wapi wanauza table tennis.?

    Waweza nielekeza yalipo? Maana mengi niliyozungukia yana vifaa vingine kama jezi, viatu, balls na other sports gadgets
  15. Elviejo

    Wapi wanauza table tennis.?

    Habari za asubuhi wadau, naomba mnielekeze sehem au duka wanapouza table tennis na vifaa vyake vyote kwa Dar es Salaam.
  16. Elviejo

    Natafuta table tennis.

    Habari za asubuhi wadau, naomba mnielekeze sehem au duka wanapouza table tennis na vifaa vyake vyote kwa Dar es Salaam.
  17. Elviejo

    Kazi za tanesco Northern zone.

    Walibandika/wamebandika ofisini
  18. Elviejo

    Kazi za tanesco Northern zone.

    Sijajua mkuu maana sipo huko. Ila dogo amepiga oral interview ya procurement jana. Na wameanza toka juzi, hebu fuatilia. Majina wamebandika pale ofisini kwao tanesco ya tanga.
  19. Elviejo

    Kazi za tanesco Northern zone.

    Yanawashusha kwenye ofisi zao zipo town kabisa. Na ata ikiwashusha stand inatoa dalaladala ya kuwafikisha town.
Back
Top Bottom