Search results

  1. congobe

    Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

    Unafundishwa alafu unakuwa mjuaji wakati hujasoma history unabisha je?
  2. congobe

    Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

    Ndio Israeli inaundwa na Wayahudi ! Usisahau Kuna Ebrows ambao ni uzao wa Yakobo ndio hao MUNGU ameweka Agano la milele tangu BABU yao Abraham kabla ya kuitwa IBRAHIMU Baba wa Mataifa ,ukilaani Israel umelaaniwa ukiibariki umebarikiwa kabila 12 za Israel ndio hao wanaibeba Israel na hao Wayahudi .
  3. congobe

    Hivi ni kwanini Israel imeshindikana kufutika kwenye ramani ya dunia?

    Israel Mboni ya jicho la MUNGU hashindwi milele kama aishavyo BWANA
  4. congobe

    Mchungaji Kimaro: Afrika itakuwa ya kwanza kupona Corona itafuatiwa na Asia na wa mwisho watakuwa Israel (Wazungu)

    Kwa ADAMU alifanya kuhamishwa tu kutoka Africa to EDEN [emoji23][emoji23][emoji23]
  5. congobe

    Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Wewe pia unawapenda Sana ngozi nyeupe maana kila baada ya neno moja la kisukuma unafatia 40 ya kiinglishi
  6. congobe

    Msaada: Naweza kuua ndege wawili (Plaster na Skimming) kwa kutumia White Cement?

    Gypsum powder / iko aina 2 water proof na isiyo wayer proof vumbi tu hili vumbi linafaa kwa Dari na mikanda ila halifai popote, waterproof gypsum powder unaweza skim ndani kutani japo si imara inakwanguka kiwepesi ama kuachana na rangi inapokwanguliwa hata na kona ya Meza / White cement inafaa...
  7. congobe

    Mbinu ya kuweka gypsum board kwa gharama nafuu

    Hizo chuma ni bei gani kwa kipimo gani
  8. congobe

    KLM & Air France matatani kufilisika

    Duuh ! hatarii tutatoboa kweli
  9. congobe

    Uchaguzi 2020 Je, hii ndiyo sababu ya NEC kutochapisha fomu za wagombea Urais kwa "Alphabetical order"?

    Huko Huko mwisho ni vizuri wamerahisisha kutafuta kuliko ingukuwa ktkt unasema tu weka tick chini mwisho
  10. congobe

    Kanisa La Waadventista Wasabato na mabadiliko

    Bible imesema YESU hakuja kutangua torati Bali kutimiliza, torati sheria ilisema jino kwa jino ,ila YESU asema samehe maana hata ww una dhambi hatuokolewi kwa Matendo na Sheria bali kwa Neema ya MUNGU aamineye na kubatizwa ataokolewa YESU alikuja kuweka usawa ktk wokovu kukamilisha wokovu maana...
  11. congobe

    Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

    Du ! pole kaka hupaswi kutumia vinywaji vyenye acid kabisa wakati unapata matibabu na pia vyakula vyenye viungo vingi vya chakula pilipili n.k na wapaswa kula kiasi usishibe Sana pia hiyo ni Flux acid ya tumbo ikirudi kooni inakuchoma kama moto inatokeza kiungulia ntafute 0769 74 55 33
  12. congobe

    COVID 19

    naishukuru serikali wizara ya afya jinsia na watoto juhudi kubwa kupambana na JANGA COVID 19 ,Kuna ndugu zetu wasafirishaji Abiria njia ya Mbeya Kyela Coster zimekuwa zikijaza Abiria wakati wa usiku kiasi ambacho hewa hakuna naomba vyombo husika viliangalie hili kwa haraka vinginevyo juhudi zote...
  13. congobe

    Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

    Vyombo vya usafiri kama Coster Mbeye Tukuyu zinajaza Abiria wahusika hawaoni hili je tunapambana na Corona kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  14. congobe

    Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

    Russia walitangaza Wana silaha inayokwepa kila kikwazo angani na ardhini ,cjawaskia tena ila wamekuja na hiyo speed kuliko mwanga [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom