Search results

  1. Z

    Mwigulu: Nilikuwa safari kikazi kwa siku 12, nimerejea

    Mimi naogopa kuchangia kitu hapa, bado najipenda ila namsubiri ajiuzulu nafasi zake zote
  2. Z

    Prof. Lipumba: Kikwete kujiongezea muda wa urais hadi 2017

    Wabongo kwa maneno ndani ya jf hakuna wa kuwaweza, only in Tz
  3. Z

    Simu za Mchina Zilivyoua ajira ya vijana Tanzania

    Simu zipo nyingi ambazo kwa huku kwetu tunaweza kusema ni org mchina ingawa hazijapita kwenye kiwango cha kimataifa ikiwemo-: Tecno,Gtide,oking,Xtigi,Ajo,Dorado, Itel, godwin, hizi ni nzuri na zote unaweza kutengeneza hata software zake zinapatikana.
  4. Z

    Show ya diamond akichambua na kulinganisha viuno vya akina dada- uk

    Mbona hii show kama ilkua chumbani tuu
  5. Z

    Mrema, Mbatia, Maalim Seif nanyie mnajiita wapinzani?

    Umefumbua macho umemuona dr.slaa?
  6. Z

    Jamani, katika hili JK apongezwe!!

    Alijua ni M23 wamevamia magogoni na angechelewa angebakia ukouko uhamishoni, huyu jamaa sijui kama atamaliza muda wake?
  7. Z

    Polisi wakamatwa na fuvu la binadamu; walilitumia kuomba rushwa kwa mfanyabiashara!

    Wazir,naibu,na viongozi wao wako bize na siasa, huku sisi raia tunaendelea kunyanyaswa na majambazi haya yenye uniform.
  8. Z

    Nukta TANO za Mwigulu kutokuwa na hofu na Mungu na kuwa na sifa za ziada za ushetani ndani yake

    katika maisha yangu namuomba mungu asije akanikutanisha na mwigilu uso kwa uso, namuogopa sijui nitakuja kumfananisha na nani.
  9. Z

    Zitto Kabwe: Taifa lina nyufa

    serikal isiruhusu matamko yanayotolewa na kiongoziwa dini yoyote au kikundi, nampongeza mh.nyepes aliposema serikal isijihusishe na ifute maombi,misaada, na mipango inayohusiana na dini yoyote ili kuepukana na chokochoko za upendeleo.
  10. Z

    Wassira Kawa Padri?

    Huyu jamaa namuombea kwa kikwete aendelee nafasi yake
  11. Z

    TCRA mnayalinda makampuni na kuwanyanyasa wananchi

    Huu ni udikteta wa kuwaonea wananchi ambao wengi wao hawana na hawajui kabisa kama laini yake tayar imesajiliwa au la, kitu cha msingi kampuniwazifunge lain zote ambazo hazijasajiliwa na anependa kuendelea nayo aisajili ila wao wanaona kufunga laini zao ni hasara lakini wananchi wao wanaweza...
  12. Z

    TCRA mnayalinda makampuni na kuwanyanyasa wananchi

    Mmeunda sheria ya watumiaji wa simu bila ya kusajili watachukuliwa hatua kali ya kutozwa laki5 au jela miezi sita, hili limekaaje kwanini afungwe mtumiaji na ischukuliwe hatua kampuni ambayo ndio inyoruhusu mawasiliano hayo. Sisi wananchi tulitegemea kuziona lain zote mpya ambazo hazijauzwa...
  13. Z

    Katiba mpya: WaTZ tuteegemee maamuzi mazito ifikapo 2014

    Leo tumemsikia, jaji mkuu msitaafu na Mwenyekiti wa tume ya Katiba mpya Mh Warioba akisema haya "Wanasiasa,Vyama vya siasa, Ngo, na vikundi vyvyote visihusike kwa kuwaingilia wananchi wakati wa kutoa maoni yao na pia amesema kuwa tutegemee maamuzi mazito kutarajia kupatikana kutoka kwenye katiba...
  14. Z

    Uonevu na unyanyasaji wa askari Polisi Tanzania

    Leo kutoka radio clouds katika kipindi cha njia panda muuza baa kigamboni alisingiziwa mauaji ya kuua na aliteswa sana na kufanyiwa unyama wa aina yake, aliwekwa kwenye vituo vya polisi karibu vyote vya mjini bila ya kusomewa kesi, alipelekwa mwabepande kutaka kuuliwa.mateso yalikua si ya...
  15. Z

    Picha: Kikwete amkaribisha Rais Uhuru Kenyatta Arusha

    Jah kaya na wazungu sasa basi?
  16. Z

    MASUALA YASIYO NA MAJIBU KATIKA MUUNGANO (Mwanasheria Mkuu wa Z'bar Othmani Masudi).

    Ukipanda mbangi utegemee kuvuna nini? Cha ajabu viongozi wetu wa Zanzibar waliochaguliwa bara na udhalilishaji wote huu wamefumba macho na mashikio kwa maslahi yao. Mwanasheria tumekuelewa na bado hujachelewa kutekeleza wajibu wako tunakuomba vita hii ianze kwa wasaliti waznz wenyewe kuanzia...
  17. Z

    Kwa viongozi wa zanzibar.

    safi sana endelea kuwaelimisha viongozi wetu wa znz hawa ndio zaid wakiamua hata kesho suala la muungano litawezekana kama ilivyowezekana serikal ya mseto. kwa upande wa tanganyika wala hakuna tatizo ni shwar tu.
  18. Z

    Mwakyembe katibu mkuu wa wizara yako ndio atakuharibia kazi.

    shirika la ndege kabla lilikua halina hata ndege moja cha ajabu lina wafanyakazi 270. tutafika wapi.
  19. Z

    Jeshi la Polisi sasa lijisafishe dhidi ya vitendo vya rushwa

    rushwa kwa polis wa tanzania imekithiri, imo ndani ya damu zao. lakini kwanini aliyewaondoa kina mkulo kipindi kile hakumuondoa wazir wa mambo ya ndani?
  20. Z

    Majibu na madai ya uamsho kuhusiana na vurugu na muungano

    sehemu ya tanganyika unajua ww tu wazanzibar, mungu wenu, anajua kama kilo mita kumi kutoka bahar sio tanganyika na ndio maana aliwambia zamani mji wenu uko dodoma.
Back
Top Bottom