Search results

  1. miftaah

    Chadema yabeza V4C ya CUF

    Kwani Chadema ndio nani?...........waache waibeze kwani kishindo cha siasa hawajaanza wao walianza akina NCCR miaka 95 ije kua wao VIchadema...mna wameshajua kua CUF wamejiimarisha na washajua kua CUF wanakuja na nguvu mpya, na hilo litawezekana tu CHADEMA ni Chamtoto tu.
  2. miftaah

    CCM haitaiacha ikulu kwa kura

    Kwani hao CCM wamebashiriwa Ikulu na Mwenyezi Mungu hadi kiama?.....wataondoka tu hata kwa kufanya mapinduzi itabibi yafanyike mna kaondoka Firauni ijekua wao hata uasi wa Firauni hawajaufikia...wataondoka kivyovyote.
  3. miftaah

    Mbaguzi Ismail Jussa Anapozidi kufunguka..

    Hakuna ubaguzi katika hilo ni ukweli mtupu, kwani hiyo ni haki yake ya kuongea lile ambalo analiona ndani ya moyo wake lipo right....hata mm namuunga mkono Mheshimiwa Jusa....Kwanza Zanzibar muungano baadae.........
  4. miftaah

    JAJI MKUU atua Arusha kwa Lema

    Nikweli tusubiri hatma itakuaje mna Nchi hii si unajua mara sheria inapindishwa na wakuu wa nchi hawaoni aibu wao watachukulia poa tuu.
  5. miftaah

    Ushauri wangu huu kwa binadam wenzangu

    JE?............UNATAKA uwe mzuri mbele ya Mungu na Jamii kwa ujumla basi fanya haya....Inamisha macho yako, chunga ulimi wako, kula kilicho halali, kuwa mtwaharifu, timiza ahadi, kuwa mkarimu kwa wageni, waheshimu majirani, acha lisilokuhusu,wacha uzinzi,punguza uongo,kuwa muaminifu..nina...
  6. miftaah

    JAJI MKUU atua Arusha kwa Lema

    Jaji kachaguliwa na Rais na huyo Rais katokea Chama Cha Majangiri a.k.a CCM, na huyo aliekata rufaa ni mpinzani...Je! haki itapatikanwa hapo?......mna Bosi wa jaji ni Kikwete sasa atatetea Chama Cha Majangiri au atafanya vile haki inavyotakiwa??? ukweli hapa Tanzania hakuna haki kwa mpinzani...
  7. miftaah

    Barazani Kwa Ahmed Rajab: Muungano wa Mkataba utaleta Umoja wa Afrika

    Kwanza Zanzibar... Muungano baadae na kwa hili Inshallah litawezekana. Uchambuzi wangu: Chanzo cha taarifa hii ni makala katika gazeti la Raia mwema wiki hii. Ili wasomaji waweze kuelewa hoja zangu vema nimeziwekea namba kwa minajili ya kuzjibu bila kupoteza maana. Ahmed Rajab amenishangaza...
  8. miftaah

    Vituko vya CCM wilaya ya mjini

    Vituko vya CCM wilaya ya mjini Na Abdallah Vuai, Wiki hii kuna kituko cha aina yake kimetokea ndani ya Chama cha Mapinduzi upande wa Zanzibar kwa wanachama wachache wa Chama hicho Wilaya ya Mjini kuasi dhidi ya mamlaka halali ya CCM. Ni kisa,. Kituko kinachoweza kuvunja mbavu pale baadhi ya...
  9. miftaah

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Kampeni ya sensa iliyofanyika viwanja vya skuli ya Bububu jana jioni ilipata pigo baada ya wananchi kukataa kushiriki sensa hiyo moja kwa moja. kampeni hiyo iliongozwa na mjumbe wa kamati ya sensa ambaye pia ni mwakilishi wa mfenesini Ali Mzee Ali akiandamana na maofisa mbalimbali kutoka ofisi...
  10. miftaah

    Admission

    Hivi kwanini siasa imeeneza chuki hadi kwenye vyuo na sehemu nyengine nchini?........
  11. miftaah

    Pinda na kauli yake............LITAKALO KUWA NA LIWE...........

    LITAKALO KUWA NA LIWE.....hii ndio kauli ya serikali juu ya mgomo wa madaktari, nauliza jee Serikali ina mkono wake juu ya kutekwa huyo daktari? mana mm sielewi na sioni mantiki ya yule shushushu kwenda hospitali. na amekwenda hospitali kupeleleza kma amekufa au la? mana nchi hii ya demokrasia...
  12. miftaah

    Wazanzibai wakiamua wanaweza rudisha Jamhuri ya watu wa Zanzibar – Abubakar Khamis

    SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar leo imesema kuwa matumizi ya neno Jamhuri ya Watu wa Zanzibar inawezekana ikiwa wazanzibari wengi watatoa maoni ya kulirejesha jina hilo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Sheria na Katiba, Abubakar Khamis Bakari wakati akijibu suali la msingi la Mwakilishi wa...
  13. miftaah

    Zanzibar

    Zanzibar kibano, Hong Kong huru Written by Muunguja // 19/06/2012 // Makala/Tahariri // No comments KAMPENI za wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba kutaka muungano huu wa Tanganyika na Zanzibar upitiwe upya au hata kutaka uvunjwe si mpya, lakini zinazidi kupata nguvu. chanzo...
  14. miftaah

    Zanzibar kujiunga na oic

    Ningependa kumpongeza Mh.Raza,mwakilishi wa jimbo la kule kwetu znz, kwa kusema kua znz inayo haki ya kujiunga na OIC, ivi kuna sababu gani znz isijiunge?.....sisi kama wazanzibari tunayoipenda nchi yetu tutafanya Inshaallah kwa njia yoyote tujiunge na OIC na hata kama hao wadaganyika wakikataa...
  15. miftaah

    Mkono akubali kufukuzwa CCM!

    Hongera Mheshimiwa Nimrod Mkono kwa hili nakuunga mikono na miguu mna ni viongozi wachache wenye roho kama yako uzi huo huo usitetereke hata kidogo....karibu sana kwenye chama chetu cha CUF kma upo tayari......
  16. miftaah

    Zanzibar kwanza muungano baadae

    Jembe langu nimefurai sana kua umenielewa mna ni wachache sana wenye moyo kma wako wa kuelewa mara moja....ila mm siwaungi mkono kwa yeyote anaetaka uvunjike muungano kwa kuuana nataka muungano uwepo na tena kwa manufaa kwa wote sio lao letu na langu ni langu peke yangu....na kma kuvunjika...
  17. miftaah

    Zanzibar kwanza muungano baadae

    Hata unachoongea haukijui shehe wangu... Kwani Gharib bilal,zakia meghi,nahodha kuwemo kwenye mfumo wa serikali ya muungano ndio kitu gani? na wasipokuwepo kwenye serikali ya znz ndio kitu gani? hebu kasome katiba inasemaje? na ndio mna tukasema kwamba tunataka serikali tatu na serikali kuu iwe...
  18. miftaah

    Zanzibar kwanza muungano baadae

    Zanzibar yetu mutuachieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  19. miftaah

    Muungano huu hatuutaki

    Ngojea nikufahamishe kitu kidogo mdogo wangu.....kwamba sisi Waislamu tumefundishwa kua kila jambo jema lazima umtangulize Mungu mbele na nina imani kua utaelewa mantiki yangu ya kusema ivo la kama hujaelewa nenda kwenye biblia yako itakuambiaje...
  20. miftaah

    Muungano huu hatuutaki

    Waliochoma Makanisa watajulikanwa na mm nina imani kua waliochoma makanisa sio wale jumuiya ya MUAMSHO na kma ni wao waliochoma basi nitawaita wapumbavu mna hata mm sikubalini na kilichofanywa kwa hao rafiki zetu wa dini nyengine...ila ukweli ukidhihiri ubaya hujitenga na ukweli maisha yote...
Back
Top Bottom