Search results

  1. P

    Ting decoder packages

    mimi ninayo dekoda ya ting AAL 003 kiukweli hawa jamaa wa TING wako juu mi siwezi sema mengi vika kwenye ofisi zao kwa sasa wapo mikoa yote Tz...namba zao ni 0769 85 85 85.
  2. P

    Kituo cha televisheni cha ATN chavamiwa na majambazi

    Mungu ni mwaminifu kituo cha ATN kipo hewani hawakufanikiwa kukiharibu.
  3. P

    Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

    ukweli utajulikana tu.
  4. P

    Kutoka bungeni... nimemsikiliza wenje hadi nikasisimka.

    kaongea point...tatizo utekelezaji wa ushauri wake je utapokelewa na kutekelezwa?
  5. P

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Mnyika hajakosea kumwita rais kikwete kuwa ni dhaifu,hakuna mtu alie hodari ktk kila idara,yawezekana alikuwa na sababu ya kumwita dhaifu rais kwa sababu zake,Bunge lingemsikiliza,kwa upande wangu Bunge halikumtendea haki.
  6. P

    Mnyika karibu Shinyanga mjini 2015

    Mpaka sasa mbunge alie makini ktk utendaji kazi wake ni Mnyika..Hongera sana kaka kwa kazi nzuri,.
  7. P

    Kikwete ateua Wakurugenzi Wapya Wizara ya Mambo ya Nje

    wawe ni viongozi makini ktk utendaji wao wa kazi,kwa hali ya sasa kila kitu kinafatiliwa wawe tayari kuwajibishwa
  8. P

    Watanzania tumrudie Mungu.

    kwa haya yanayotokea nchini hasa haya zanzibar pasipo kumrudia Mungu hakuna jipya.
Back
Top Bottom