Search results

  1. Don255

    AZAM tunaomba ulete boti zako MAFIA

    Watanzania wenzetu ambao mpo karibu na AZAM tufikishieni kilio hiki....usafiri wa Mafia mgumu roho mkononi
  2. Don255

    Msaada kwenye LUKU: umeme ndan umezima remote switch iko off

    naombeni msaada wakuu nyumbani kwangu natumia mita za umeme za luku zile za remote..sasa ghafla umeme ndan umezima na nikiisoma remote imeweka alama ya switch iko off...tatizo linaweza kuwa nn?...
  3. Don255

    Nini maana ya wadaiwa sugu wa loan board?

    nijuzeni wakuu maana loan board wanasema watawafikisha mahakamani...Ni kina Nani hawa?...wanadaiwa Kwa mda gani?
  4. Don255

    Mlio-apply Vyuo kupitia TCU Msiwe na wasiwasi, Mtachaguliwa tuu Inshallah

    ..Nimekua nikifuatilia kwa mda malalamiko na hofu za hawa ndugu zetu walioapply vyuo mwaka huu....nikupeni moyo tuu MTACHAGULIWA NA CHUO MTAENDA..inshaalaah nakukumbukeni hata kwenye DUA zangu pia....Mubarikiwe
  5. Don255

    Kinyozi wa mwendokasi

  6. Don255

    Umejifunza nini kutoka kwenye hizi picha?

  7. Don255

    Kijana wetu amebadirika....hongera Segerea

    Kweli asiyefunzwa na ***** hufunzwa na ulimwengu
  8. Don255

    Kamaanisha nini huyu?

    Mi sijamuelewa
  9. Don255

    Maneno yapi umeyaelewa zaidi?

  10. Don255

    Changamoto za usafiri Mafia

    Habari zenu wana jamvi.....kumekuwa na changamoto za usafir wa majini kufika kisiwani.mafia...inakulazimu.kutumia usafir wa basi paka NYAMISATI..hapo itakulazimu kulala kwenye mazingira magumu ya maeneo.hayo.paka.saa kumi usiku ndipo safari ya MAFIA inaanza kwa kutumia mabot ya mbao....masaa...
  11. Don255

    Nauliza jambo la maana....................

    ........HIVI? ni procedures zip nifuate n napo taka kwenda kusoma MASTERS?..................NA JE? vp kuhusu mzamin maana nilisikia kwmba unaweza pata mzamin kupitia BENK unayoitumia je ni kweli?.......MSAADA TAFADHARI...........
  12. Don255

    Inaweza ikawa kari kuliko eeeeeeeeeh

    ............BABA mmoja alimpaka SUMU kwnye matiti ya mkewe ili mtoto akinyonya AFE maaana al hisi amisingiziwa[sio wake]........kurud kazini kakuta SHAMBA BOY ndo kafa......................KIZUNGUZUNGU
Back
Top Bottom