Search results

  1. Fursa Pesa

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Mwenyezi Mungu mpumzishe Mzee wetu mahala pema peponi. Tutakukumbuka mengi mazuri uliwafayia Watanzania na Taifa lako, 🙏🙏🙏
  2. Fursa Pesa

    Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Divide and rule walikuwa ni Waingereza,,,Wafaransa wao ilikuwa assimilation policy.....kutengeneza watawaliwa na wao kujiona ni Wafaransa...
  3. Fursa Pesa

    Ushauri: Ukiwa chini ya ulinzi wa polisi jitahidi kupunguza dharau, fuata maelekezo yote. Utakuja uuliwe uwaachie msiba ndugu zako

    Hata hivyo ni busara kuheshimu kazi za wengine haijalishi ni Polisi au shoe shiner.
  4. Fursa Pesa

    Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Ni vizuri ukatuelimisha umuhimu wa hizo number tuna, Binafsi nadhani kuna udhaifu wa namna zinavyotengenezwa. Design inaweza kuwa bora zaidi iwapo plate/ubao wa number ubonyezwe kutengeneza hizo number/herufi kuliko kubandika kwenye ubao either Kwa gundi au screws. Ni vigumu Kwa number...
  5. Fursa Pesa

    Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Ukibandua herufi au tarakimu moja na kubandika nyingine ni sawa na kubadilisha utambulisho wa Gari.
  6. Fursa Pesa

    Jeshi la polisi laanza operesheni ya kubandua namba za magari za 3D

    Kwa kuwa zinabanduka,zinaweza kutumia vibaya Kwa uharifu au kukwepa Askari wa usalama Barabarani. Nadhani shida iko hapo
  7. Fursa Pesa

    Kijana analala kwenye jeneza zaidi ya miaka 15

    Ni choice yake na ndio mtindo wa maisha alioamini kuishi nao. Sijajua Sheria zinasemaje kuhusu namna nzuri ya mtu kulala...na kama ni mbaya nini athali zake katika jamii hasa inapotokea mwenye kuzifanza kutangaza kwa jamii.
  8. Fursa Pesa

    Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

    Jimbo la Ilemela kupitia vuguvugu lijalo litakavyokuwa..
  9. Fursa Pesa

    Biteko: Shida ya umeme sasa basi, megawati 235 zimeingia Grid ya Taifa

    Ni vizuri vitu vizuri vikafanywa kimya kimya itapendeza na kuonesha usikivu WA wenye mamlaka katika kutimiza mahitaji ya Jamii. Lakini pia ni ngumu Kwa wenye Nia mbaya kutuhujumu.
  10. Fursa Pesa

    Afisa wa jeshi wa Marekani asema mbona Houth wanatushangaza.Hatujajua wana nini.

    Wakati Houths wanavyoshangaa jinsi Marekani wanavyoeneza propaganda za kushangaza watu,CIA wako kazini....
  11. Fursa Pesa

    Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    Mmmm ina maana yeye ndiye Rais sasa au...anyway...kuna vitu ni vya kuangalia tu na kusikiza.
  12. Fursa Pesa

    Tukifuata ushauri wa professor Janabi tutaangamia kwa njaa

    Prof.Janabi anahitaji Mwanasaiklojia mahili ili amsaidie,yawezekana kuna maradhi yanayomsumbua kiasi ya kutoa tahadhali kwa wengine wasije kuwa kama yeye. Hata hivyo yuko sawa,ingawa kwa % kubwa ya watu wenye kipato/kima Cha chini na ambazo kazi zao ni tiba tosha ushauri wake hauwafai.
  13. Fursa Pesa

    Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz

    Kumbe walikuwa kwenye mahusiano? Nakumbuka juzi juzi hapa kuna watu walitukanwa kwa ajili ya drama za Hawa jamaa... Natumaini hata siku zijazo kuna kujirudia tena kwa masimango kwa watakaoshabikia....
  14. Fursa Pesa

    Prof Janabi ataja sababu Watu kuzeeka mapema

    Kuezeka sio vyakula ni Genetics factor.
  15. Fursa Pesa

    Andrew Nyerere aonekana kwenye kikao cha CHADEMA Arusha

    Wakati mwingine umaskini kwa baadhi ya watu ndio siha njema na umri mrefu.
  16. Fursa Pesa

    Ni ipi hasa sababu ya Freeman Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA kwa kipindi kirefu hivi?

    Sababu ni moja tu, Muda haujasema na pengine mbingu bado iko upande wa Mh.Mwenyekiti kuendelea kuhudumu katika nafasi yake kama ambavyo CCM inavyoutumia Utamaduni wao kwa Rais kuhudumu mihula miwili. Kupanga ni kuchagua na hivi ndivyo ilivyo kwa Nchi nyingi za Kijamaa ikiwemo na sisi.
  17. Fursa Pesa

    Shilingi Trilioni 1 kutoka World Bank kuigeuza Dar kuwa kama Dubai. Ni mkopo wa mradi wa DMDP-II

    We have to take that as a note. Hakuna dhambi,maoni hayapwi rungu
Back
Top Bottom