Search results

  1. varavara

    Waziri mwenye dhamana, ingilia kati AJIRAPORTAL

    Kwenye equivalent hapo pana shida sana
  2. varavara

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nilikuwa udom chuo kuna dada yuko dar pini hatari tunatoka nae kijiji kimoja hatukuzoeana sana nilipata namba yake nikamtumia sms kiutani tu 'kuna mtoto anaitwa TUTO na baba yake anaitwa MBANE Je huyo mtoto ataitwaje shuleni?' akajibu. Baadae akaniuliza kweli unataka tufanye? Nikajibu ndio...
  3. varavara

    Tetesi: GWAJIMA KULIAMSHA DUDE LEO

    Sijaiona hiyo muvi
  4. varavara

    Msaada wa namna ya kuwatoa/kuwaondoka Mijusi ndani ya nyumba,na wasirudi tena.

    Siwapendi mijusi! dawa kwa ajili ya wadudu warukao na watambaao inawatosha
  5. varavara

    Mwandishi wa habari atakayemhoji mbunge aliyesusia Bunge kunyang'anywa kitambulisho

    Kwa mfano mwaandishi wa habari akamhoji mbunge aliyesusa mbali kabisa ya viwanja vya bunge kwa mfano nyerere square (dodoma) atachukuliwa hatua na yeye?
  6. varavara

    Yuko wapi Richard Benzouidenhout?

    Hilo jina la baba wa richard linatamkwaje jamani usicheke wengi hawajui msaada tafadhali
  7. varavara

    Free talk: Mwanamke shtuka!

    Umemaliza Kila Kitu, Asante Sana Dada
  8. varavara

    Jenifer na Patrick Kanumba mnawaelewa?

    Kwani Bado Wanaigiza?
  9. varavara

    Kwanini hatukufuata Dini za mababu zetu tukafuata za waarabu na wazungu?

    Sawa Ila Wazungu Dini Walipelekewa Kama Tulivyoletewa Sisi
  10. varavara

    Kwanini hatukufuata Dini za mababu zetu tukafuata za waarabu na wazungu?

    Dini Ya Wazungu Ni Ipi? Naona Wao Dini Pia Walipelekewa
Back
Top Bottom