Search results

  1. M

    Shein akataa uwaziri, asusia kikao

    Kweli mijamaa ya Tanganyika kiboko, ikafanya kila njia kuhakikisha Rais wa nchi huru ya Zanzibar anateremshwa hadhi hadi kufikia Waziri? Namkumbuka Dr Salmin (komandoo) aliyekataa upuuzi huu! Na Wazanzibari wakakubali? ama waliwaendea Loliondo?
  2. M

    Lusinde: Mimi mbunge nina laini moja, 'Mama Ntilie' ana laini nne za nini?

    Mbona tunapoteza muda kumjadili mtoto? Kauli nyingi za Lusinde pamoja na matusi yake havitokani na siasa, bali utoto.
  3. M

    Ni nani Dr. William Mgimwa?

    Ukweli ni msomi, mchumi. Lakini jambo moja linamtia doa. Akiwa NBC ndiye alikuwa afisa aliyeaminiwa na serikali kusimamia na kutoa ushauri wa kitaalam na katika ubinafsishaji wa NBC. Alikuwa yeye na Bw Singili, MD wa Azania Bank. Ingawa inadaiwa alijitahidi sana kuukataa utaratibu wa...
  4. M

    Ziara ya pinda shinyanga aibu nyingine mpya hizi hapa

    Basi wangemmilikisha mgodi. Kuna migodi mingi Shinyanga! Mmh Mtoto wa Mkulima hapa umeumbuka, mbuzi? mbuzi? Na waliokosa mbuzi ndani? Aibu! Hebu muipate hii, hata JK aliwahi kupewa ng'ombe Ukara Kisiwani, Ukerewe, shughuli ilikuwa kumsafirisha hadi Dar! Hivi kwa nini viongozi wa Afrika wanateswa...
  5. M

    Nape atoa angalizo hali ya Uchumi; awaponda CHADEMA

    mmmh! Kweli Nape ana roho ngumu. Ni mtu wa kuogopa kama ukoma. Hivi hata serikali hii ina watetezi? Kweli Nape jasiri!
  6. M

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    Kuna kanuni moja ya kumtambua mtu ambaye ni mbaguzi. Inasema hivi: Yeyote anayekuwa wa kwanza kuzungumzia udini ama ukabila ndiye mdini na mkabila namba moja. Anaujuaje?
  7. M

    Mbunge avilalamikia Vyombo vya habari vya Tanzania kwa udini

    Ni kweli, mimi ni Mkristo lakini sikufurahishwa na jinsi vyombo vyetu vya habari vilivyosambaza habari za vurugu za Zanzibar. Hivi waandishi wetu wakoje? Ni rahisi sana kumgundua mwandishi shabiki wa CCM, CDM, Yanga, Simba na pengine hata kabila lake. Ingawa bado kuna watanzania wanafurahishwa...
  8. M

    Dr. Mwakyembe apiga mkwara kwa wahusika reli ya kati

    Wale wala rushwa wajisalimishe? Aliwaona? Kwa staili hii rushwa ingekwisha nchini, kuagiza tu kwamba wala rushwa wajisalimishe, waje, waniletee majina, nk, halafu... wanakuja? Utendaji gani huu, hapo Mwakyembe ameteleza, tena sana. Wajisalimishe? Kwenye hiyo treni aliyopanda hapakuwa na polisi...
  9. M

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Vyovyote nitakavyoonekana, lakini suala la kujua mgawanyiko wa watu kiimani (tuite dini) ni moja ya madhumuni makubwa ya sensa.
  10. M

    Hivi huyu ni Archard Mutalemwa yupi DAWASCO?

    Jana nimesoma gazeti moja likimtaja Mkurugenzi wa Dawasco Bw Archard Mutalemwa nikashangaa; ni Mutalemwa yupi? Aliyekuwa anasambaza maji yasiyo na dawa (1993) wakati akiwa NUWA akaundiwa tume na kuthibitishwa ni kweli? Waziri wa Maji wakati huo alikuwa JK, afya akiwa Meghji. Ni yule...
  11. M

    Nauliza: Muhingo Rweyemamu na Salvatory Rweyemamu ni ndugu?

    Siyo ndugu na Uhaya tuuweke pembeni. Ila wanafanana kwa tabia moja. Kujipendekeza. Hebu fuatilia syndicate hii. Salva Rweyemamu, muhingo Rweyemamu, Prince Bagenda, Irene Kakiziba (Bwire), Premy Kibanga nk Jiulize walifikaje Ikulu ingawa Irene yeye yupo kwa Waziri Mkuu. Bagenda kapenyaje toka...
  12. M

    Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

    Sawa kabisa! Hii ndiyo tunaita on-the-spot leadership/guidance. Tabia ya umangimeza ndo imetifikisha hapa. Viongozi kukaa maofisini watajuaje kinachoendelea kwenye maeneo yao ya kazi? Dr Magufuli amekuwa akifanya hivi mara nyingi. Mtu mmoja aitwaye Mrema alikuwa akifanya hivi, faida zake ni...
  13. M

    Tanzania, Beware of MONSATO and foreign Agro business conglomerates!

    Mmmh! Hivi hao wawekezaji wanapokuja nchini mnakuwa na mchecheto hata mnashindwa hata kuwachunguza?
  14. M

    Mahakama na kesi za UHUJUMU UCHUMI (UFISADI)!

    Je, tusemeje kuhusu kesi ya Devramp Valambhia ambayo ilifunguliwa 1989, leo ina miaka 23. Mahakama Kuu na ile ya Rufaa zote ziliamua Valambhia alipwe si chini ya dola 60 milioni na Benki Kuu. Hajawahi kulipwa na kesi inaendelea. Ajabu waliokuwa wanaitetea Benki Kuu walishalipwa zaidi ya dola 30...
  15. M

    Mahakama na kesi za UHUJUMU UCHUMI (UFISADI)!

    Oh Bw Nnauye Jr, unashangaa kesi za 2004? Ipo kesi ambayo ndiyo babu yao ktk kesi za nchi hii, nayo ni ya Devramp Valambhia. Ina umri wa miaka 23 mahakamani, ilifunguliwa 1989. Alishinda mara nyingi tu, hakuna Jaji wa enzi hizo ambaye hakusikiliza kesi ya Valambhia, iwe Mahakama Kuu ama Mahakama...
  16. M

    Kimeo kipya cha JK China balozi aliyelala usingizi mpaka sasa

    No, hamjamwelewa. Uteuzi wa wastaafu kuwa mabalozi haya ndo matokeo yake. Wengine huchukulia ubalozi kama sehemu ya likizo. Inawezekana kabisa Marmo hawezi kazi hii, tena China, China?
  17. M

    Uzembe wa NECTA ndio sababu ya vijana wengi kuonekana wamefeli

    Acha kuitetea necta. Mle ndani kuna madudu. Mnaweza kuyapuuza madai ya Waislamu kwa vile tu yamepitia mkondo wa dini, lakini ukweli necta ni hovyo hovyo kupindukia tangu utungaji, kuhifadhi mitihani na kusahihisha ndo balaa. Usahihishaji ni hovyo kabisa, wanalipua. Mwanao akikumbwa na 'ajali' ya...
  18. M

    Kompyuta yaibwa Mwananchi....

    Eti 'wezi' wameiba kompyuta ya Mhariri wa gazeti la Mwananchi, Hawakuvunja, iliibwaje? Hii inanikumbusha wizi wa komputa ya Mwandishi wa gazeti la This Day, ambapo wezi walivunja kioo na 'kuiba' Kweli hao wezi??????
  19. M

    Mukama: Katibu Mkuu wa CCM atia aibu kwenye Msiba wa Bob pale Karimjee

    CDM ijiandae sawasawa maana Mukama ni shushushu aliyekubuhu. Kapewa Ukatibu Mkuu wa magamba ili kujiandaa kuivuruga CDM, na ameanza. Mukama ndiye mjumbe pekee ambaye hakusaini Ripoti ya Jaji Nyalali kuhusu kuingia mfumo wa vyama vingi na hasa muundo wa muungano. Aliona akisaini ataisaliti...
  20. M

    Steven Wassira ni mwasisi wa CHADEMA?

    Lkn point ni kwamba huyo Steven Wassira kazunguka vyama vyote vya siasa vya upinzani na mara ya mwisho akaanzisha cha kwake, kikafa, akarejea CCM, choka ile mbaya!
Back
Top Bottom