Search results

  1. rugumisa

    Mbunge Moses Machali anachemka Channel 10

    machali kaongea vizuri tu,kuweni wakweli kwa watu neutral kama mimi nimependa alivyotoa hoja zake!
  2. rugumisa

    Dr. Slaa anatumika kuhakikisha Lowassa anaingia Ikulu 2015

    huyu muandika thread sijui anadhani watu ni majuha hapa jamvini.na dr.slaa hawezi kuja kujibu huu upuuzi kwa kweli!yaani nimesoma huu ujinga wako mpaka nimekasirika.kanuni za ushahidi wa sheria zinasema mtu anayetuhumu lazima adhibitishe bila kuacha shaka lolote,Na circumstancial evid.zako za...
  3. rugumisa

    Pendekezo: Julius Nyerere avuliwe jina la Baba wa Taifa

    na hao watu mnaotaka wawe mababa wa taifa walikuwa hana elimu kabisa wakaona aibu kwenda UN,wewe unadhani unaweza kwenda UN na elimu ya madrasa?nyie inabidi mkubali nyerere alikuwa noma,hana elimu ya kuungaunga
  4. rugumisa

    JOHN MNYIKA -Muswada Binafsi wa Sheria ya kuunda Baraza la Taifa la Vijana

    wewe mtoto wa malecela unakera,nimesoma mawazo yako hayana msingi,bora urudi ulaya!tumechoka na kuwa na watoto wa vigogo wasio na hekima wewe na nape mna IQ sawa,tatizo mnabebwa na majina ya wazazi wenu!umuwezi mnyika nenda kwenye website ya bunge uangalie takwimu uone ni mbunge gani kinara?jibu...
  5. rugumisa

    UDOM HALI NI TETE! Waziri mkuu na Rais wa Nchi njoo UDOM.

    mimi kinachonikera ni wadada mwasomi mkikosa pesa mnawaza kujiuza.inasikitisha sana usomi wenu siuoni kama hamna maadili.ndio maana nasikia eti hata hapa dar wanavyuo wanajiuza!...kwa mwendo huu bora tusiwe na vyuo vikuu,sisi tunadhani tuna vyuo vikuu kumbe tuna madanguro!
  6. rugumisa

    Kashfa mpya Nishati na Madini; Kikwete na Pinda wajiuzulu au wawajibishwe!

    zitto ni fisadi.wapambe wake mteteeni tu.
  7. rugumisa

    Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    Na hao wanaokashifu dini nyingine wajiulize maswali yafuatayo:(1)Tangu waanze kukashifu wamepata waumini wapya wangapi?(ii)Je kukashifu au kutukana dini ya mtu mwingine ni njia nzuri ya kuoneza dini yako au ni kuonyesha inferiority complex , elimu ndogo uliyonayo ya kujenga hoja,na kuwa roho wa...
  8. rugumisa

    Mbowe aungana na Mnyika kusema serikali ya Kikwete dhaifu

    Mbona hawamfukuzi mbowe bungeni kama mnyika?au wameishazoea kuwa neno kikwete dhaifu sio tusi...hahaha
  9. rugumisa

    Mnyika au Zitto kwa Urais

    Hahaha.This is one of the poorest thread ever!nenda kwenye blog ya mnyika facebook uone tulivyompa tano kwa kuongea ukweli kwamba Rais kikwete''kama taasisi'' ni dhaifu.Na jamaa kuonyesha sio mnafiki akayarudia maneno yaleyale kipindi cha baragumu kinachorushwa na channel ten asubuhi.unafiki...
  10. rugumisa

    Mch. Mwesiga afyatuka... "Matatizo hayawezi kutatuliwa na watu wenye fikra zilizoyasababisha!"

    hahaha.nimecheka leo sana.msigwa kweli ni kichwa!hahaha
  11. rugumisa

    Mwl. Nyerere alitumia hekima kuongopa census ya Mwaka 1967?

    Na wahaya tunatukaywa sana!kwa kuogopwa kwamba tunaunyanyasaji tunataka kujua tuko wengi kiasi kwa kujilinganisha na wasukuma.na tuna degree,masters na PHD ngapi?Pia kama kanda ya ziwa,nyanda za juu kusini na mikoa ya kaskazini kama ina waislamu tujue(maana ndio tuna watu wengi).Pia tunataka...
  12. rugumisa

    Wailboru wenzangu nasikia Mwigulu naye ni Muilboru

    Wakati najiunga ilboru 1997 mwigulu alikuwa form four nadhani na alikuwa kiranja wakati Gaki akiwa ndio kaka mkuu.Gaki alikuwa mnoko sana mpaka waalimu walikuwa wanamuogopa!Na mwigulu alikuwa mnoko sema alikuwa haongei sana maana siunajua Kiingereza tena kwenye matangazo ya asubuhi hahaha.Na...
  13. rugumisa

    Kwanini Wakristo na Serikali hawataki Kipengele cha Dini kuingizwa ktk Sensa?

    hizi topic za udini zinaniboa.kila siku mnalalamika mou,mou.jengeni na nyinyi hospitali za rufaa kama kcmc na bugando!na pesa mnazo?mnaboa bana kama mnadhani kuwa wakristu wanapendelema badilisheni dini muwe wakristu.maisha sio tambarare bana.mwenzenu Agha Khan wa dhehebu la kislamu la islaimi...
  14. rugumisa

    Nape amfananisha na punda mbunge wa Iringa mjini (Peter Msigwa)

    hivi nape ana IQ ya ngapi?hivi hakuna kijana mwingine ambaye anaweza kuchukua mikoba ya huyu mtu?....
  15. rugumisa

    Budget ya Kenya ni zaidi ya bajeti ya Tanzania kwa 44%

    Idadi ya kenya na Tanzania karibu zinalingana.kutokana na sensa ya mwisho.kama kuna tofauti ya watu itakuwa ndogo sana!
  16. rugumisa

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Kikwete atachoka mwaka huu.Ni bora awe anaenda zake kubembea Jamaica na kumuona 50 cents kila baada ya mwezi maana hii nchi kila siku watu wanalete tu matatizo na kumpa stress.Sema nashukuru rais ni muislamu atajua jinsi ya kudeal nao.naogopa ban ningeongea ukweli mwingine ambao ungeudhi...
  17. rugumisa

    Zanzibar kwa jicho la Mbara

    Zanzibar ipi unayoiongelea wewe?hahaha.
  18. rugumisa

    Zanzibar kwa jicho la Mbara

    Na cha kusikitisha watu wa kawaida elimu ni ndogo sana.Huu mji wa zanzibar maeneo ya mjini kuna nyumba zilizoezekwa na nyasi.Watu badala ya kuongelea jinsi ya kujikwamua na umasikini wao kila mahali wanaongelea tu Muungano?Wao kila kitu wanalaumu Tanganyika.hata leo Muungano ukivunjika watabaki...
  19. rugumisa

    UHURU: CHADEMA yapasuka

    Yaani unaona aibu kutaja source ni uhuri.duh mnalionea aibu gazeti lenu la Chama.hahaha
  20. rugumisa

    Zanzibar kwa jicho la Mbara

    Kwa mtu msomi wa sheria kama mimi ninayejua sheria za kimataifa sitakataa kwamba hili nchi iitwe nchi inabidi vitu vikuu vitatu vifuatavyo viwepo(i) serikali,(ii)jeshi na (iii)kutambulika kimataifa.Mipaka ya nchi sio Muhimu maana Israel ni nchi lakini haina mipaka rasmi.Na Ukubwa sio Muhimu...
Back
Top Bottom