Notburga Maskini anaendelea kujibu hoja (nanukuu tena):
(3) Baadhi ya mambo yanayoashiria tabia na mahusiano yangu ni kama yafuatayo:-
1.0 Kukubalika katika makundi ya watu wa aina mbalimbali:
1.1 Sehemu kubwa ya maisha yangu kuanzia shuleni, utumishi na jamii nimekuwa kiongozi. Hali hii...
Notburga Maskini anaendelea kujibu shutuma dhidi yake (nanukuu):
(2) Mzitokabwela: Anaogopwa kama shetani ni mbabe na mtishaji, hana PR
Jibu: Siogopwi wala simtishi yoyote. Huenda Mzitokabwela na wenzie ndio wananiogopa. Cha ajabu pamoja na shutuma nzito, alizotoa, Mzitokabwela ametakiwa...
Nimefanya utafiti kuhusu baadhi ya shutuma dhidi ya Notburga Maskini, na nimefanikiwa kupata majibu ya baadhi ya shutuma hizo. Mwenyewe anaeleza (nanukuu):
Mzitokabwela anatoa shutuma hizo kiujumla mno. Inategemea yeye ananifahamu katika masuala gani. Nijuavyo mimi ni mtu wa kutumainiwa...
Tatizo la uongozi mbovu kwa ujumla unatufanya kuona kuwa Amin alikuwa kiongozi mzuri. Angekuwa ametupa jamaa zetu mtoni kuliwa na mamba sijui kama hoja hii ingejitokeza.
Kuna habari kuhusu safari za nje za aliyekuwa rais wa Nigeria, Olusegun Obasanjo, ambazo ziliandikwa kwenye gazeti la RAI la
Novemba 27 - Disemba 3, 2003 (wakati bado linamilikiwa na Jenerali Ulimwengu na waandishi wenzake, na kabla hawajauza hisa
kwa Rostam Aziz na wafanyabiashara wenzake -...
Mzalendo Halisi,
Community Airlines haitasaidia kuamsha ATC, itasaidia kuimaliza. Unafikiri kama kweli ni ya Diallo, kila akitaka kusafiri na ndege atamwambia katibu wake ampangie kwenye ATC? Hapana, atamwamabia ampangie kwenye shirika lake.
Au atakaposhiriki kwenye baraza la mawaziri...
The Economist has taken the bull by its horns. Instead of beating around the bush, it has identified the problem as Kibaki's undemocratic conduct of ignoring the will of the Kenyan people.
It is true, how do the same people who voted for an overwhelming number of opposition party...
Nchi ina matatizo mengi ambayo yanahitaji ufumbuzi. Badala yake Serikali inakimbilia kuleta timu na kutafuta sifa ambayo haimsaidii Mtanzania zaidi ya wachache ambao watawalaza Real Madrid, kuwalisha, na kuwaendesha wakifika Tanzania.
Na hao watakaofaidika wanaweza wasiwe Watanzania.
Inawezekana kabisa. Mimi sioni hofu ya nini. Nishati inayotolewa na makaa ya mawe ina tatizo kubwa la 'pollution'. Maji nayo, pamoja na kwamba yanatoa umeme wenye gharama ya chini sana hayaji tunapoyahitaji (mvua).
Nishati ya jua bado ni ghali sana. Kuna sehemu za Tanzania ambazo zina upepo...
Sijui kama habari hizi ni kweli, lakini kama ni kweli Watanzania tuna hali mbaya.
Yasemekena kuwa kwenye kikao cha Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichochagua uongozi mpya kilichomalizika Dodoma hivi karibuni Waziri Mkuu Edward Lowassa, na Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba...
Siku CCM ikishinda uchaguzi kwa kura chache, haya yaliyotokea Kenya yanaweza kutokea Tanzania. Sehemu nyingine tutachinjana kwa misingi ya kabila, sehemu nyingine kwa misingi ya vyama.
Kwa nini msimpigie simu tu kumuuliza mpaka mmsubiri Ujerumani? Nasikia watu wengi wanayo namba yake, na nasikia awali alikuwa anapenda kujibu maswali ya wananchi moja kwa moja.
Kuna habari nimeiona inasema kuwa Samuel Kiviutu (head of Electoral Commission of Kenya) amekaririwa akisema hajui kama Kibaki alishinda uchaguzi.
Anasema alilazimishwa na wakubwa kutangaza mapema matokeo.
http://uk.news.yahoo.com/rtrs/20080102/tts-uk-kenya-2c15123_1.html
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.