Search results

  1. GreenCity

    Naomba Msaada. Nifanyeje ili niweze kupona ini?

    Pole sana mkuu! Mungu akupe uponyaji sahihi wa haraka!
  2. GreenCity

    Konyagi na kutoka jasho

    Ebwana samaki ndungu wanapatakana huko?
  3. GreenCity

    Ushauri: Nimeombwa nikatoe ushahidi wa uongo mahakamani, niko njia panda

    Moto utakaokutana nao mahakamani uje utusimulie tena!
  4. GreenCity

    Huyu mzee vipi?

    Dah!
  5. GreenCity

    Hivi ni sahihi mke kuvalia nguo na kuweka vitu chumbani kwa wadogo zako?

    Hiyo haiko sawa mkuu! Pata muda chunguza sababu Kaa naye na umpige marufuku Akiendelea na ikiwa wewe sio chanzo, Hamishia nguo zenu zote huko huko!
  6. GreenCity

    Ushauri unahitajika: Niko njia panda, kila maamuzi ninayotaka kufanya naona yana athari

    Bro achana na hiyo ndoa kwa maslahi ya Afya yako!
  7. GreenCity

    Hili pendekezo la kuruhusu wafungwa wapige kura linaonyesha dhamira ovu na nchi yetu

    Sheria zetu nyingi, zinazuia mtu mwenye rekodi ya kukutwa na kosa la jinai, kugombea/kupewa uongozi!
  8. GreenCity

    Tunduma iko overrated, haipaswi kufananishwa na Mafinga wala Kahama

    "Nimefika Tunduma jana...", yaani siku moja tu imekufanya uje na utafiti wako hapa, bangladesh kabisa wewe!
  9. GreenCity

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Katika yote hayo, hujagusa criteria za kuupa mji hadhi ya jiji! Go back to your teacher!
  10. GreenCity

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    If that makes you happy, ni sawa! Ila ukweli ni kwamba Mbeya ni jiji! Hutaki, kula limao uondoe makasiriko!
  11. GreenCity

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Who taught you Mbalizi ni sehemu ya jiji la Mbeya? Mbalizi ni wilaya ya Mbeya vijijini haina hata Mamlaka ya Mji! Kwani master plan huja kufanya overall ya sehemu zote? Ndio maana kuna Manzese, Magomeni, etc unadhani Dar haina Master Plan?
  12. GreenCity

    Mbeya haina hadhi ya jiji. Mbeya ni Kijiji Kikubwa

    Seems like uko na exposure ndogo ya sehemu kubwa ya Mbeya! Yapo machache unaweza kuwa sahihi! Anyway, reli zijengwe mitaani Mbeya jiji? Unajua jiografia ya Mbeya kweli? Unajua nature ya ujenzi wa reli inavyotaka tambarale? Au unazungumzia subways?
  13. GreenCity

    Mbeya kutamu bwana, usisikie habari za mtandaoni

    Naam, mkuu Buji, no doubt about it!
Back
Top Bottom