Search results

  1. Obe

    Tetesi: HUSEIN MAKURUZO KATOKA MAHABUSU

    Mashabiki wa soka la bongo watakuwa wanamkumbuka mchezaji huyu, alicheza na kina Mgunda, Razack Yusuph, kifupi enzi za kina Tenga. Mwaka 1994 alikamatwa nchini Malawi kosa ikiwa ni kukutwa na madawa ya kulevya, kwa miaka 17 amekaa mahabusu na wiki jana kaachiwa, kadandia lori na kaingia DSM...
  2. Obe

    Tpa wameshatangaza majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye taarifa za mamlaka ya bandari TPA kuita/ kuteua majina ya walioomba nafasi za kazi zilizotangazwa mwezi wa 7/8
  3. Obe

    Nyumba isiyo na mwenyewe ipo hapa

    Kwa jinsi hali inavyoendelea hapa Tz, nashindwa kutoifananisha nchi yangu na gesti bubu ambapo kila mwenye uwezo wa kulipia chumba anaweza kufanya anavyotaka chumbani hata kama kalipia 'show time'. Angalia suala la umeme, moja, sasa hii imekuwa si habari tena kwani kwa wiki sasa hatujasikia mgao...
  4. Obe

    Tanzania inashabikia uchawi

    Letters ‘Witchdoctor’ tag is hurting Tanzania’s image in the region Posted Sunday, June 19 2011 at 11:33 The number of Tanzanian witchdoctors (or those purporting to have come from there) practising in Kenya is disturbing. Posters and sign boards from these witchdoctors...
Back
Top Bottom