Na kila mwanamke bila kujali hali yake, apate nguvu ya kufanikisha ndoto zake na kukamilisha matamanio yake (aspirations). JF ni kubwa na ni sehemu nzuri kuwepo sababu kuna wanawake ambao kila wakati wanaifanya forum hii kuwa sehemu nzuri kuwepo.
Katika siku hii ya kimataifa ya wanaweka basi na...
....duh, ukisikia kunukishwa nguru ndiyo huku sasa, kuna tofauti kubwa kati ya kustaafu na kustaafishwa kwa naufaa ya umma.
Nilistaafishwa kwa nufaa ya umma, hii salamu hainistahili kabisa ndugu yangu, HABARI (kwa sauti ya mtumishi)
...nadhani ni kitendo kizuri sana. Mfungwa bado ni mtu na anapoondokewa na mtu wake wa karibu basi aruhusiwe kuhudhuria tahadhari zote zikichukuliwa. Sina hakika sana lakini kuna kesi moja (inawezekana alikuwa sio mfungwa tayari) lakini mama mmoja maarufu aliruhusiwa kwenda kuwazika wanaye ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.