Search results

  1. M

    Wahusika chukueni hatua sasa

    Nawapongeza Nyanza Construction kwa uwezo wao wa ujenzi wa barabara za kiwango cha lami hapa mkoani Dodoma. Mji sasa unaonekana kupendeza lakini pamoja na ujenzi mzuri wa mitaro ya maji, watu wameshaanza kuijaza mitaro hiyo na uchafu wa aina mbalimbali. Mamlaka husika chukueni jitihada kudhibiti...
  2. M

    Pinda amepindishwa na tume ya kuchunguza matokeo ya kidato cha nne

    Wahadhiri mbuni mbinu yenu yakudai arreas zenu maana naona toka 2009 hadi leo? Mnatarajia yapo malipo hapo?
  3. M

    Kawambwa na sisi Waalimu lazima kieleweke kwenye bajeti ya Elimu

    [/B][/I] huu ndio upumbavu nisiopenda kuusikia maana hiyo EPICA inawalipa watumishi gani mbona sie watumishi wa vyuo vikuu hasa hiki kipya na kikubwa kuliko vyote na kilichoko dodoma Tanzania hatujalipwa madai hayo toka 2009 na EPICA hiyo imetuweka mstari mmoja yaani aleanza kama assistant...
  4. M

    Ridhiwan Kikwete na Steven Masele ndani ya Shinyanga

    Sema tu wale vijana wenye jineri (ginning machines) pale nyakabindi na kidulya. Wasukuma hawa kwao ni pale majahida au wapi vile au ni wale walionzisha benki kwa jina la crdb mwanzoni kabisa mwa mji baada ya kutoka salunda shule ya msingi ama ni wapi hao
  5. M

    TCU: Darasa la saba sasa kujiunga na chuo kikuu moja kwa moja

    TCU inaongozwa na Prof ambae ndie aliongoza tume ya Mh Pinda ambayo inataka waliopata division Zero kwa matokeo yaliyotoka mwaka huu wajiunge na kidato cha tano na wengine warudie sekondari. Ni TCU hiihii ambayo imeruhusu mwanafunzi kudahiliwa chuo hiki na akiona hapa elimu haimruhusu kuendelea...
  6. M

    Bungeni: Lema awataja CCM kama waasisi wa udini nchini

    angalieni huo mkanda wala msibishe
  7. M

    Bungeni: Lema awataja CCM kama waasisi wa udini nchini

    Angalieni hiyo CD na DVD aliyowasilisha selasini ndo mtakataa kama huyo JK si mdini na kuwa serikali kama hailei huo udini
  8. M

    Juma Nkamia: Nazungumza na Mwenye Mbwa sio Mbwa!

    Na hilo ndo tatizo la wabunge wetu. Kwa nini juma nkamia kama mbunge tena anaeshinda muda mwingi sana sehemu inayoitwa kwa wajasiliamali asitafute hayo anayoyapinga? CD hizo kama kuna mtu anayo angeweka humu kupitia youtube ili hayo anayopinga nkamia yaonwe na wengi halafu akanushe. Mh...
  9. M

    Ufisadi: Shilingi bilioni 620 za Deni la Taifa hazina maelezo

    Mh Zitto na Ndugulile ni walewale tu. Mnaongoza kamati za bunge ambazo kwa muda mwingi mkipigiwa kusikiliza kero na walimu na wahadhiri hampokei simu za wahitaji. Mfano ni hicho chuo kikubwa cha umma hapo mnakoendesha vikao vyenu vya bunge, chuoni hapo yapo madai makubwa ambayo kwa mara zote...
  10. M

    Mahakama itupilie mbali kesi dhidi ya Lwakatare na Ludovick; Uhuru wa Mahakama matatani

    Mwigulu anaumwa kwani kama angekuwa mzalendo kwa watanzania angeshauri serikali yake ilipe madeni kwa wafanyakazi wake na kuwalipa ipasavyo. 1. Wafanyakazi wanakatwa kodi 30% halafu waziri anasema ni kati ya 10-20% ya pay as you earn 2. Walimu wa shule zote hadi vyuo vikuu wanadai salary...
  11. M

    Benjamin Mkapa: Nashuhudia mambo ya ajabu baada ya uongozi wangu!

    Jitahidi na wewe mr clean kwenye taasisi unaziongoza usafishe udini ili viongozi wa kizazi kipya wakuelewe
  12. M

    Sijashiriki kurekodi mkanda wa video unaomwonesha ndg Lwakatare

    Mh mwigulu kama wewe kweli ni mzalendo kwa nchi yako, umeshafanya juhudi kiasi gani kuona walimu wetu, wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma wanalipwa arreas zao ambazo kwa miaka yote hii toka 2009-2013 wanalipwa mshahara sawa na atakae ajiriwa leo? Watumishi mbalimbali wanalalamika serikali...
  13. M

    Mh Mnyika nisaidie kupata maelezo kutoka TCRA

    Airtel bwana kiboko. Mie niliweka pesa kwa ajili ya kujiunga na internet bundle ya siku kwa kupitia huduma yao mpya ya yatosha. Mchakato wa kujiunga ulikamilika na kuarifiwa kuwa nimeshaunganishwa na huduma hiyo. Cha ajabu nilipojaribu ku-log in kupitia Google hata hiyo page sikuipata vema...
  14. M

    Mauaji ya Padri: DPP na Polisi wakorogana, DPP atupilia mbali uchunguzi wa polisi

    Nilishasema wapemba na wazanzibari walioko bara pia tuwatimue warudi kwao huko maana karibia wote ni uamsho tu maana hata ukimwangalia shein, maalim, na wengineo ni uamsho mtupu. Vilevile hakuna hata sikukuu ya muungano kufanyika katika hali hii. Lakini kanisa katoliki nalo liwaondoe tu...
  15. M

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    wakutane wazungumze nini wakati waislamu waloko kwenye taasisi hasa za umma wanaajiriana wenyewe tu na kuwaacha wakristo nje eti wameshindwa usaili? Mie naona twende mbali kuwa wawepo wahasibu kwenye mabenki wanaolipa wakristo tu na wanaolipa waislamu tu kama benki ya nbc ilivyoamua kufungua...
  16. M

    uchaguzi baraza la katiba waingia siasa-Arusha

    Huku mchakato wa kuwapata wajumbe hao, ziko taarifa kuwa kuna stationery moja dodoma rasmu iko wanaidurufu kwa ajili ya watu wa dini fulani tena mmoja kajitolea kufotokopi na akiagiza wa dini yake kwakupitia majina yao wapewe bure. Swali ni tume ya katiba mmeshatoa rasmu hiyo rasmi ama hizi ni...
  17. M

    Kuna watu wameiweka serikali yetu mifukoni mwao?

    Makampuni yanatusumbua sana haya. Startimes nao pamoja na agizo la serikali kuwa channel tano za ndani ni free na kwamba kama hutakuwa umelipia 6000 utapata local channels for free. Hili halifanyiki kwani wanakata ama kuzima kabisa hata hizo local hupati
  18. M

    Live on TBC1: Hotuba ya Rais mwisho wa mwezi Machi 2013

    Hajui nini wakati watu kwenye taasisi za umma wakristo ni zaidi ya takataka kisa mkuu wa hiyo taasisi anaswali masjd? hata kwenye kuwezeshwa pesa za kujikimu za masomo ndivyo hivyohivyo, mkristo ataambiwa taasisi haina pesa wao wanapewa
  19. M

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    wewe unaongelea za ILUNGA, je zile za kongamano la Tabora na Kongamano la Pasaka lilofanyika Dodoma toka mwaka juzi watoa dvd hizo wapo na walitangaza kuandika kitabu kuwa nyerere hakuleta uhuru
  20. M

    Ijumaa Kuu: Baraza la Maaskofu Tanzania latoa tamko zito!

    Akimaliza hapo afanye yafuatayo; 1. Atafute na kuitisha hali halisi ya interview katka maofisi mbalimbali ya umma ambayo mkuu wao ni muislamu aangalie kiasi gani cha upendeleo kimefanywa kuajili waislamu hata achilia mbali kuwa uhalisia uwezo wao kwenye interview ulionekana hakuna lakini...
Back
Top Bottom