Search results

  1. E

    Makonda atatua kero ya lift ofisi za CCM Mwanza

    Makonda kafanya jambo la kihistoria, pale ofisi za CCM mkoa wa Mwanza kulikuwa na lift mbovu hatarishi lift hii iliharibika tangu enzi ya Nyerere. Mwenezi wa taifa Makonda kaamuru hiyo lift itengenezwe mara moja, safi sana sasa hivi adha ya kupanda kwa ngazi hasa kwa wazee walemavu na...
  2. E

    Makonda aitwe kaka wa taifa

    Nimemwona makonda akichangisha fedha kupata hela za kumnunulia mwanamke aliyeibiwa ngombe tisa, nimelia kwa upendo mkuu sambamba na mama aliyechangiwa fedha, safi sana. Makonda anatatua shida za msingi za wananchi, huyu ni kaka yetu wa taifa
  3. E

    Kwanini Tanzania haina uwakilishi kwenye huu mkutano muhimu

    https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/uganda-joins-other-eac-states-in-discussions-to-fast-track-start-of-sgr-4432842
  4. E

    Uganda chooses Dar port for oil imports

    The Ugandan government and Vitol Bahrain E.C., a Bahrain-based company, have chosen the port of Dar es Salaam to import oil, as part of efforts to promote economic relations between Tanzania and Uganda. The decision was made a few days after Vitol Bahrain E.C. secured a permit from the Uganda...
  5. E

    Hizi hatua za kenya kuhusu bandari tuzitizame kwa umakini

    Hizi hatua za kenya za kupunguza bei tunapaswa kuzitizama upya lama hazikiuki east africa protocals, na kama wanashusha bei nasie tushushe nao sambamba...
  6. E

    Uganda sasa kununua mafuta moja kwa moja

    Hawa jamaa twende nao mdogomdogo, kwa maanuzi haya tuimarishe bandari tu hili wese likipita tanzania uchumi umepanda https://www.monitor.co.ug/uganda/news/national/oil-deal-govt-meets-fuel-dealers-today-4417754
  7. E

    Hussein Mwinyi arudi bara 2025, awe Rais wa JMT, miaka kumi tunaaga umasikini

    Huyu dogo ana maamuzi ya kiume na ana nia ya kweli yakutuondolea umasikini na kuleta maendeleo tumpe fursa 2025 awe Rais wa JMT,
  8. E

    Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

    HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
  9. E

    USHAURI: Watumishi wa umma wapewe likizo miaka 3 wakajiajiri

    Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
  10. E

    Mama tuvute tu subira, mikangafu na mikweche ina tabu zake

    Nimeona comment huku kuwa vichwa vya trenI vipya vitakuwa tayari 2023, hivyo tutaanza na vilivyotumika kwanza. Hii reli tumejenga miaka mitano kwa pesa ndefu kusubiri mwaka mmoja sio shida mama, haya magari used yanatutoa jasho, sembusee trenI? Kitu kipya kina raha yake. Mama isitoshe 2023...
  11. E

    Wanawake wanaonyanyaswa kisiasa na wanaume

    Halima mdee na wenzie 18, ni wanawake wanao nyanyaswa na wanaume kisiasa, hawa wanawake kuna genge la wanaume limekomaa kuwanyanyasa na kuwadhalilisha kisiasa. Hawa wanaume wanaofungua mikesi kila siku na kupeleka malalamiko isiyokuwa na maana bungeni sio waathirika na hatakama halima na...
  12. E

    Parachichi India linauzwa elfu tano na hayapatikani

    Kuna kijana anasoma India katika mji mmoja anasema tunda ghali hapo ni Parachichi linauzwa elfu tano ya Tanzania, sasa Sie tuna ndege inaenda India mara mbili kwa wiki hawa wajasiliamali wa sido wameshindwq kweli kuuza Parachichi India?
  13. E

    Jumanne Kishimba sidhani kama hawa watu wanakuelewa

    Nimemsikia mheshimiwa kishimba akitema nondo za uhakika, mh Kishimba mbunge wa kahama amehoji iweje namibia iongoze Africa kwa ku export mkaa wakati 85% ya nchi yake ni jangwa, wakati sie 85% ya nchi ni msitu hatuuzi hata debe moja, chakushangaza mkaa wa Africa unauzwa ujerumani ukifika huko...
  14. E

    Zaidi ya 80% ya maroli yanayorudi Dar hurudi tupu

    Ni mekuwa najiuliza hii misururu mirefu ya maroli yanayorudi Dar ikiwa tupu na mingine kubebana miwili, hivi hatuna bidhaa za kupeleka bandarini? hatuna marobota ya pamba katani kahawa mahindi alizeti mashudu? ni kweli hatuna bidhaa za kuuza nje ya nchi? sie tumekuwa soko la bidhaa za nje tu...
  15. E

    Shabiby mlinzi wa shamba la bibi anayehangaishwa na ngedere

    Nimekuwa mfuatiliaji wa michango ya huyu mheshimiwa shabiby kule bungeni, nimefurahishwa na namna anavyotetea rasilimali za taifa dhidi ya uhuni uliopachikwa jina la kufungua milango. Mwanzoni nilijua huyu jamaa ni mchuuzi na mpiga deal wa mjini, aisee kumbe sikujua kuwa ni mtu makini na...
  16. E

    Tusipunguze kodi kwenye mafuta ya kula tuwawezeshe wakulima kuzalisha alizeti kwa wingi bei itashuka yenyewe

    Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti...
  17. E

    Gilbert Houngbo achaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Duniani (ILO). Atakuwa Mwafrika wa kwanza kushika wadhifa huo

    Shirika la Kazi Duniani limemchagua Gilbert F. Houngbo, Waziri Mkuu wa zamani wa Togo, kuwa Mkurugenzi Mkuu wake wa 11, kuchukua madaraka Oktoba mwaka huu. Atakuwa Mwafrika wa kwanza kuchukua wadhifa huo. Katika taarifa yake ya maono ya ILO, Houngbo alipendekeza mpango wa kimataifa wa haki ya...
  18. E

    Kwanini viongozi wa Afrika hawatumii KQ kwenda UN

    Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja. Kuna shida gani kuwaunga mkono QK na kuonyesha mshikamano wa kiuchumi wa waafrika
Back
Top Bottom