Search results

  1. E

    Lini Tanzania itaanza kutumia hii teknolojia ya kuzuia ajali?

    Sie tuna nguzo za umeme na taa za barabarani, ngoma ikizingua unalengesha
  2. E

    Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

    kijana anaandaliwa kuwa padre au imam unamsomeshaje physics na chemistry si anapaswa kusoma islamic knowledge,
  3. E

    Msaada kuhusu mtoto kusumbua usiku kucha

    Anasumbuliwa na jina, mpe jina la bibi yake kizaa baba
  4. E

    Rais Samia atoke hadharani aseme hizo pesa za goli la mama zinatoka mfukoni mwake au ni Kodi ya raia maskini

    Nyoko, huku simiyu ndani ndani tulishamaliza kujenga shule na zahanati, koma
  5. E

    Demokrasia ni utawala wa walio wengi. Sensa inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vizee ngwe?

    Pesa humilikiwa uzeeni, nyerere alikuwa rais ana miaka 36, umasikini uliisha? Au ndio ulipamba moto
  6. E

    Hii nchi kila kona fremu

    Huku kwetu ni vilabu vya gongo kila kona, kila eneo na uchumi wake
  7. E

    Waziri Bashe fuatilia Fursa ya kuiuzia Marekani Chakula kwa ajili ya Msaada huko Gaza, Blinken amekiri hali ni mbaya sana!

    Tuwape chakula watu walio muua kijana wetu kiharamia na kuutupa mwili wake jalalani? Demn shit
  8. E

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Kwa akili yako ya ngwandumbe unaamini ngombe anaweza kunywa hayo maji akayamaliza? Eti kilimo, hiki cha jembe la mkono au kipi?
  9. E

    Kila nikiliangalia bwawa la Mwl. Nyerere natamani kuwachapa makofi wafuatao

    Zitto Kabwe ndiye aliyekuwa anaupigania huu mradi aliuita stiggler Gorge, kuna siku aliongea bungeni kwa hisia kali sana
  10. E

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Hata ukinunua gari barabara zimechimbwa zote na hao mwendokazi hii barabara pale halafu🙄
  11. E

    Waziri Mwigulu alisema nchi ina Uwezo wa kulipa Ndio sababu inakopa mkamshambulia, Bashe kasema nchi ina mchele hakuna haja ya Msaada mnamshambulia!

    Tatizo chadema hawana mihuri shingoni kama ngombe wa kisukuma, utawajua wakianza kuongea
  12. E

    Aliyeimba ‘Yesu ninyandue’ akamatwa na Polisi

    Tuwekee wimbo kwanza ndio tujadili, wabembe kende ni kumi,
  13. E

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Mtu kasimama mlangoni anamwamuru dereva asifungue mlango, haya dereva kanyooka hadi kimara bado wanamlaumu dereva kwa kutofungua mlango, gari limeandikwa express wanajua hilo likitoka faya kituo cha kwanza kimara bado mtu kapanda, inaonekana kuna shida mahali katika jamii yetu
  14. E

    Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

    Sie maharage hayatutoshi yeye anaanza dili za kutorosha maharagwe, cdm wa hovyo sana, siangewauzia wamarekani
  15. E

    Dereva wa Basi la Mwendokasi adaiwa kuwapitiliza Vituo Abiria baada ya kukasirishwa

    Abiria nao wa hovyo, unakuta mtu kasimama kashikilia mlango ukifunguka anaruka nao kama kambale kanaswa na ndoano, anaona kabisa pameandikwa usisimame hapa yeye ndio anasimika milonjo yake, wengine wanasimama kwenye kisahani cha maungio anakuwa anazunguka kama dracula, halafu watu wa dar...
Back
Top Bottom