Search results

  1. ALLY RIYAMI

    Nauza simu yangu glx NOTE 3

    Kwa anaehitaji simu yoyote anione ikiwemo galax note 3 call me 0787545748
  2. ALLY RIYAMI

    Samsung Galaxy Note 3 bei poa

    Nauza Samsung galax note 3 bei poa. Haina tatizo lolote na ni nzuri ipo katika good condition. Call me 0652740304
  3. ALLY RIYAMI

    Duka linauzwa Tabata Sigara

    Duka la vifaa mbalimbali na vyakula vinywaji na bidhaa za ndani linauzwa hapa Tabata Sigara, lipo eneo zuri na ni kubwa kwa thaman ya shiling millioni 8 ila maelewano yapo. Kwa kujiakikishia njoo ulione mwenyewe. Call me 0652740304.
  4. ALLY RIYAMI

    Nani ana ufahamu kuhusu WESSA

    Wessa wamenicall bt nimazingira ya utata
  5. ALLY RIYAMI

    Scholarship free for O-Level students

    kwa yoyote ambae anamfaham mwanafunzi mwenye wastan wa A . awe kidato kuanzia cha kwanza mpaka cha tatu .bright.tunatoa scholarship kwa kmsomesha full na kumlipia kila kitu.this scholarship imedhaminiwa na camel foundation turki.mashart awe mvulana.call me 0652740304
  6. ALLY RIYAMI

    Duka linauzwa bei poa

    duka rejareja linauzwa na kila kitu chake.kwa anaetaka maendeleo kuna duka la vifaa mbali mbali,soda,nafaka,sabuni na vifaa vyote unavyovijia kwa matumiz ya kila siku linauza.duka lipo maeneo ya tabata barakuda linatazama barabara.bei ni poa tuu.call me plz 0652740304
  7. ALLY RIYAMI

    Kwa anayetaka kujiajiri na mtaji mdogo

    See me ila andaa mtaji wa kama Milioni 2 nikupe business idea.
  8. ALLY RIYAMI

    Mwalimu wa Sayansi anahitajika

    Shule ya secondary compassion missionary sec school inaitaji mwalimu wa masomo ya chemistry na biology.shule ipo morogoro wilaya ya kilombero.dead line 1 december 2014 12.00p.m kama upo tanyari njoo sasa upigwe interview
  9. ALLY RIYAMI

    NAUZA KIWANJA MAENEO YA TABATA KIFURU(HALI YA HEWA) KWA Tsh.million 4 tu

    kiwanja kipo tabata kifuru au wanaita hali ya hewa.kina urefu wa miguu 40 na upana 25.hati na document zote zipo.call me 0652740304
  10. ALLY RIYAMI

    mwalimu wa chemistry biology anaehitaji

    Mimi ni mwalimu niliemaliza chuo kukuu cha dar es salaam masomo ya science chemistry na biology na gpa ya upper second average ya mwaka wa kwanza na wa pili ila natarajia kumaintain au kupandisha gpa endapo matokeo yakitoka hapo august.natafuta tempo work
  11. ALLY RIYAMI

    Nauza ofisi ya kufanyia biashara

    Naitwa ally nauza ofisi ambayo mwanzoni ilikuwa ni sehemu ya biashara ya kuuza vifaa vya simu,kuburn,kutengeneza cm na kuingiza nyimbo ktk cm,ofisi ipo tabata liwiti,ina computer,blower,feni,kiti,vifaa vyote kama housing na vya matengenezo,imelipiwa mpaka mwezi wa 11.kwa anaehitaji bei ni laki...
  12. ALLY RIYAMI

    fundi cm anaitajika

    natafuta fundi wa cm nimkabidh ofisi maeneo ya tabata awe kijana,asiwe na family,mzoefu wa kazi. call me 0652740304 vgezo na mashart kuzingatiwa
  13. ALLY RIYAMI

    Fundi simu anahitajika

    Fundi cm anahitajika awe anatokea dar es salaam,awe mwaminifu na aweze kuendesha duka,duka lipo tabata barakuda call0652740304
  14. ALLY RIYAMI

    Ofisi inauzwa

    Nauza ofisi ambayo ni sehemu ya fundi cm ipo maeneo mazuri kwa biashara nimeshindwa kutokana na kukosa fund cm mzuri na mwaminofu,call me0652740304 pia kuna cm kama htc8s,huwawei na sumsung glx s2
  15. ALLY RIYAMI

    nauza simu aina ya htc 8s na huwawei

    Huwawei y 200 inauzwa elfu80 na htc 8s window 8 inauzwa bei poa 250,
  16. ALLY RIYAMI

    nauza simu aina ya sumsungb.berry,huawei n.k

    naitwa ally ni mwanafunzi wa UDSM mwaka wa tatu nauza simu aina tofauti kama sumsung galax s1-250,s2-350,s3-650,s4-850,note 1-450,note 2-700,note 3-mil1.3,pia kuna huawei 150,sumsung duos 250,na digital camera cassio 16mplx-300,(3digits means laki) call me 0652740304
  17. ALLY RIYAMI

    Nyumba inapangishwa

    nyumba inapangishwa maeneo ya tabata posta kwa bei poa ni self dining,vyumba full tiles ni mpyaa na master full parking ipo ndan ya geti call me 0652740304.nyumba ipo near barabara
  18. ALLY RIYAMI

    NAUZA Htc sencer na Digita camera

    nauza simu aina ya htc sencer good condition kwa bei poaa tuu laki 3 tu,simu iko poa pia kuna digital camera from uk casio yenye 16gb lens 12.1 ,16.2mplx na full package ni yakucharge ipo ktk box haijatumika call me 0652740304
  19. ALLY RIYAMI

    nyumba inapangishwa

    nyumba self and master inapangishwa maeneo ya tabata liwiti ,nyumba ipo barabarani ina geti,umeme maji na kisima cha ndani,vyumba 3 master ,jiko na vyoo vya ndani,self luku and parking za kutosha,call me 0652740304 ally,nyumba ni mpyaaaa
  20. ALLY RIYAMI

    nauza digto camera 16.1megaplx,simu htc desire

    am ally from udsm nauza digito camera aina ya casio 16.1megaplx na lens 12.5zoom memory ya 16gb na kila kitu chake ni mpyaaa kabisa hazijatumika bei ni lak 3.5,cmu aina ya htc yenye 3g nei ni laki 3,call me 0652740304
Back
Top Bottom