Karibu tutaongea lugha moja,kinga tasiri yake nini, nipale mwenyekinga anapofanya maamuzi kwa maslahi ya Taifa kwa dhamana aliyopewa bilakuwepo viashiria vya bakshish,zawadi au aksante yoyote kwanamna yoyote ile ,vinginevyo aminajisi hiyo kinga na anastahili kushitakiwa kama nakosea naomba...
Ndugu yangu inaonekana hujui mambo ya siasa ila elewa siasa haina rafiki wala adui wa kudumu, leo hii wakina halima mdee wanatetewa na wana ccm wengi lakini ikitokea chadema wakasema wamewasamehe na ni wanachama halali hapo ndio utajua hujui(siasa ni mchezo mchafu)
hapo ndio tunahitaji sheria za uchaguzi kufanyiwa marekibisho,tume ya uchaguzi ipange na kusimamia uchaguzi na mwisho imtangaze mshindi tu swala la kupitisha wagombea wapitishwe na vyama husika, na hatimaye wananchi tupige kura kumchagua kiongozi tunayemtaka
"Mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi"jambo moja unalotakiwa kujua KATIBA ni sheria mama jambo lililokubalika ndani ya katiba hakuna wa kubatilisha na ukiona kiongozi anabatilisha yaliyomo, jua kuwa hayo ni matumizi mabaya ya madaraka.Ili kubatilisha jambo ndani ya katiba unapelekwa mswaada...
kwakuwa wewe unakerwa na kutobadilisha wenyeviti sehemu sahihi ni mahakamani wingi wa kesi sio tatizo kwakuwa ndio kazi yao wakiona kesi yako haina mashiko wataitupilia mbali lao wakiona inamashiko watatoa maamuzi sahihi kwa vyama husika
Ushauri wako umepotea njia kamshauri msajili akifute kama hakina vigezo.swala la kuwa amekaa muda mrefu njoo uchukue fomu kura zikitosha atakupisha hiyo ndio demokrasia mwisho nikushauri wapelekee watunga sheria watunge sheria ya ukomo wa mwenyekiti madarakani
hao unaosema wanajua kutunza watu elewa wanawatunza si kwakuwa ni wanachama tu bali ni sehemu ya serikali,kumbuka wamekula kiapo kutunza siri za serikali sasa unamwachaje mtu kama huyo aende anavyotaka tu" tafakari"
huyu mzee ni wakumuombea na kuhurumia maana hakuna kitu kibaya mkoani mara kama mwanaume kushindwa jambo na mwanamke anayeunga mkono vita ya ukeketaji.
mtulia ni tatizo dogo sana tatizo kubwa niunafiki wa chama dola kilichomsimamisha. serikali ya ccm ilishindwa nn kuleta maendeleo kinondoni wakishirikiana na mbunge huyo huyo akiwa cuf eti hadi ahamie ccm ndio maendeleo yapatikane!!!!!!! kwahiyo inadhihirisha wazi palipo na mbunge wa upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.