Search results

  1. K

    Uchaguzi Zanzibar itakuwaje 2010?

    duh hivi wewe ndio yule KIBUNANGO ninayekujua a.k.a ........ ama nimekosea,kula tano kwa darasa safi kabisa.
  2. K

    Sakata la Mahujaji: Utendaji ATCL na Yaliyojiri Hadi Leo Hii

    mkjj..... naamini JK ataingilia tena hili suala na kuokoa wa-tz haswa ukizingatia MZAA CHEMA wake au BABA MKWE WAKE yumo ndani ya kundi hilo.by the way inasikitisha sana. i always nakumbuka maneno ya mzee ES kuwa JK amezungukwa na WAHUNI,wababishaji na matapeli watupu. choveki...
  3. K

    Kenya Election 2007: Outcomes

    side... unajua nini takuwa next? kibaki atamfanya raila VP si unajua wanajuana hao,ama wewe waonaje?
  4. K

    Kenya Election 2007: Outcomes

    kenya-tanzania yaani nakupa hongera kwa kazi nzuri unayoifanya ndugu.
  5. K

    Kenya Election 2007: Outcomes

    duh patamu hapo.
  6. K

    Bara wabebe mzigo umeme Visiwani hadi lini?

    kula 5 mkuu manake hiyo ndio solution hamna zaidi.
  7. K

    Kenya Election 2007: Outcomes

    MTU WA PWANI...... moja kati ya sifa ya CCM ni kila mwaka kuja na MBINU mpya,usione wamekaa kimya tu hao,wanatafuta mbinu kushinda tena 2010. CCM kiboko yao PEMBA tu basi,unakumbuka ule uchaguzi wa marudio znz? CCM anapata kura 1000 YES ,kura 6000 zinasema NO.
  8. K

    Ole wako Kikwete ukileta usanii report ya BOT

    hahahahahaah kaka is a kind JOKES au ume-mind?sorry sana basi.
  9. K

    Kabwe Vs. Wangwe - kisa cha mafahali wawili?

    mzee ES...... ru serious kweli?yaani wapewe akina mkjj?mhhhhh nina wasi kwa hilo,unajua hizi siasa za TZ ni kuganja njaa tu.tumeshawaona wengi tu walikuwa wasemaji wazuri sana lakini walipopewa madaraka wakafunga midomo,zaidi ya kupeleka watoto wao kwenda S.AFRIKA kusoma na wao wenyewe kila...
  10. K

    Kabwe Vs. Wangwe - kisa cha mafahali wawili?

    unajua mwisho wa hawa watu 2 utakuwa nini?at the end MKUU WA KAYA WA HULL UNIVERSITY ataamua kuachia ngazi na kuwaachia CW na ZK hapo tena ndio uwanja utakapokuwa hautoshi. tusubiri tuone.
  11. K

    Ole wako Kikwete ukileta usanii report ya BOT

    DUA SAID.......... kwi kiw kiw,wewe ndio DUA SAID ulokuwa ukichezea small simba ya znz then ukahamia SIMBA? turudi ktk thread yetu,safi sana kama yupo BONGO,tuendelee kumkomalia nyani.
  12. K

    Ole wako Kikwete ukileta usanii report ya BOT

    mwafrika kike......... acha kumtisha RAIS,wewe kama ungekuwa jemadari kweli ungerudi TZ na kuingia ktk SIASA kama sisi vile,tumeshakula kiswago sana kwa FFU lakini bado tunapeta tu.acha kelele zako ktk JF.
  13. K

    Bara wabebe mzigo umeme Visiwani hadi lini?

    wacha wa-znz tule matunda ya MUUNGANO.
  14. K

    Benazir Bhutto Assassinated!!

    ohhhhhhhhh mungu wangu,wamem-KOLIMBA!!!!!!!!!!!! mola amlipe kutokana na mema yake na amsamehe mabaya yake.
  15. K

    Race for Ballali’s seat hots up

    Mtaalam..... kwa nn unasema hivyo?hiyo BoT hata wa-znz wana hisa zao ama vipi?
  16. K

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    fundi.... hebu badilisha text hizo unatuumiza macho yakhe,au mpaka BOSI wangu ajue kuwa nasoma JF?
  17. K

    Race for Ballali’s seat hots up

    atafutwe mzanzibari mmoja apewe kwani zamu yao au vipi. kwani kiujumla imekuja onekana wa-zanzibari ni watendaji wazuri sana and zaidi ni waaminifu. mfano abdul salam,dr omer ali juma(marehemu),omer yussuf etc.
Back
Top Bottom