Search results

  1. P

    Mnyika ahamasisha kupitia bunge Maandamano kwenda kwa Magufuli madai ya fidia Mloganzila

    Ameyasema hayo Bungeni leo baada ya kutoridhika na majibu ya serikali kuwa watalipwa baada ya kupatikana fedha bila kujibu swali lake la kutaka serikali ieleze lini. PM
  2. P

    Kikwete akubaliana na Mnyika kuondoa udhaifu, Kabaka na Werema watakiwa kutoa kauli bungeni

    Rais Jakaya Kikwete amemuagiza Waziri wa Kazi naAjira kutoa kauli bungeni ya kubatilisha tangazo la fao la kujitoa ili wafanyakazi kuendelea kuruhusiwa kupokea fao la kujitoa. Rais Kikwete amemuagiza pia mwanasheria mkuu wa serikali kuondoa sehemu ya sita katika muswada wa marekebisho wa...
  3. P

    Wiki ya Taifa ya Vijana: Mnyika sauti pekee nyikani

    Tupo kwenye wiki ya vijana na zimebaki siku chache kilele kifike tarehe 14 Oktoba. Mnyika ni sauti pekee nyikani kuhusu wiki hiyo, nimemsoma: JOHN MNYIKA: KUELEKEA WIKI YA VIJANA: WAZIRI AELEZE HATUA ILIYOFIKIWA KATIKA KUANZISHA BARAZA LA VIJANA, BENKI YA VIJANA NA KUPANUA WIGO WA AJIRA KWA...
  4. P

    Mnyika Vs Werema: Nani yuko sahihi kuhusu mgogoro wa Serikali na Walimu?

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Werema alimjibu Mnyika bungeni kuwa bunge halina nafasi katika kushughulikia mgogoro kati ya serikali na walimu kwa kuwa kwa kufanya hivyo itakuwa ni kuingilia kazi za muhimili wa serikali. Werema aliyasema hayo baada ya Mnyika kudai kwenye mchango wake kuwa...
  5. P

    Mnyika azidi kufunga kuhusu tuhuma dhidi ya wabunge

    Waziri Kivuli wa Nishati na Madini ambaye ndiye aliyetangulia kuanika bungeni kuhusu ufisadi wa TANESCO na tuhuma za ufisadi dhidi ya baadhi ya wabunge kuhusu ununuzi wa mafuta, kabla ya Waziri wa Nishati na Madini naye kuthibitisha madai hayo; amefunga tena na kutaka hatua zaidi kwa bunge zima...
  6. P

    Mgomo wa madaktari na kutekwa kwa Ulimboka, sababu ni Serikali na Bunge-Mnyika

    Sababu ya hali tete ya nchi na maisha ya wananchi kwenye sekta ya afya ni udhaifu wa serikali na uzembe wa bunge. Rais Jakaya Kikwete ajitokeze alitangazie taifa kuunda tume huru ya kuchunguza kutaka kuuwawa kwa Dk. Ulimboka Steven na kutoa ahadi ya kuongeza fedha katika bajeti ya wizara ya Afya...
  7. P

    Mgomo wa Madaktari na kutakwa kuuwawa Dr Ulimboka-Sababu ni Rais Kikwete na Bunge

    Sababu ya hali tete ya nchi na maisha ya wananchi kwenye sekta ya afya ni udhaifu wa serikali na uzembe wa bunge. Rais Jakaya Kikwete ajitokeze alitangazie taifa kuunda tume huru ya kuchunguza kutaka kuuwawa kwa Dk. Ulimboka Steven na kutoa ahadi ya kuongeza fedha katika bajeti ya wizara ya Afya...
  8. P

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    Huu ndio wakati wetu wanahabari na wachambuzi kuanika siri zote tunazozifahamu wajumbe wateule wa tume ya katiba kwa sababu ikulu imesema Rais atawaapisha ijumaa. Siri hizi zitawezesha usalama wa taifa kumshauri Rais kuacha kuwaapisha wajumbe wenye mashaka, pia makundi ambayo Rais amedai kuwa...
  9. P

    Ofisi ya Mbunge yavunjwa na kuibiwa kompyuta na nyaraka

    Habari nilizopata toka polisi Magomeni ni kwamba ofisi ya mbunge mmojawapo wa Manispaa ya Kinondoni imevunjwa na kuibwa kompyuta na nyaraka mbalimbali. Kwa mujibu wa chanzo hicho wizi huo umetokea juzi usiku. Hatahivyo, chanzo hicho ambacho hakikuta kutaja jina kimeeleza kuwa kituo chao...
  10. P

    Mnyika aishukia EWURA

    Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), ametoa siku saba kwa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), kutoa kauli kwa umma kuhusu bei elekezi ya maji kama inavyofanya kwenye bei ya mafuta. Mnyika alitoa kauli hiyo jana alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu...
  11. P

    Mnyika bado alia na Dowans, Rex na Serikali

    MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA) ameitaka serikali kutotumia kisingizio cha maamuzi ya mahakama kuharakisha mpango wa kuilipa Dowans kwa fedha za Watanzania au kubebesha mzigo huo kwa wateja wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO). Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari jana Mnyika...
  12. P

    Hoja binafsi za Arfi na Mnyika zazimwa kuwalinda Pinda na Lowassa

    Hoja binafsi ya mbunge wa Mpanda Mjini Said Amour Arfi na ile ya mbunge wa Ubungo John Mnyika zimenyimwa fursa ya kuwasilishwa bungeni. Habari kutoka ofisi ya bunge hoja hizo zimezimwa kwa kuwa zingeibua mijadala mizito yenye kugusa vigogo ndani ya serikali na bunge. Chanzo hicho kimeeleza kuwa...
  13. P

    Mzimu wa Richmond warejea bungeni leo katika mjadala wa gesi asilia

    Mzimu wa Richmond leo umejitokeza kwenye mjadala bungeni kuhusu utekelezaji wa maazimio 26 ya Bunge juu ya gesi asilia. Aliyerejesha kwa kishindo mzimu huo ni mbunge wa Ubungo John Mnyika ambaye alidai kuwa maazimio ya bunge kuhusu gesi asilia hayana tofauti na yale yaliyopitishwa mwaka 2008...
  14. P

    Siri yafichuka: CCM, Serikali na Bunge katika hali tete

    Siri yafichuka: CCM, Serikali na Bunge katika hali teteIkiwa zimebaki siku mbili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuadhimisha sherehe za miaka 35 tangu kuzaliwa kwake hali katika chama hicho ni tete.Mivutano ya wazi na ishara za kushindwa zinazidi kujidhihirisha huku uwajibikaji wa pamoja ukipotea...
  15. P

    Hotuba ya kukumbukwa ya Marehemu Regia Mtema Bungeni

    MHE. REGIA E. MTEMA – MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI KWA WIZARA YA Mheshimiwa Naibu Spika, ninawashukuru Ukoo wote wa kina Mtema na Kihaule; wazaziwangu Dkt. & Mrs. Estelatus Mtema na ndugu zangu wote kwa upendo wao mkubwa. Kwa namnaya pekee, namshukuru sana pacha wangu mpenzi...
  16. P

    Magufuli aumbuliwa na Bodi ya Barabara DSM

    Waziri wa Ujenzi John Magufuli jana ameumbuka kutokana na tuhuma zake. Hayo yametokea katika mkutano wa bodi ya barabara katika mkoa wa Dar es salaam uliofanyika mnazi mmoja. Mara baada ya Mkuu wa Mkoa Mecky Sadiq kufungua mkutano huo mbele ya waandishi wa habari, alimkaribisha katibu tawala...
  17. P

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Chama cha NCCR mageuzi kimemfukuza uanachama mbunge wake David Kafulila. Kwa uamuzi huo uliofikiwa na Halmashauri Kuu ya chama hicho muda mfupi uliopita huenda akapoteza kiti cha Ubunge. Salama ya Kafulila kuendelea kuwa mbunge ni kwenda mahakamani au kukata rufaa ngazi ya juu ya chama hicho...
  18. P

    Ujumbe kwa Rais Kikwete na Spika Makinda

    Nimepokea SMS hii hivi punde “ Wazalendo wenzetu wanakesha NMC kudai haki, tujiunge nao kwa kumtaka Rais Kikwete 0754777777/0754777775 na Spika Makinda 0754/0784465226: Lema aachiwe, uchaguzi wa umeya Arusha urudiwe, mafisadi wa EPA/Richmond/Dowans wakamatwe, muswada mbovu wa sheria ya katiba...
  19. P

    Nani aliichangia CCM na wagombea wake uchaguzi mkuu 2010?

    Tanzania inaongozwa na serikali iliyochini ya CCM kama chama tawala. Natafuta majina ya watu walioichangia CCM na wagombea wake kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2010. Tunapaswa kuangalia uhusiano baina ya maamuzi ya Rais Kikwete, serikali, wabunge na namna walivyoingizwa madarakani. PM
  20. P

    Mbunge Sugu aelezea kukamatwa kwake na kinachoendelea Mbeya Mjini hivi sasa

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu aka Mr II ametutumia taarifa hii kuhusu kukamatwa kwake jana na yanayoendelea Mbeya Mjini leo TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jana tarehe 8 Julai 2011 Polisi walinikamata kwa kile walichokiita kuwa ni kufanya mkutano bila kibali. Hata hivyo...
Back
Top Bottom